Rubbish! Chawa mkubwa we!CDM ichague moja kufanya siasa au harakati, karata zote wanazo wao.
Rubbish! Chawa mkubwa we!CDM ichague moja kufanya siasa au harakati, karata zote wanazo wao.
Sasa mimi ningejitokeza vipi wakati maandamano yenu na Mange mliyafanyia chumbani kwenu!.Si nimeyaonea wapi nilikuwepo, haya wewe ulitoa hata pua lako?
Chadema hawajawahi, mngekuwa na huo uwezo msingeacha mwenyekiti wenu mpaka sasa yupo jela..!!
Mange hayupo kushindana na Chadema, yeye yupo kuwaeleza wananchi kile ambacho viongozi wa Chadema mlivyo wasaliti na waongo..!!
Halafu mbona akimponda Samia mnakenua? Lakini akiwakosoa nyie mko juu kama moto wa kifuu kwanini??
Hiyo ya amani sijaiona, anyway labda ana mpango wa kuanza kuhubiri injili akistaafu siasa!.Haha Denoo bwana! Hakuna cha Heche kukanusha hapo ana mambo mengi ya kichama ya kushughulikia.
Anyways Lema amesema tudumishe amani na tusiwe na chuki na Ma CCM 😅✌🏻
Anayeongoza kwa kula uchafu ni yule Maria SarungiHuyo kimambi mwanzoni alikuwa anapewa sensitive information anatusanua bila kuchuja baada yakugundua weakness wakaanza kumpa fake news kisa anaamini vyanzo.
Ungejitokeza wapi na ikiwa ulibana ndani unaogopa risasi..!!Sasa mimi ningejitokeza vipi wakati maandamano yenu na Mange mliyafanyia chumbani kwenu!.
Mange ni sawa na tambara bovu, watafute hao wanaomchekea wapenda umbea uwaulize kwanini humchekea akimponda Samia!, mimi sio miongoni mwao.
Nasikia na wewe ni ccm damu damuNtaeleweka vibaya Ila Nataka kuwaeleza pamoja na kwamba mi na mangi ni maji na Mafuta
Ila TISS wamefanikiwa kuwagawa CHADEMA kwa kuwatumia baadhi ya wanaharakati kuwafarakanisha bila kujua
Kwa sasa harakati zimekuwa ni nani karipot wa kwanza , nani anatumia maneno makali nani anaonesha misimamo hata Kama ni ya kipuuzi
Suala la Mangi wamemsingizia hahusiki kabisa na kumpeleka Mkuu wa xxxx kwa Mgwai, alompelekea ni mtu wa nyumba ya xxxx ambaye mwaka ***** alifanikisha jambo!
Chadema muwe makini sana, si kila taarifa mnayopokea mrushe mtandaoni
Alafu Taasisi ijifunze ku address issues za chama kupitia formalities Siyo kila mwana harakati ni msemaji wa Chama
Soma pia
Na alikuwa na ukaribu sana na mama kipindi anaapishwa mwanzoni kabisaHawa wote akina kimambi usishangae before 2030 anafanya kazi ya CCM
Mange ni lidude likuubwa mtandaoni!Ungejitokeza wapi na ikiwa ulibana ndani unaogopa risasi..!!
Hiko ndio kinachowafanya wananchi wagons kutoka mkiitisha maandamano yenu..!!
Mbowe alijaribu maandamano ya ukuta hata nyie wafuasi wake mkabana pumb kama sio nyie 😹
Hamuaminiani hadi wenyewe kwa wenyewe..!!
Mange ni li dude li kuubwaaa hilo weka akilini.
Kipindi cha jiwe aliwafanyisha usafi jeshi nchi nzima..!!
Hata maombelezo ya juzi si umeona gari za policcm zilivyojaa mitaani. Haya nyie mlifanikiwa lipi?
Mumshukuru sana Lissu na Heche kwa kuwasaidia kuwarudisha wananchi sasa hivi, lakini huyo Lema kashatibua na msipomtoa mtabaki peke yenu na sasa hivi chadema mnasaidiwa pesa na wananchi..!! Kazeni fuvu muone
Kama hajatumwa na CCM, serikali ya CCM huwa inamchukulia hatua gani?Ni kama Mwaipopo akiongea watu huona ametumwa na CCM. Hata kama sio.
Hiyo ilikua zamani sasa hivi utandawazi hadi huko bush wanamjua Mange ni nani nchi hii..!!Mange ni lidude likuubwa mtandaoni!
Field ni kadude kadoogo.
CDM ina matawi mpaka vijijini huko ambapo Mange hata hajulikani!.
Kama kumuamini sana aanzishe chama chake cha siasa.
Unaona ujinga wenu sasa mkiambiwa ukweli? unadhani kila mtu ni chawa wa CCM sio?Rubbish! Chawa mkubwa we!
