Amani na Upendo
Senior Member
- May 5, 2012
- 121
- 205
Lema amekuwa exposed kuwa yeye ni PANDIKIZI,hii press yake imethibitisha kila kitu.Huu ni Ushindi kwa Chadema ya Lisu na Watanzania wenye Upendo na Tanzania
Wewe unabifu na mange sababu huwa anakuwahi kwa hiyo lazima umtete lemaNtaeleweka vibaya Ila Nataka kuwaeleza pamoja na kwamba mi na mangi ni maji na Mafuta
Ila TISS wamefanikiwa kuwagawa CHADEMA kwa kuwatumia baadhi ya wanaharakati kuwafarakanisha bila kujua
Kwa sasa harakati zimekuwa ni nani karipot wa kwanza , nani anatumia maneno makali nani anaonesha misimamo hata Kama ni ya kipuuzi
Suala la Mangi wamemsingizia hahusiki kabisa na kumpeleka Mkuu wa xxxx kwa Mgwai, alompelekea ni mtu wa nyumba ya xxxx ambaye mwaka ***** alifanikisha jambo!
Chadema muwe makini sana, si kila taarifa mnayopokea mrushe mtandaoni
Alafu Taasisi ijifunze ku address issues za chama kupitia formalities Siyo kila mwana harakati ni msemaji wa Chama
Soma pia
Na alikuwa na ukaribu sana na mama kipindi anaapishwa mwanzoni kabisaHawa wote akina kimambi usishangae before 2030 anafanya kazi ya CCM
Mbona Taarifa za chama huwa zinatolewa na chama"Siyo kila mwana harakati ni msemaji wa Chama"
Hili jambo CDM wamelishindwa kabisa.🤔
Lema amesema hawezi kufanya harakati za uasi, na ni dhahiri chama hakiruhusiwi kufanya hivyo.Nani sasa anawapotezea muda mimi au Lema 😂, na kama hamumtaki si mumvue uanachama?
Nimekuelewa Comrade Britanicca yaani Kuna wanaharakati sasa hivi ndiyo kama viongozi wa CHADEMAYaan na walifanya kosa kubwa sana
Hili hawataki kulikubali, ukiwaambia kimbilio lao ni matusi, hovyo kabisa.Nimekuelewa Comrade Britanicca yaani Kuna wanaharakati sasa hivi ndiyo kama viongozi wa CHADEMA
Hivi vitu vinatenganishwa na mstari mwembambaCDM ichague moja kufanya siasa au harakati, karata zote wanazo wao.
I can say with no fear of contradiction kwamba, Mange na wewe na Lema, na Paskali na baadhi ya wachache wengine hamtofautiani kati yenu.Ntaeleweka vibaya Ila Nataka kuwaeleza pamoja na kwamba mi na mangi ni maji na Mafuta
Ila TISS wamefanikiwa kuwagawa CHADEMA kwa kuwatumia baadhi ya wanaharakati kuwafarakanisha bila kujua
Kwa sasa harakati zimekuwa ni nani karipot wa kwanza , nani anatumia maneno makali nani anaonesha misimamo hata Kama ni ya kipuuzi
Suala la Mangi wamemsingizia hahusiki kabisa na kumpeleka Mkuu wa xxxx kwa Mgwai, alompelekea ni mtu wa nyumba ya xxxx ambaye mwaka ***** alifanikisha jambo!
Chadema muwe makini sana, si kila taarifa mnayopokea mrushe mtandaoni
Alafu Taasisi ijifunze ku address issues za chama kupitia formalities Siyo kila mwana harakati ni msemaji wa Chama
Soma pia
Na alikuwa na ukaribu sana na mama kipindi anaapishwa mwanzoni kabisaHawa wote akina kimambi usishangae before 2030 anafanya kazi ya CCM
Michezo mzee, sisi wengine hatuna shida na Mange, shida ni chama kuruhusu info za kila mtu kurule chama na wanachama, thats the thing.Huyo kimambi mwanzoni alikuwa anapewa sensitive information anatusanua bila kuchuja baada yakugundua weakness wakaanza kumpa fake news kisa anaamini vyanzo.
