Binafsi siku zote namtambua Antony Rusekelo kama mfanya biashara kwa kutumia neno la MUNGU. anasema hivo huku akijua fika kuwa yuko kinyume kabisa na biblia takatifu na huku yeye ni mkristo ( Kwa muonekeno wa nje)
Anaongea hivo ili wanaume wapenda wanawake au wadada ambao hawajaolewa wafurike kanisani ili ajikusanyie sadaka basi.
Anaongea hivo ili wanaume wapenda wanawake au wadada ambao hawajaolewa wafurike kanisani ili ajikusanyie sadaka basi.