Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,890
- 26,440
Na sababu ni moja tu Tundu Lissu yuko jela.Mimi nitawaambia humu kila siku kwa style hii mtaendelea kuwa vulnerable kwa CCM na mtabaki kila siku kushikana uchawi.
Tundu Lissu angekuwa hayuko jela kusingekuwepo mambo kama haya ya akina Lema.