Masikitiko yangu ni kwamba TISS Haiwezi kutofautisha CCM na Tanzania.Ntaeleweka vibaya Ila Nataka kuwaeleza pamoja na kwamba mi na mangi ni maji na Mafuta
Ila TISS wamefanikiwa kuwagawa CHADEMA kwa kuwatumia baadhi ya wanaharakati kuwafarakanisha bila kujua
Kwa sasa harakati zimekuwa ni nani karipot wa kwanza , nani anatumia maneno makali nani anaonesha misimamo hata Kama ni ya kipuuzi
Suala la Mangi wamemsingizia hahusiki kabisa na kumpeleka Mkuu wa xxxx kwa Mgwai, alompelekea ni mtu wa nyumba ya xxxx ambaye mwaka ***** alifanikisha jambo!
Chadema muwe makini sana, si kila taarifa mnayopokea mrushe mtandaoni
Alafu Taasisi ijifunze ku address issues za chama kupitia formalities Siyo kila mwana harakati ni msemaji wa Chama
Soma pia
Na alikuwa na ukaribu sana na mama kipindi anaapishwa mwanzoni kabisaHawa wote akina kimambi usishangae before 2030 anafanya kazi ya CCM
Uko sahihi hapa.Sema tu ukweli Lema anatumika na Mange anatumika katika Makundi 2 tofauti yenye interest tofauti
😂😂😂😂Wewe unabifu na mange sababu huwa anakuwahi kwa hiyo lazima umtete lema
Hapa Brits nakupinga, hao wanaharakati hawasemi km viongozi au wasemaji wa chama, wanasema km wao binafsi na kuwasanua wananchi, km ambavyo wee hapa unavyotuletea habari za ndani, huwa unatusanua km msemaji wa chama au wewe binafsi kutujuza waja ya jikoni??Wengi boss ntakutag one day tuipe assignment
Umemaliza kila kitu.Chadema sasa hivi hakuna maslahi, hakuna maridhiano, hakuna kugombea n.k, usitegemee mtu kama Lema kuendelea kuwepo kwenye sera kama hizo.
Siasa za akina Lema, zilikuwa zile za Mbowe, watu wawe na magepu ya kupata ugali mezani.
Mbona ishu ya Pole pole inajadiliwa na wanaharakati kila uchwao, na wao CCM hawajawahi kutoka nje kukanusha? Vipi kuhusu Nchimbi? Wametoka front kujuza umma kuwa yuko wapi na anafanya nini?Mkuu Kalamu Nadhani umenielewa tofauti kidogo. Sijasema CHADEMA imefanya maamuzi fulani ya kimakosa kwa maagizo ya Mange au wanaharakati wengine.
Hoja yangu ni kuhusu mwelekeo wa mijadala na ushawishi ndani ya chama. Kwa mfano, tunapoona mijadala ya tuhuma dhidi ya viongozi, madai ya usaliti na misimamo kuhusu maridhiano ikitawala mijadala ya wanachama, wakati mwingine hoja za wanaharakati zinaonekana kuwa na ushawishi mkubwa katika kuamua nani ni msaliti na nani ni mfia chama, je chama kinasemaje? Mfano hai ni hii case ya Mange vs Lema, uhisi kwa ushawishi mkubwa wa Mange na madai anayotoa dhidi ya Kiongozi kama Lema ilibidi uongozi uje front, kwa kukaa kimya huoni kuna damage inapatikana kwenye chama?
Hapo ndipo ninapohoji nafasi ya taasisi za chama na mifumo yake ya ndani katika kusimamia baadhi ya mambo.
Sipingani na haki ya wanachama kukosoa viongozi, wala siungi mkono maridhiano yasiyo na masharti. Ninachosisitiza ni kwamba chama kinapaswa kuwa na msimamo na mwelekeo wake wa kitaasisi, badala ya kuonekana kinayumbishwa na kila upepo wa mijadala ya mitandaoni.
Yaani Mange amtuhumu Lema, afu aje ajibu Brenda kumsafisha? Kwani Lema mwenyewe asijibu hizo tuhuma zake binafsi? Mbona Dada wa lissu alijitokeza kujibu?Msingi wangu ni huu:
Kwa tuhuma anazopewa kiongozi wa chama zisizo na ushahidi, hiyo ni kazi ya Brenda kumsafisha.
Lakini kwa tuhuma anazopewa kiongozi wa chama zenye ushahidi, ni lazima mtuhumiwa ajitokeze personally ajibu, transactions zote zilipita kwa account ya Heche personally, Brenda amjibie vipi?
Au ndio unataka Brenda nae aje na majibu ya kutunga kama yale mliyokuwa mkijitungia kumjibia Heche.. ooh kabaki na kadi za magari tu, lakini magari aliyauza... kisha mnagongeana likes!.