Mchumba wake Nikki wa Pili huenda akawa CAG mpya. Tayari ametuma maombi

Kwa niaba ya wasio na connection wote, tunaomba kupata hiyo habari ya Wistaz Lodge ilikuajekuaje. Natanguliza shukrani za dhati
Pole man. Ubaya hamna picha wala video. Ila kuna babu kala mzigo wa huyu chalii wa Aru.

Tatizo jamaa alinitia mjuaji akamchokoza kigogo2014 uwanjani kwake twittani. Si unajua kigogo ana mabalaa.

Akampasua kwamba demu wako kachanwa hapa Wistaz na Paris.
 
Duuuh, kigogo hafai. Kwaio huyo babu alimpelekea Paris ufaransa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom