MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,051
Baada ya habari hiyo unaweza pia kusoma;
LINK Mwanahalisi ladai Ben Saanane huonekana kwa jamaa zake
LINK Mwanahalisi ladai Ben Saanane huonekana kwa jamaa zake
Investigators Journalist tulikuwa tunawasubiri mka dig hiyo kitu ili mtujie na real fact storyHayaaa
Chacha wazeee wa IJ na eterpise story wamechimbua wamekuja na kitu hot hot kabisaaaaaaaa
Amepanic kuwemo kwenye tuhuma za kuuza bwimbwi.Huyu mchungaji au kanyaboya
Koromije kuanza kupokea watalii wa ndani, asante Bashite!Gazeti la MwanaHALISI kumuanika Paul Makonda
![]()
Nyumba aliyokulia Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (Daudi Bashite)
KILA pembe ya kijiji cha Koromije, Wilaya ya Misungwi, pamoja na viunga vya jiji la Mwanza Paul Makonda, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam anatajwa na kufahamika kama Daudi Albert Bashite, wanaandika Waandishi Wetu.
Wanaomtaja kwa jina hilo ni wanakijiji, ndugu zake, wanafunzi aliowahi kusoma nao pamoja na watu waliowahi kumshuhudia akifanya kazi kama kondakta.
Gazeti la MwanaHALISI baada ya uchunguzi wake wa kina uliohusishwa kutuma timu ya maripota wake jijini Mwanza, wanakuletea habari kamili inayofichua ukweli wa sakata hilo huku mama na baba wa Makonda, shangazi yake na wanafunzi waliowahi kusoma naye wakiwa wamehojiwa.
![]()
Shule ya Msingi aliyosoma Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
Chanzo: Mwanahalisi
Koromije kuanza kupokea watalii wa ndani, asante Bashite!
Naanza kupata mashaka na JF kuhusu hii issue ya Bashite.Hata humu nimepost ikafutwa, sijui tukimbilie wapi
HUYU GWAJIMA MBONA ANA VISASI VYA KIJINGA ? TANGU ATAJWE KWENYE TUHUMA ZA UNGA KILA SIKU MAHUBILI YAKE, MAKONDA,MAKONDA!? VYETI,VYETI, UNABOA BWANAA !!
Baada ya habari hiyo unaweza pia kusoma;
LINK Mwanahalisi ladai Ben Saanane huonekana kwa jamaa zake
umesoma chuo? baasss kwa watu wajanja kama bw dere.....nikitu rahisi kama mtu kaweza kutumia cheti cha mtu kwa vidato vyote atashindwa kumuomba mtu amfanyie assignment? wanakuwaga ni janjajanja......kama umepita chuo hopes unajua vile vilaza wanafanyagaaaaa......Mnaotwambia Mh Makonda katumia cheti cha mtu cha kidato cha nne kusoma chuo Kikuu. Swali ni Je aliwezaje kupasua modules za University wakati huo masomo ya secondary alifeli? Au ndiyo kusema chuo Kikuu masomo ni rahisi kuliko kidato cha nne.
The Corservator