mtoto wa mjini
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 1,754
- 903
Kwani kipi kibaya alichokisema?.Halafu waumini wake wanashangilia kama mazuzu
Kwani kipi kibaya alichokisema?.Halafu waumini wake wanashangilia kama mazuzu
wanaume ni wachache kuliko wanawake, fikiria kama mama yako asingepata mume wa kumuoa ingekuweje kwako leo. mbegu za kiume ni nyingi mno mke mmoja haziwezi, mungu sio mjinga hivyo. Lusekelo yuko sahihi 100%. Hata kuku, ng'ombe na wanyama wengine wanalifahamu hilo kasoro wewe tu. ndiyo maana utahitaji beberu moja kwa majike 20 lakini sio jike moja kwa mabeberu 20 utakuwa huna akili ukifuga mbuzi wako kwa jinsi hiyo.Wachungaji wa aina hii ni hatari sana kwa vizazi vijavyo tuungane tuwapige vita... vita vile vilivyo vizuri kuepusha waamini kutupwa motoni
Kwani ili isimame lazima uwe na mke?basi **** yako haisimami
nabii Suleiman alikuwa na wake wangapi? Lusekelo ni jembe.Huyu si MCHUNGAJI ni mwizi flani tu huyu!
Hata kipindi fulani uliwahi kutokea mgogoro wa KUCHINJA huko kanda ya ziwa, yeye anayejiita mchungaji alikuwa upande wa WAISLAM kwamba ndio wenye haki ya kichinja wanyama!!
Ni msaka tonge na sijui anatumia Maandiko fani mpinga kristo huyu!!
Kanisa gani?.Hayo yote ni kweli lakini sio mafundisho ya kanisa! Haya yote yanatakiwa yaongelewe kwenye majukwaa huru sio kwenye madhabahu za kanisa
tangu hizo skendo zake za juzijuzi sina imani naye tena. Huyo ni mzabibu mwiti ni hatari kwa afya yako ya kiroho, weka mbali na waumini wakoHiyo hapo.
Mchungaji kasema hayo kwenye ibada ya leo. Huyo ndo mzee wa upako.
View attachment 433450
Namuunga mkono asilimia zote!hivi tukisema leo hii kila mwanaume awe na mwanamke mmoja tu,je waliobaki watahudumiwa na nani?hapa kwenyewe tayari kuna waislamu wameoa mke zaidi ya mmoja lakini bado wanawake wanabaki bila waume!wakristu pia wa mke mmoja pia wanamichepuko lkn bado wanawake wenabaki kuwa wengi,Pia ni kweli wanawake siku hizi wamekuwa jeuri sana wanapenda kushindana na wanaume mwisho wa siku wanaangukia pua!Mzee wa upako hajawa mnafiki ktk hili!Hiyo hapo.
Mchungaji kasema hayo kwenye ibada ya leo. Huyo ndo mzee wa upako.
View attachment 433450
Anataka kuhalalisha uzinzi anaoufanya na baadhi ya waumini wakeHiyo hapo.
Mchungaji kasema hayo kwenye ibada ya leo. Huyo ndo mzee wa upako.
View attachment 433450
Nyie ndio mitaji ya hawa matapeli wanatumia umbumbu wenu wa Neno la Mungu kuiitajirisha.Ameongea kweli, kwani Mungu hakuzuia kuoa wake wengi, ni utaratibu mzuri tu uliowekwa na wanadamu
Hatuishi enzi za agano la kale bali tupo agano jipya.Yakobo,ibrahimu,Solomon,Daudi ni mifano tosha
Huyo tapeli anakesha na viroba sio BibleMungu hajasema muoe mke mmoja ni watu anayekesha na Bible anawaambia hamtaki
Ni mipango ya watu tu,hakuna andiko linasema oeni mke mmoja tu