Ngonepi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2013
- 1,872
- 1,212
Huyu si MCHUNGAJI ni mwizi flani tu huyu!
Hata kipindi fulani uliwahi kutokea mgogoro wa KUCHINJA huko kanda ya ziwa, yeye anayejiita mchungaji alikuwa upande wa WAISLAM kwamba ndio wenye haki ya kichinja wanyama!!
Ni msaka tonge na sijui anatumia Maandiko fani mpinga kristo huyu!!