JOSEPH555
Member
- Sep 7, 2016
- 25
- 19
Ndugu Zangu wana Jf, Hajasema Hivyo Mnavyo dhania, Hata Mimi Nimesikiliza Mchana wa Leo J,pili, Alikuwa Anachanganua Life Style ya Uislaam Kwa Upande wa Wake Zaidi ya Mmoja, NA Ukristo Upande Wa Mke Mmoja, Akawa anaelezea Jinsi wake wa Wakristo Walivyo na Kiburi Kwa sababu yuko peke yake Kwa Mume, na pia Kisa Mume Haruhusiwi Kuongeza Mke, Akagusa pande zote Ubaya Na uzuri wake, kwa WaisLaam, Na Kwa Wakristo, Sasa Mtoa Maada Nadhani Bahati Mbaya Hapo Penye Michanga nuo Hukumuelewa Vizuri Mtumishi,
Maana Yule Jamaa Kama Utakumbuka Akasema Chanzo Kikuu cha Hawa Wake Zetu Kutoheshimu Waume zao Ni Kwa Sababu Wameacha Agizo La Waefeso 5:22 Ambapo andiko linasema Enyi wake Watiini Waume zenu- - -
Pia akasema, Mda mwingine wake wamekosa utii Kwa sababu ya Waume Nao Kutotimiza wajibu wao, ambapo Ni Awaefeso hiyo hiyo 5:25 enyi waume wapendeni wake zenu, - - - - -
Sasa akasema Ndio Maana Inaonekana Wana wake Wa Kiislaamu, Wana adabu Ni kwa Sababu akileta Ujinga Jamaa anahamia Kwingine, Akasema hawa wanaenda Kwa Mfumo wao wa Sheria,