Mchezo wote nauelewa, Mangi ni msafi

Mchezo wote nauelewa, Mangi ni msafi

Mange alipoteza credibility tokea 29 october wale wengine sijui tsai .sativa na hilda ni wachamba umbea tu

Cdm inabidi wawe profesional maana kinaonekana kama chama cha wahuni
Nyie ndio mnalazimisha hivyo, ila wale wapo huru kama wanaharakati wa upinzani sio CHADEMA
 
Ila wanaoua na kuteka wanazo? Punguza unafiki. CHADEMA wamewahi kuteka nani na kumuua? Au kumpiga risasi. Wewe endelea kumlamba miguu Samiah achana na mambo ya CHADEMA.
Msimamo wangu unaeleweka juu ya hilo nyie mliofundishwa na walimu wanaovaa milegezo hata akili zenu ni mlegezo nimeongelea jambo jingine wewe unaleta jambo tofauti.
 
Mange alipoteza credibility tokea 29 october wale wengine sijui tsai .sativa na hilda ni wachamba umbea tu

Cdm inabidi wawe profesional maana kinaonekana kama chama cha wahuni
Mange ana kijiji chake aiseee... Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kupuuza Mange
 
Muwe mnasoma na kuelewa, narudia tena Mange hana impact yoyote field kama ipo niambie wapi na lini alisababisha nini kikatokea?

Juzi kaitisha maandamano kuwakumbuka waliofariki Okt.29, uliyaonea wapi hayo maandamano yake?

Narudia tena, Mange hana impact yoyote field.
Maandamano ya OCT 29 Mange ana mchango mkubwa.

Nyie Chadema maandamano yapi mliyoitisha yaliwahi kufanikiwa?

Sasa hivi mwenyekiti wenu Lissu yupo kwa kesi ya mchongo lakini mmeshindwa hata kushawishi wanachama wenu waandamane?

Serikali haipati usingizi muda wote inamuwinda Mange, kampuni ya meta imepewa pesa ili tu account za Mange zifungwe. Halafu bila aibu unaongea Mange hana impact!!

Watu wawili tu Tanzania hii waliofatwa face to face na Abdul ili kuwazima midomo Lissu na Mange. Na wote wamegoma..!!

Mange kaibua ufisadi mkubwa wa nchi hii uliopelekea watanzania kuamua kufanya maandamano, kitu ambacho Chadema mlikosa uungwaji mkono. Unajua ni kwanini?

Sababu ndio kama hizo za wanasiasa malaya malaya kama kina msigwa, silinde na Sasa Mbowe na Lema.
Nyie mlishaishiwa ndiomana sasa hivi wananchi wana imani kubwa na Mange maana hana upande kasimama na wanachi..!!

Mkimtoa Lissu na Heche hapo Chadema Nani mwingine mwenye misimamo?
 
Madai yangu kwa Heche yapo kwa ushahidi uliotolewa dhidi yake mahakamani kumhusu, usinihusishe na wengine, ondoa wingi ukinijibu.

Zaidi hakuna fundamentals hapo.

Mmoja upo ushahidi wa kashfa kumhusu alioshindwa kuutolea majibu ikiwa inamaanisha yote aliyohusishwa nayo ni kweli, kama sio kweli ajitokeze kujibu

Mwingine anasingiziwa mambo ya uongo yasiyo na ushahidi wowote, ni umbea tu unaoaminiwa na wajinga, ndio maana anajiamini ni msafi anajitokeza personally kujisafisha.
Kwahiyo ni sahihi alivyojitokeza kujisafisha au bado unataka Brenda/Chama kimsafishe.

Misingi yako ni ipi? nimerudia swali langu.
 
Kumjibu Mange ni ujinga tu, sioni umuhimu wake yule ni mpiga kelele mitandaoni aliyejipatia umaarufu kwasababu ya kueneza habari za umbea.

Hana impact yoyote field, kama TISS wanamtumia kweli au unajituma mwenyewe hawezi kubadilisha chochote kwenye platform ya taasisi.

Ila kuhusu usemaji wa CDM hapo nakubaliana nawe, Brenda yupo kimya sana, angetakiwa yeye ndie ajitokeze kuwasafisha viongozi wa chama chake wanapotuhumiwa na Mange.

