Mke wa pili anahitajika

Jimmy copper

Member
Sep 20, 2022
31
59
Mambo yasiwe mengi, kuna cousin brother wangu anahitaji kuongeza mke wa pili.
Vigezo:
  • Awe mrembo wa sura na umbo pia
  • Elimu kidogo angalau form six au certifcate
  • Umri miaka kuanzia 25 mpaka 32
  • Dini Islam kama ni tofauti awe tayari kubadili.
Kuhusu yeye;
  • Ni mfanyakazi wa Serikali na mfanyabiashara kariakoo, kwahiyo anajiweza kimaisha.
  • Umri wake ni miaka 38
  • Ana mke mmoja tayari,
  • Anaishi Dar es Salaam.
Maelekezo mengine PM, wahitaji mnaweza tuma details zenu PM.
 
IMG_1225.jpg
 
Raha ya mke wa pili uutafutiwe na mke wa kwanza.
 
Yaraby ninusuru nisijefikia wakati nikahitajika kufanya hivyo.
Yatakuwa maumivu zaidi ya msiba kwangu!
nikukumbushe kidogo

An-Nisa' 4:3

وَإِنْ خِفْتُمْ أَلَّا تُقْسِطُوا۟ فِى ٱلْيَتَٰمَىٰ فَٱنكِحُوا۟ مَا طَابَ لَكُم مِّنَ ٱلنِّسَآءِ مَثْنَىٰ وَثُلَٰثَ وَرُبَٰعَۖ فَإِنْ خِفْتُمْ أَلَّا تَعْدِلُوا۟ فَوَٰحِدَةً أَوْ مَا مَلَكَتْ أَيْمَٰنُكُمْۚ ذَٰلِكَ أَدْنَىٰٓ أَلَّا تَعُولُوا۟

Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani

Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu, au wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki. Kufanya hivi ndiko kutapelekea msikithirishe wana.

UZURI NDOA NI MAKUBALIANO/mkataba baina YA WAWILI SO UNAWEZA KUWA NA MAAMUZI YA KUKATAA MKE WA PILI , MFANO FATUMA(radhialau anha) HAKUTAKA MUMEWE ALI IBN ABI TALIB(radhialahu anhu) AOE MKE WA PILI MPAKA KIFO CHAKE NDIPO ALI (radhialahu anhu) ALIPOOA TENA .
 
Yaraby ninusuru nisijefikia wakati nikahitajika kufanya hivyo.
Yatakuwa maumivu zaidi ya msiba kwangu!
Nafikiri wewe unasikia misiba kwa majirani, hayajakukuta nyumbani kwako na ndio sababu unafananisha vitu vya hovyo hovyo na msiba (eti zaidi ya msiba - Shame!)
 
Mambo yasiwe mengi, kuna cousin brother wangu anahitaji kuongeza mke wa pili.
Vigezo:
  • Awe mrembo wa sura na umbo pia
  • Elimu kidogo angalau form six au certifcate
  • Umri miaka kuanzia 25 mpaka 32
  • Dini Islam kama ni tofauti awe tayari kubadili.
Kuhusu yeye;
  • Ni mfanyakazi wa Serikali na mfanyabiashara kariakoo, kwahiyo anajiweza kimaisha.
  • Umri wake ni miaka 38
  • Ana mke mmoja tayari,
  • Anaishi Dar es Salaam.
Maelekezo mengine PM, wahitaji mnaweza tuma details zenu PM.
hongera
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom