Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
Asante mchungaji na hili la mme mmoja ni kero pia maoni yako mchungaji hawafanyi kazi yao sawasawa.
[emoji2] naona anawachunga kondoo wa bwana, huku akipiga pesa kupitia waumini.Na bado.....Hao ndo makanjanja wa Injili
Ni mpiga Deal kama wapiga Deal wengine.Aisee kakobe ungemjua vizuri ingekusaidia sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata kuoa tu kwangu mi naona tatzo sembuse kuoa wengi
Tunaweza sema mchungaji ni jipu kumbe majipu ni hao wafuasi wakeHalafu waumini wake wanashangilia kama mazuzu
Takwimu zinaonyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume pia hata katika siku 4 Kwa mwezi ambazo mwanamke anaweza pata mimba ni siku 1 tu ndo mtoto wa kiume anaweza patikana siku 3 zote ni mtoto wa kike sasa kama mungu alitaka ndoa ya mke mmoja je kwa nn afanye wanawake kuwa ni wengi kuliko wanaume??? kwani mungu alitaka hawa wanawake wengine wasipate mume wa kuwaoa ?? ikiwa kila mtu na mke mmoja je hawa wengine wanachukua wanaume za watu au wawe makahaba??? si kweli hakuna mungu anaeweza kufanya hvyo na aliposema nendeni mkazaliane na kuijaza dunia alijua kuwa wanaozaa wanatakiwa wawe wengi ili dunia iweze kujaa sasa wanaozaa ni wakina nani? kama si wanawake?
angalia tu wanyama kama simba,tembo,twiga,sokwe,mbuzi,mbwa je madume wanakuwa wengi au dume mmoja majike wengi??? au mtu yeyote anaefuga mnyama au ndege utanunua majike wengi kuliko madume au madume wengi kuliko majke????
Tafiti nying za kisanyasi au kiumbaji zinaonyesha dume au mwanaume anauwezo kwa kumiliki mmke au jike zaidi ya mmoja na ndo maana dume au mwanaume anauwezo wa kuzalisha hata akiwa na miaka 100 lakini si mwanamke wanamke ni 45-50 bhasi uwezo tena wa kuzaa unakuwa umekwisha