Badala yake anamlazimisha Lema ajitokeze hadharani kujisafisha, kitu ambacho sio sawa kwa mtu wa level yake kuhangaika na Mange ambaye alishamzushia mpaka dada wa Lissu kukutana na JK hotelini akapingwa na hakusema chochote.
Impact anayo kubwa shukuru wewe shule IPO kichwani na unaweza kupambanua , Kuna watu huku mtaani wanamwamini 💯 %
 
Ntaeleweka vibaya Ila Nataka kuwaeleza pamoja na kwamba mi na mangi ni maji na Mafuta

Ila TISS wamefanikiwa kuwagawa CHADEMA kwa kuwatumia baadhi ya wanaharakati kuwafarakanisha bila kujua

Kwa sasa harakati zimekuwa ni nani karipot wa kwanza , nani anatumia maneno makali nani anaonesha misimamo hata Kama ni ya kipuuzi

Suala la Mangi wamemsingizia hahusiki kabisa na kumpeleka Mkuu wa xxxx kwa Mgwai, alompelekea ni mtu wa nyumba ya xxxx ambaye mwaka ***** alifanikisha jambo!

Chadema muwe makini sana, si kila taarifa mnayopokea mrushe mtandaoni

Alafu Taasisi ijifunze ku address issues za chama kupitia formalities Siyo kila mwana harakati ni msemaji wa Chama

Soma pia

chadema ishakufa wamebaki watukanaji wakina mange
 
Pamoja na kutokuwa shabiki wake huyo Mange kwa kutoamini anachokipigania; lakini huwezi kusema hana 'impact', wakati hao waovu wenyewe wanahangaika sana kuhusu hayo anayoyaibua.
Hamza Johari, baada tu ya kuapishwa alitangaza kuwa kapewa maagizo kumtafuta Mange. Mtu asiyekuwa na 'impact' hawezi kupewa umuhimu wa aina hiyo.
Wanachama wajinga wa Chadema wanaendeshwa na mihemko..!!

Mange kawasaidia sana kufanya wananchi wawe na imani na chama..!!

Kama unakumbuka kipindi cha jiwe alikua ananunua wapinzani hovyo, usaliti ulikua ni mwingi kila mmoja anaangalia tumbo lake.

Hata Mbowe alipoitisha Ukuta hakuna mwananchi aliyejitokeza achilia hao wafuasi wake. Ajiulize ni kwanini?
 
Kwahiyo ni sahihi alivyojitokeza kujisafisha au bado unataka Brenda/Chama kimsafishe.

Misingi yako ni ipi? nimerudia swali langu.
Msingi wangu ni huu:

Kwa tuhuma anazopewa kiongozi wa chama zisizo na ushahidi, hiyo ni kazi ya Brenda kumsafisha.

Lakini kwa tuhuma anazopewa kiongozi wa chama zenye ushahidi, ni lazima mtuhumiwa ajitokeze personally ajibu, transactions zote zilipita kwa account ya Heche personally, Brenda amjibie vipi?

Au ndio unataka Brenda nae aje na majibu ya kutunga kama yale mliyokuwa mkijitungia kumjibia Heche.. ooh kabaki na kadi za magari tu, lakini magari aliyauza... kisha mnagongeana likes!.
 
Maandamano ya OCT 29 Mange ana mchango mkubwa.

Nyie Chadema maandamano yapi mliyoitisha yaliwahi kufanikiwa?

Sasa hivi mwenyekiti wenu Lissu yupo kwa kesi ya mchongo lakini mmeshindwa hata kushawishi wanachama wenu waandamane?

Serikali haipati usingizi muda wote inamuwinda Mange, kampuni ya meta imepewa pesa ili tu account za Mange zifungwe. Halafu bila aibu unaongea Mange hana impact!!

Watu wawili tu Tanzania hii waliofatwa face to face na Abdul ili kuwazima midomo Lissu na Mange. Na wote wamegoma..!!

Mange kaibua ufisadi mkubwa wa nchi hii uliopelekea watanzania kuamua kufanya maandamano, kitu ambacho Chadema mlikosa uungwaji mkono. Unajua ni kwanini?

Sababu ndio kama hizo za wanasiasa malaya malaya kama kina msigwa, silinde na Sasa Mbowe na Lema.
Nyie mlishaishiwa ndiomana sasa hivi wananchi wana imani kubwa na Mange maana hana upande kasimama na wanachi..!!

Mkimtoa Lissu na Heche hapo Chadema Nani mwingine mwenye misimamo?
Hayo maandamano ya Okt. 29 nimekuuliza uliyaonea wapi?

Chadema wameshawahi kufanya maandamano yakafanikiwa vizuri tu, nimeyaona Arusha wakati wa Dr. Slaa.

Wakati huu ndio bado hawajaitisha, lakini wakiamua, naamini yatafanyika vizuri tu.

Hayupo individual wa kushindana na taasisi hapq duniani.
 
