Ndio anawaanda waumini kisaikolojia ili isije kuwa 'habari ya mjini' kama yule aliyetuhumiwa kumkwapua Mbasha.Mbona yeye ana Mke mmoja tu?
Noma sana ,kuna watu wanajua kufocus!Ni mtazamo wake tu,amezungukwa na wanawake wengi ni wazi na dhahiri kuwa kama binadamu kuna wakat anataman angeongeza wapili,lazima atuandae kisaikolojia ili hata akifanya hivo tuseme alishasema lkn
Lusekelo,Gwajima,Mwingira,kakobe,Joshua,Rwakatare etc ni wapiga deal.
Hata nyie wenye wake wengi lkn bado mnatembea na vimada nje sasa cjui ni ugonjwa kichwani na wapo waisalamu wenye mke mmoja na wanaeshimu wake zao na hawana shida ya mke mwingine ni tamaa tu ya mwili na akuma mwanamke asiye na tatizo akakubali kua mke wa pili kwa dunia ya leoWengi wenye mke mmoja michepuko kibao nyuma yao. Afadhali Mchungaji ameongea ukweli japo ni mchungu.
Hata yesu mwenyewe hakuoaNi kweli, kama una 'tatizo' kuoa inageuka dhambi, na kama huna tatizo kuto oa ni dhambia pia !
Ukweli upi sasa. Hakuna ukweli wowote hapo.
"Basi kwa habari ya mambo yale mlioandika, ni heri mwanamume asimguse mwañamke. Lakini kwa sababu ya zinaa kilà mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe." 1KOR 7:1-2.
Mungu alimuumbia Adamu mke mmoja (Hawa), Mungu alikuwa ana uwezo wa kumuumbia zaidi ya huyo mmoja, ila hakufanya hivyo, kwa kuwa alijua Adamu ana moyo mmoja.
Huyu "anayejiita" mchungaji halafu anapotosha Neno la Mungu ni hatari sana. Tuchukue tahadhari!