April26
JF-Expert Member
- Jul 14, 2020
- 1,403
- 2,118
Bro, mke wangu tunapendana na pia anajua sijawahi kumsaliti, kwa kiasi fulani anatambua hilo kuwa sijawahi kumcheat, tuna miaka mitatu kwenye mahusiano yetu tangu nimuoe.
Hivi karibuni tumekuwa na mgogoro akawa hataki kunipa mapenzi na muda mwingine akinipa ni ile kama ananisusia, ni kweli nilimkosea jambo fulani hivi, najua nilikuwa na kosa kwa hiyo alivyokuwa anagoma kunipa penzi sikuona kama ni makusudi bali fikra zake hazijatulia.
Nikaamua kumtafuta demu mmoja hivi, lakini wakati huo naomba msamaha kila siku, huyu demu ni kama ndio alinitaka mwenyewe miezi 3 nyuma, asubuhi ya Jumamosi moja nikaenda kuonana nae maeneo fulani kwa maongezi.
Tumeongea sana hadi tukaenda kupima HIV baada ya hapo tukaingia nyumba ya wageni tukala tunda. Ni jambo la ajabu na la haraka ambalo hata sasa nashangaa why nimefanya hivo, najiuliza huyu demu ana dawa au kitu gani? Baada ya mchezo akashika simu yangu akajipiga picha na akaomba tukapiga selfie kadhaa hivi.
Nikawa nawaza hizi picha nafuta tu tukisha achana hapo nyumba ya wageni. Sijui nini kimetokea nimejikuta nasahau na kwenda hadi home siku hiyo, ile natoka nje simu ikiwa juu ya meza nakuta wife ana angalia zile picha.
Bro, moyo ukapiga paaa, nikajikaza kusubiri aniulize, offcoz nyingine sio nzuri maana tumepiga kanibusu shavuni kabisa. Nikasikia miguno, mhh..ahaa....hehehe...oohhh ndio kilichokutoa asubuhi leo? Hayaa, akanyamaza na kuweka simu mezani akatoka nje.
Tangu siku hiyo bro bado kuna ka bifu, ila tukilala usiku kuna ule muda nimelala sina habari nahisi kuguswa kimahaba nikiamka nakuta yuko utupu nikimgusa hataki kabisa, na mimi narudi kulala zangu. Hii hali amekuwa akifanya sana kila siku usiku na mimi niko kimya, siku hizi mambo yakinizidia nanyoosha uzi namuita yule mwanamke nasafisha narudi.
Bro, naona nimeanza kucheat seriously na nishaanza kuona utamu na nguvu ya kutobabaika kwa huyu mke wangu, mwanzo hakuwahi kuona sms wala simu wala picha ya mwanamke, ananiamini na aliniamini sana sijui kwa sasa anawaza nini naona yuko bize tu na kazi zake.
Niliwahi kupitia maisha magumu ya kupata sex kwa mke wangu, siku akiamua kuninyima nilikuwa naumia sana lakini sasa hivi bro naona kawaida sana. Ila nampenda sana bro, bado nina hofu na kucheat sikuzoea.
Eti brother hapo nafanyaje, bahati mbaya yule duu simu kila mara na wakati mwingine wife anashtukia sema nakaza kibishi sitaki kukubali hata anikute niko nae kitandani nitakataa.
Swali gumu kwangu bro, why haoneshi utofauti japo namfahamu sana sana kuwa nae sio mtu wa wanaume tumeishi kwa kuaminiana sana?
Najiuliza au anajutia kuninyima? Lakini kwa nini ananifanyia bado vitimbwi kila usiku tukilala ni kama anataka au hataki?
Mimi: Mnaoa halafu badala ya kufurahi tazama unavyoumiza kichwa!
Ngoja nikusaidie kuipeleka kwa wadau JF nitakupa mrejesho ndugu yangu maana mimi sijawahi kuoa sina huo uzoefu.