Gazeti la MwanaHALISI kumuanika Paul Makonda

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,113
24,642
Gazeti la MwanaHALISI kumuanika Paul Makonda

Screen Shot 2017-03-06 at 09.06.52.png

KILA pembe ya kijiji cha Koromije, Wilaya ya Misungwi, pamoja na viunga vya jiji la Mwanza Paul Makonda, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam anatajwa na kufahamika kama Daudi Albert Bashite, wanaandika Waandishi Wetu.

Wanaomtaja kwa jina hilo ni wanakijiji, ndugu zake, wanafunzi aliowahi kusoma nao pamoja na watu waliowahi kumshuhudia akifanya kazi kama kondakta.

Gazeti la MwanaHALISI baada ya uchunguzi wake wa kina uliohusishwa kutuma timu ya maripota wake jijini Mwanza, wanakuletea habari kamili inayofichua ukweli wa sakata hilo huku mama na baba wa Makonda, shangazi yake na wanafunzi waliowahi kusoma naye wakiwa wamehojiwa.

koromije.jpeg

Shule ya Msingi aliyosoma Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

Chanzo: Mwanahalisi

Makonda 1.JPG

Makonda 2.JPG
 
Daaaa haina jinsi tena limeshavunda!! Inabidi aombe kujiudhuru kupisha aibu kwa serikali maana sasa anamtega JPM atashindwa afanye nini nae!!! Naomba sana haki itetendeke kama kwa ndugu zetu waliokosa kazi zao sababu kama hizo!!! Pumzika tu Daudi maisha yapo hata usipokuwa RC
 
dccce07b88e7198b2ec2d0f6bdf975e8.jpg

Mkoa wa Dar es Salaam (Daudi Bashite)

KILA pembe ya kijiji cha Koromije, Wilaya ya Misungwi, pamoja na viunga vya jiji la Mwanza Paul Makonda, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam anatajwa na kufahamika kama Daudi Albert Bashite, wanaandika Waandishi Wetu.

Wanaomtaja kwa jina hilo ni wanakijiji, ndugu zake, wanafunzi aliowahi kusoma nao pamoja na watu waliowahi kumshuhudia akifanya kazi kama kondakta.

Gazeti la MwanaHALISI baada ya uchunguzi wake wa kina uliohusishwa kutuma timu ya maripota wake jijini Mwanza, wanakuletea habari kamili inayofichua ukweli wa sakata hilo huku mama na baba wa Makonda, shangazi yake na wanafunzi waliowahi kusoma naye wakiwa wamehojiwa.

Shule ya Msingi aliyosoma Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

Chanzo: Mwanahalisi
 
End

End of err
 
Mheshiwa kasema atakaelitaja jina Hilo fine 5,000,000 au jela kwa mwaka mmoja
 
Masikini tukipata kanafasi huwa tunakuwa na kelele sana.

Bro kelele zote zile kumbe anatumia cheti cha mtu.

dccce07b88e7198b2ec2d0f6bdf975e8.jpg

Mkoa wa Dar es Salaam (Daudi Bashite)

KILA pembe ya kijiji cha Koromije, Wilaya ya Misungwi, pamoja na viunga vya jiji la Mwanza Paul Makonda, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam anatajwa na kufahamika kama Daudi Albert Bashite, wanaandika Waandishi Wetu.

Wanaomtaja kwa jina hilo ni wanakijiji, ndugu zake, wanafunzi aliowahi kusoma nao pamoja na watu waliowahi kumshuhudia akifanya kazi kama kondakta.

Gazeti la MwanaHALISI baada ya uchunguzi wake wa kina uliohusishwa kutuma timu ya maripota wake jijini Mwanza, wanakuletea habari kamili inayofichua ukweli wa sakata hilo huku mama na baba wa Makonda, shangazi yake na wanafunzi waliowahi kusoma naye wakiwa wamehojiwa.

Shule ya Msingi aliyosoma Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

Chanzo: Mwanahalisi
 
Jamaa anashinda kwa viongozi wa dini lakini bado mna mkalia kooni nyinyi sio watu wazuri kabisa
Hiyo ndio shida ya kuanzisha vita na vichaa wa mjini sasa mashambulizi ndio haya.......jamaa karusha kakombora kwa kuchokonoa sijui wauza dawa tena na asiwataje wahusika watu wamejibu na NUKE ya mass destruction cheki kakesi kadogo jamaa anakalishwa chini kilaini.........
 
Back
Top Bottom