Mchungaji Anthony Lusokelo apinga ndoa za mke mmoja

Mchungaji Anthony Lusokelo apinga ndoa za mke mmoja

Ni mipango ya watu tu,hakuna andiko linasema oeni mke mmoja tu
1 Timotheo 3:2
2 Kwa hiyo mwangalizi anapaswa kuwa asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi katika mazoea, mwenye utimamu wa akili, mwenye utaratibu,mkaribishaji-wageni,mwenye sifa za kustahili kufundisha,
 
Kuna uzi upo humu eti why watu maarufu wakikaribia kufa huslim na kuwa waislam?
Now mchungaji na yeye anatafuta kaupenyo akimbilie njia ya haki pengine amepewa maono ya kurest in peace labda!
Ulicho sema lusekelo ni kweli kabisa, ukisoma bibilia manabii na mitume karibia wote walikuwa na wake zaidi ya mmoja! Wakristo tukubali figisu nyingi tuu zilipenyezwa kwenye imani yetu
Kasome tofauti ya agano la kale na agano jipya.
 
Nyie ndio mitaji ya hawa matapeli wanatumia umbumbu wenu wa Neno la Mungu kuiitajirisha.

1 Timothy 3:12
1 Timothy 3:2
Titus 1:6
Verse Concepts
namely, if any man is above reproach, the husband of one wife, having children who believe, not accused of dissipation or rebellion.
1 Timothy 3:2
Verse Concepts

An overseer, then, must be above reproach, the husband of one wife, temperate, prudent, respectable, hospitable, able to teach,

1 Timothy 3:2
Verse Concepts

An overseer, then, must be above reproach, the husband of one wife, temperate, prudent, respectable, hospitable, able to teach,
Hapa Mungu kaongea?
 
kwani sehemu gani ya Bible imekataza kuoa wake wengi? kama kila neno la Mungu Lafaa kwa mafundisho kwa nini tusijifunze kwa suleiman au Daudi? kwa nini tujifunze kwa Paulo tu? mbona Bible inasema mwanamke asipewe nafasi ya kuongea lakini tumepuuza?
Wewe kama unataka kufanya mambo yako hakuna anayekuzuia sababu hata kuiamini Bible hakuna aliyekulazimisha ila usipotoshe Neno la Mungu Bible agano jipya lipo wazi kuhusu mke mmoja mume mmoja katika Kristo Yesu Bwana.
 
1 Timotheo 3:2
2 Kwa hiyo mwangalizi anapaswa kuwa asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi katika mazoea, mwenye utimamu wa akili, mwenye utaratibu,mkaribishaji-wageni,mwenye sifa za kustahili kufundisha,
tunataka andiko linalokataza kuoa mke zaidi ya mmoja..
Specifically LIKATAZE,
Sio iunaleta sentensi za kina paul na Timoteo waliomu missquote Yesu.

Andiko liwe very directly kwamba ni marufuku kuoa mke zaidi ya mmoja
 
Namuunga mkono asilimia zote!hivi tukisema leo hii kila mwanaume awe na mwanamke mmoja tu,je waliobaki watahudumiwa na nani?hapa kwenyewe tayari kuna waislamu wameoa mke zaidi ya mmoja lakini bado wanawake wanabaki bila waume!wakristu pia wa mke mmoja pia wanamichepuko lkn bado wanawake wenabaki kuwa wengi,Pia ni kweli wanawake siku hizi wamekuwa jeuri sana wanapenda kushindana na wanaume mwisho wa siku wanaangukia pua!Mzee wa upako hajawa mnafiki ktk hili!
Kuna mwanamke alishakufuata akakuomba unyumba sababu faru John katoweka bila taarifa?
 
tunataka andiko linalokataza kuoa mke zaidi ya mmoja..
Specifically LIKATAZE,
Sio iunaleta sentensi za kina paul na Timoteo waliomu missquote Yesu.

Andiko liwe very directly kwamba ni marufuku kuoa mke zaidi ya mmoja

“Kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.” (1 Wakorintho 7:2)
 
Kuna madhehebu ya kikristo yenye kuruhusu kuoa wake wengi, ao tu!
 
ANTONY LUSEKELO ni TAPELI asiye na HURUMA.

Pia ni MUHUNI mkubwa.

Haitoshi ni MLEVI /CHAPOMBE
 
Imagine huyo mke wake anajisikiaje...
Ana Matusi huyo Boya Lusekelo

Sasahv atakuwa anakukata jicho then anakutukana kisirisiri

"Anajiskiaje muulize babu yako Mpumbav"

huku akiwa na bapa mbili mkononi, mkufu wa silver shingoni na jicho kwny smartphone.
 
yah.mimi sio muumini wa kakobe ila nimesha sali mara nyingi watu wanamsingizia .maaburi yake ni mazuri na hamna tatizo ana upako wa kweli.
Umepimaje huo upako unaosema wa kweli?
 
Back
Top Bottom