Msingi wangu ni huu:

Kwa tuhuma anazopewa kiongozi wa chama zisizo na ushahidi, hiyo ni kazi ya Brenda kumsafisha.

Lakini kwa tuhuma anazopewa kiongozi wa chama zenye ushahidi, ni lazima mtuhumiwa ajitokeze personally ajibu, transactions zote zilipita kwa account ya Heche personally, Brenda amjibie vipi?

Au ndio unataka Brenda nae aje na majibu ya kutunga kama yale mliyokuwa mkijitungia kumjibia Heche, ooh kabaki na kadi za magari tu, lakini magari aliyauza... kisha mnagongeana likes!
Kwasababu ni umbea kama huu wa sasa wa Lema, somehow wewe umeshathibitisha la kwanza la pili hulitaki!
 
Kwani Chadema iliwahi kumtambua Mange kama msemaji wa chama ??

Lema kumjibu mange kimambi Tena KATIKA wakati huu amejishusha sana

Na ameomyesha alivyo madhaifu kuhandle ishu kubwa
Nakubaliana na wewe. Lema kumjibu Mange kwa kweli ameonyesha udhaifu sana na amejishushia hadhi. Hadhi ya Lema sio ya kujibishana na Mange Kimambi. Yeye angepotezea tu kama walivyomshauri.
Kwa hiyo kila jambo akimsingizia lazima aite press
 
Hayo maandamano ya Okt. 29 nimekuuliza uliyaonea wapi?

Chadema wameshawahi kufanya maandamano yakafanikiwa vizuri tu, nimeyaona Arusha wakati wa Dr. Slaa.

Wakati huu ndio bado hawajaitisha, lakini wakiamua, naamini yatafanyika vizuri tu.

Hayupo individual wa kushindana na taasisi hapq duniani.
Sio nimeyaonea wapi nilikuwepo, haya wewe ulitoa hata pua lako?

Chadema hawajawahi, mngekuwa na huo uwezo msingeacha mwenyekiti wenu mpaka sasa yupo jela..!!

Mange hayupo kushindana na Chadema, yeye yupo kuwaeleza wananchi kile ambacho viongozi wa Chadema mlivyo wasaliti na waongo..!!

Halafu mbona akimponda Samia mnakenua? Lakini akiwakosoa nyie mko juu kama moto wa kifuu kwanini??
 
Mahaba niue yanakutia upofu.

Heche na Lema kwa issue ya accountability ni sawa na black & white.

Heche mpaka leo bado anajificha kwenye kivuli chako msemaji wake, umtungie majibu kwa tuhumq zake!.
Haha Denoo bwana! Hakuna cha Heche kukanusha hapo ana mambo mengi ya kichama ya kushughulikia.

Anyways Lema amesema tudumishe amani na tusiwe na chuki na Ma CCM 😅✌🏻
 
Britannica ni kama una hofu fulani isiyo ya kawaida kuhusu Mange na wanaharaki wengine wanaoleta taarifa zinazopingana na zako. Usichojua ni kwamba huwa hatuamini kila taarifa inayoletwa na wanaharaki ukiwemo wewe. Tunajua kuchuja taarifa. Chadema kama chama umewasingizia sana hapa. Mbona huwa hata hawajigusi kwa hizi taarifa zenu nyingi mnazoeneza mitandaoni.
 
Ntaeleweka vibaya Ila Nataka kuwaeleza pamoja na kwamba mi na mangi ni maji na Mafuta

Ila TISS wamefanikiwa kuwagawa CHADEMA kwa kuwatumia baadhi ya wanaharakati kuwafarakanisha bila kujua

Kwa sasa harakati zimekuwa ni nani karipot wa kwanza , nani anatumia maneno makali nani anaonesha misimamo hata Kama ni ya kipuuzi

Suala la Mangi wamemsingizia hahusiki kabisa na kumpeleka Mkuu wa xxxx kwa Mgwai, alompelekea ni mtu wa nyumba ya xxxx ambaye mwaka ***** alifanikisha jambo!

Chadema muwe makini sana, si kila taarifa mnayopokea mrushe mtandaoni

Alafu Taasisi ijifunze ku address issues za chama kupitia formalities Siyo kila mwana harakati ni msemaji wa Chama

Soma pia

Naomba kujua Strategic Engagement anayofanya Lema na serikali bila watu wengine kutoka kwenye chama chake kujua nani anaweza kupima kama ina nia nzuri au mbaya, maana hili amelisema mwenyewe anafanya nje ya utaratibu wa chama chake.
Anaweza kuwa ana nia njema, lakini kumbuka hata nia njema inaweza kukupeleka motoni.
 
Back
Top Bottom