Mchungaji Anthony Lusokelo apinga ndoa za mke mmoja

Mchungaji Anthony Lusokelo apinga ndoa za mke mmoja

Mtawatambua kwa matunda yao


Jamaa mahubiri yake ni anasa za ulimwengu huu tu jamani ..shitukeni
 
majibu yote yapo kwenye biblia huyu pastor atakuwa amekula maharage sijui ya wapi wakti mwingne usipokuwa makini hawa wachungaji wa aina hii watakuja kulisha watu kinyesi na watu kwa sabb ya imani wakala na usipokuwa na kaili ya ziada tena ya juu zaidi watakuburuta watakavyoo
 
huyu pastor kuna washirika amewatamani sasa nyie ambao wake zenu wanasali pale angalieni atawagonga wotee
 
MAADILI YAKO WAPI! DAH! MAULANA MOLA WETU RHABUKA tuongoze katika maisha milele yote. ..Amen RA
 
Takwimu zinaonyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume pia hata katika siku 4 Kwa mwezi ambazo mwanamke anaweza pata mimba ni siku 1 tu ndo mtoto wa kiume anaweza patikana siku 3 zote ni mtoto wa kike sasa kama mungu alitaka ndoa ya mke mmoja je kwa nn afanye wanawake kuwa ni wengi kuliko wanaume??? kwani mungu alitaka hawa wanawake wengine wasipate mume wa kuwaoa ?? ikiwa kila mtu na mke mmoja je hawa wengine watakuwa wanachukua wanaume za watu au wawe makahaba??? si kweli hakuna mungu anaeweza kufanya hvyo na aliposema nendeni mkazaliane na kuijaza dunia alijua kuwa wanaozaa wanatakiwa wawe wengi ili dunia iweze kujaa sasa wanaozaa ni wakina nani? kama si wanawake?

angalia tu wanyama kama simba,tembo,twiga,sokwe,mbuzi,mbwa je madume wanakuwa wengi au dume mmoja majike wengi??? au mtu yeyote anaefuga mnyama au ndege utanunua majike wengi kuliko madume au madume wengi kuliko majke????

Tafiti nying za kisayansi au kiumbaji zinaonyesha dume au mwanaume anauwezo kwa kumiliki mmke au jike zaidi ya mmoja na ndo maana dume au mwanaume anauwezo wa kuzalisha hata akiwa na miaka 100 lakini si mwanamke wanamke ni 45-50 bhasi uwezo tena wa kuzaa unakuwa umekwisha
Mkuu Asante,That's what people should understand.umeongea point iliyonona.
 
ibrahim alikua na wake zaidi ya 100
Mie watano ni vibaya??!
kama uchumi unaruhusu kuwahandle ni sawa tu...!!!
 
Baada ya agano la kale na Agano jipya, sasa naliona Agano digital laja, hili litaruhusu ndoa za wake wengi na talaka. Jiandae kupata nakala yako.
 
Hapa mtapnga coz suala hili linawahus waislam.ila kaongea kwel m/ume mke m1 haiwezekan ndo mana Mungu aliliona hilo.Weny mke m1 michepuko kibao.Huwa namkubal san mzee wa upako
 
Back
Top Bottom