And yet kuna watu wanaamua muelekeo wa chama, refer case ya sasa MANGE vs LEMA, huoni kuwa chama kilibidi kitoke front? Why, kwasababu hizo ni tuhuma za mtu ambae anainfluence kubwa kwa wanachama vs Kiongozi wenu.Mbona Taarifa za chama huwa zinatolewa na chama
Nakuelewa sanaa, lakini it seems like chama na wanachama wanamove kwa kauli na moves za wanaharakati zaidi kuliko katiba na ilani ya chama, unless otherwise hiyo ndio iwe strategy ya chama.Hivi vitu vinatenganishwa na mstari mwembamba
Siku ya leo imekuwa njema sana kwa upande wa chadema kwani watajivua gamba na kusimama pamoja na kuwa imara zaidi,usikute mtu wa kati akawa mnyika wote mkabaki midomo wazi😆😆Ntaeleweka vibaya Ila Nataka kuwaeleza pamoja na kwamba mi na mangi ni maji na Mafuta
Ila TISS wamefanikiwa kuwagawa CHADEMA kwa kuwatumia baadhi ya wanaharakati kuwafarakanisha bila kujua
Kwa sasa harakati zimekuwa ni nani karipot wa kwanza , nani anatumia maneno makali nani anaonesha misimamo hata Kama ni ya kipuuzi
Suala la Mangi wamemsingizia hahusiki kabisa na kumpeleka Mkuu wa xxxx kwa Mgwai, alompelekea ni mtu wa nyumba ya xxxx ambaye mwaka ***** alifanikisha jambo!
Chadema muwe makini sana, si kila taarifa mnayopokea mrushe mtandaoni
Alafu Taasisi ijifunze ku address issues za chama kupitia formalities Siyo kila mwana harakati ni msemaji wa Chama
Soma pia
Na alikuwa na ukaribu sana na mama kipindi anaapishwa mwanzoni kabisaHawa wote akina kimambi usishangae before 2030 anafanya kazi ya CCM
Ntaeleweka vibaya Ila Nataka kuwaeleza pamoja na kwamba mi na mangi ni maji na Mafuta
Ila TISS wamefanikiwa kuwagawa CHADEMA kwa kuwatumia baadhi ya wanaharakati kuwafarakanisha bila kujua
Kwa sasa harakati zimekuwa ni nani karipot wa kwanza , nani anatumia maneno makali nani anaonesha misimamo hata Kama ni ya kipuuzi
Suala la Mangi wamemsingizia hahusiki kabisa na kumpeleka Mkuu wa xxxx kwa Mgwai, alompelekea ni mtu wa nyumba ya xxxx ambaye mwaka ***** alifanikisha jambo!
Chadema muwe makini sana, si kila taarifa mnayopokea mrushe mtandaoni
Alafu Taasisi ijifunze ku address issues za chama kupitia formalities Siyo kila mwana harakati ni msemaji wa Chama
Soma pia
Na alikuwa na ukaribu sana na mama kipindi anaapishwa mwanzoni kabisaHawa wote akina kimambi usishangae before 2030 anafanya kazi ya CCM
Maandamano aliyoitisha juzi Okt.29 uliyaonea wapi?Kusema mange hana impact ni kujidanganya
Kumjibu Mange ni ujinga tu, sioni umuhimu wake yule ni mpiga kelele mitandaoni aliyejipatia umaarufu kwasababu ya kueneza habari za umbea.
Hana impact yoyote field, kama TISS wanamtumia kweli au unajituma mwenyewe hawezi kubadilisha chochote kwenye platform ya taasisi.
Ila kuhusu usemaji wa CDM hapo nakubaliana nawe, Brenda yupo kimya sana, angetakiwa yeye ndie ajitokeze kuwasafisha viongozi wa chama chake wanapotuhumiwa na Mange.
Badala yake anamlazimisha Lema ajitokeze hadharani kujisafisha, kitu ambacho sio sawa kwa mtu wa level yake kuhangaika na Mange ambaye alishamzushia mpaka dada wa Lissu kukutana na JK hotelini akapingwa na hakusema chochote.
Kwani Chadema iliwahi kumtambua Mange kama msemaji wa chama ??Ntaeleweka vibaya Ila Nataka kuwaeleza pamoja na kwamba mi na mangi ni maji na Mafuta
Ila TISS wamefanikiwa kuwagawa CHADEMA kwa kuwatumia baadhi ya wanaharakati kuwafarakanisha bila kujua
Kwa sasa harakati zimekuwa ni nani karipot wa kwanza , nani anatumia maneno makali nani anaonesha misimamo hata Kama ni ya kipuuzi
Suala la Mangi wamemsingizia hahusiki kabisa na kumpeleka Mkuu wa xxxx kwa Mgwai, alompelekea ni mtu wa nyumba ya xxxx ambaye mwaka ***** alifanikisha jambo!
Chadema muwe makini sana, si kila taarifa mnayopokea mrushe mtandaoni
Alafu Taasisi ijifunze ku address issues za chama kupitia formalities Siyo kila mwana harakati ni msemaji wa Chama
Soma pia
Na alikuwa na ukaribu sana na mama kipindi anaapishwa mwanzoni kabisaHawa wote akina kimambi usishangae before 2030 anafanya kazi ya CCM
Manga angakuwa hana impact lema asingekuja kumjibuMaandamano aliyoitisha juzi Okt.29 uliyaonea wapi?
Impact anayo mitandaoni kupewa likes na wapenda umbea, sio field.