Zombi tu kama mazombi wengineAisee kakobe ungemjua vizuri ingekusaidia sana
Agano jipya aliyeleta ni naniHatuishi enzi za agano la kale bali tupo agano jipya.
ha ha ha mbona haraka? keshaanza kumhoji hata huyo aliyemtuma? ama kweli laana ya mungu si sawa na ya shetani. Kwa hiyo atakua kama munuo na yeye atunge biblia yake itakayosema wanaume maziwa,MPINGA KRISTO KAZINI!
Hapa mtapnga coz suala hili linawahus waislam.ila kaongea kwel m/ume mke m1 haiwezekan ndo mana Mungu aliliona hilo.Weny mke m1 michepuko kibao.Huwa namkubal san mzee wa upako
Kuna bwana mmoja wa morogoro anajiita nabii, Kuna jirani yetu alimpigia simu ana hitaji maombezi alisema bila laki 2 haombei mtu.
Kumuona nabii tu utoe 5,000. Hawa viumbe huwa siwaamini kbs
Mahubiri mazuri na hamna utapeli kwa kupitia dini.Umepimaje huo upako unaosema wa kweli?
Amejua Leo??Mkuu Asante,That's what people should understand.umeongea point iliyonona.
Ila ukweli mchungu hizi ndoa jamani zina nengi aseeeWengi wenye mke mmoja michepuko kibao nyuma yao. Afadhali Mchungaji ameongea ukweli japo ni mchungu.
Ww jamaa una mambo ya ajabu sana. Hata sijashughulika kusoma maelezo yako ya kipuuzi.Umekosea kwa kumtaja Prophet TB Joshua, certainly the Prophet is quite different and as a proof go through www.youtube.com/scoanvideos utajionea mwenyewe au www.emmanuel.tv na kama una ndugu yako aliye na cancer even stage four, sleep apnea, sickle cell accompanied with medical proof go there utapata free accommodation for a minimum of seven days free of charge and meals inclusive, wewe ni nauli yako tu. usipende ya kuambiwa na hakuna kupanda mbegu!! even if ndugu yako ni gay au lesbian here we term as if the person is possessed by a spirit man(gay) or spirit woman(lesbian) atarudi kwenye normal life. Kama hujui kimombo itabidi utafute mkalimani kwenye site sote hizo!
Ameongea sawa kabisa, bibilia haijasema kuoa mwisho mmoja, ila kwakuwa mmeshapandikizwa hilo basi huwezi kukubali wala kufuata. Ila ndoa yaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja. Wakristo wamekuwa wavivu sana kusoma bible, hutokanayo nyumbani hadi kanisani ikiwa imefungwa, au ipo kwapani, hadi ukiingia ibadani tena hadi mwongozaji ibada aseme fungua sehemu kadha mstari kadhaa ndiyo utasoma nakuoshia hapo hadi j2 ijayo. Kwa mfumo huu huwezi kujua maandiko kamwe. Kinachotakiwa nikubishana kwa hoja siyo kwasababu fulani kasema. Mzee wa upako hayo kayatoa kwenye bible, hayajatoka kwenye magazeti yakijamii.
Sio mwanamke ni wanawake!Kuna mwanamke alishakufuata akakuomba unyumba sababu faru John katoweka bila taarifa?
Je waijua Biblia vizuri?HAKUNA SEHEMU AMBAYO BIBLIA IMEANDIKA MWANAMUME AWE NA MKE MMOJA NA MWANAMKE AWE NA MUME MMOJA.