dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,412
- 19,436
Ana duka, la nguo za kike kama sio lipo sinza basi KinondoniAna miliki duka kumbe? Dah sijui niroge wapi namimi nikamate pisi Kali.
Ana duka, la nguo za kike kama sio lipo sinza basi KinondoniAna miliki duka kumbe? Dah sijui niroge wapi namimi nikamate pisi Kali.
Tunasema imeisha hiyoHumo humo..!
Dawa yake unaenda dukani kwake unanunua nguo zote hadi lipstick unakomba kila kitu halafu unabeba tu hata hujui unazipeleka wapi then we unachofanya unachukua namba yake tu. Unamwambia akileta mzigo mwingine akupigie.Ana miliki duka kumbe? Dah sijui niroge wapi namimi nikamate pisi Kali.
Hahaha we chz kweli hahahahaDawa yake unaenda dukani kwake unanunua nguo zote hadi lipstick unakomba kila kitu halafu unabeba tu hata hujui unazipeleka wapi then we unachofanya unachukua namba yake tu. Unamwambia akileta mzigo mwingine akupigie.
Akileta Tena unafanya hivyo wallah tena huyo muimba muziki atamsahau.
Hongera CAGMtu kaongoza module moja ya cpa kati ya kumi ndo kunamfanya awe cag??
viru vingine muwe mnaulizaga tu
Kitambo sanaHawa ngoja waachane, jamaa anapenda sana kumsifiasifia na kujidai nae sana hapa mjini. Ngoja tu yatamfika