Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
.
[UJINGA][/colour]
[UJINGA][/colour]
Kweli kabisaMPINGA KRISTO KAZINI!
Ameongea kweli, kwani Mungu hakuzuia kuoa wake wengi, ni utaratibu mzuri tu uliowekwa na wanadamuWengi wenye mke mmoja michepuko kibao nyuma yao. Afadhali Mchungaji ameongea ukweli japo ni mchungu.
basi mboo yako haisimamiHata kuoa tu kwangu mi naona tatzo sembuse kuoa wengi
Lol......... Kwahyo kila asieoa haisimami?basi **** yako haisimami
Mbona wengine tumemuelewa!Wachungaji wa aina hii ni hatari sana kwa vizazi vijavyo tuungane tuwapige vita... vita vile vilivyo vizuri kuepusha waamini kutupwa motoni
Lusekelo,Gwajima,Mwingira,kakobe,Joshua,Rwakatare etc ni wapiga deal.
kakobe sio mtu wa mchezo mchezo hapo mtoe yeye muongeze T.B JOSHUALusekelo,Gwajima,Mwingira,kakobe,Joshua,Rwakatare etc ni wapiga deal.
Kama ni wa kuchepuka, ni wa kuchepuka tu hata akiwa nao wanneWengi wenye mke mmoja michepuko kibao nyuma yao. Afadhali Mchungaji ameongea ukweli japo ni mchungu.
Hayo yote ni kweli lakini sio mafundisho ya kanisa! Haya yote yanatakiwa yaongelewe kwenye majukwaa huru sio kwenye madhabahu za kanisaTakwimu zinaonyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume pia hata katika siku 4 Kwa mwezi ambazo mwanamke anaweza pata mimba ni siku 1 tu ndo mtoto wa kiume anaweza patikana siku 3 zote ni mtoto wa kike sasa kama mungu alitaka ndoa ya mke mmoja je kwa nn afanye wanawake kuwa ni wengi kuliko wanaume??? kwani mungu alitaka hawa wanawake wengine wasipate mume wa kuwaoa ?? ikiwa kila mtu na mke mmoja je hawa wengine wanachukua wanaume za watu au wawe makahaba??? si kweli hakuna mungu anaeweza kufanya hvyo na aliposema nendeni mkazaliane na kuijaza dunia alijua kuwa wanaozaa wanatakiwa wawe wengi ili dunia iweze kujaa sasa wanaozaa ni wakina nani? kama si wanawake?
angalia tu wanyama kama simba,tembo,twiga,sokwe,mbuzi,mbwa je madume wanakuwa wengi au dume mmoja majike wengi??? au mtu yeyote anaefuga mnyama au ndege utanunua majike wengi kuliko madume au madume wengi kuliko majke????
Tafiti nying za kisanyasi au kiumbaji zinaonyesha dume au mwanaume anauwezo kwa kumiliki mmke au jike zaidi ya mmoja na ndo maana dume au mwanaume anauwezo wa kuzalisha hata akiwa na miaka 100 lakini si mwanamke wanamke ni 45-50 bhasi uwezo tena wa kuzaa unakuwa umekwisha
yah.mimi sio muumini wa kakobe ila nimesha sali mara nyingi watu wanamsingizia .maaburi yake ni mazuri na hamna tatizo ana upako wa kweli.Aisee kakobe ungemjua vizuri ingekusaidia sana