Mchumba wangu huwa hataki nimpigie simu wala SmS bosi wake wa kiume akiwepo

Mimi na mchumba wangu tuna mahusiano ya miezi 5, anafanya kazi katika familia ya watumishi wa selikali nikimaanisha baba na mama ni wafanyakazi serikalini.

Shida ni kwamba bosi wake wa kike asipo kuwepo akawepo wa kiume huwa hataki tuchati wala kupigiana simu (Hasa usiku) , akidai hataki boss wake ajue kwamba tupo kwenye mahusiano, vilevile amekuwa akiniambia boss wake huyo amekuwa akiikagua simu yake mara kwa mara!

Wanajamvini naombeni Ushauri wenu.
Analiwa na boss wake. Cha msingi chakata nyama tulia
 
Mimi na mchumba wangu tuna mahusiano ya miezi 5, anafanya kazi katika familia ya watumishi wa selikali nikimaanisha baba na mama ni wafanyakazi serikalini.

Shida ni kwamba bosi wake wa kike asipo kuwepo akawepo wa kiume huwa hataki tuchati wala kupigiana simu (Hasa usiku) , akidai hataki boss wake ajue kwamba tupo kwenye mahusiano, vilevile amekuwa akiniambia boss wake huyo amekuwa akiikagua simu yake mara kwa mara!

Wanajamvini naombeni Ushauri wenu.
Mkuu demu wako kawa chakula cha boss.Elewa neno chakulaa
 
Usijali anakupenda sana ndio maana anakuficha vitu kama hivyo endelea kushikilia hapo hapo tu hata miaka mitatu mbele atakuja kukupa mbususu.

Endelea kuvumilia kijana wetu.
 
Mkuu umelogwa nn?hiyo mbona ni obvious na Sio kwamba huyo boss anamfosi ila manzi ndio hataki kumkosa.Jipange.
 
Mimi na mchumba wangu tuna mahusiano ya miezi 5, anafanya kazi katika familia ya watumishi wa selikali nikimaanisha baba na mama ni wafanyakazi serikalini.

Shida ni kwamba bosi wake wa kike asipo kuwepo akawepo wa kiume huwa hataki tuchati wala kupigiana simu (Hasa usiku) , akidai hataki boss wake ajue kwamba tupo kwenye mahusiano, vilevile amekuwa akiniambia boss wake huyo amekuwa akiikagua simu yake mara kwa mara!

Wanajamvini naombeni Ushauri wenu.
Sasa unataka ushauri gani tena kila kitu kipo wazi huyo ni chakula cha boss ...... kama una bisha jaribu kufuatilia simu zake ......
 
Back
Top Bottom