Mchezo wote nauelewa, Mangi ni msafi

Mchezo wote nauelewa, Mangi ni msafi

Kitu ambacho ninajua vizuri sana kuhusu waafrika ni, matendo yao mabaya; aliofanya yakijulikana kwa watu (umma) wakati alitaka yabaki siri wanachukia sana na yule mtu aliyetoa au kuvujisha ukweli huo anasakamwa na kuitwa majina mabaya, anaweza kuumizwa au hata kuuliwa.

Naelewa kitu kinaitwa 'Faragha' lakini vipi mambo yenye maslahi ya umma?

Matendo yetu yanaathiri watu wengine hatahivyo ukweli wa matendo yetu unatusubiri.
 
Sasa unafichaficha nini ilihali umeamua kuandika..

Sasa kama wanaharakati wenyewe ndio hawa akina Hilda Newton, Pambalu sijui Mdude nk kuna nini sasa...
Tunawakosea sana wanaharakati pale tunapowaita hawa watoto wanaharakati.

ndani ya mitaa ya hodeidah port - Yemeni.
 
Manga angakuwa hana impact lema asingekuja kumjibu

Kumbuka mwanasheria mkuu wa serikali alisema atahakikisha mange anafikishwa kwenye vyombo vya sheria sasa mtu ambaye hana impact iweje mwanasheria mkuu amjibu
So, impact ya Mange ni kujibiwa na Lema na mwanasheria mkuu wa serikali?

Mimi huku kijijini nikimsemaLema vibaya hawezi kunijibu?

Mange kujibiwa na Lema ndio kunamfanya aonekane mtu kwa wasiopenda umbea, Lema angenyamaza kimya amuache Mange awaburudishe wapenda umbea.
 
Nakuelewa sanaa, lakini it seems like chama na wanachama wanamove kwa kauli na moves za wanaharakati zaidi kuliko katiba na ilani ya chama, unless otherwise hiyo ndio iwe strategy ya chama.
Mimi sijui unachozungumzia wewe kuhusu "chama na wanachama wanamove kwa kauli na moves za wanaharakati zaidi...", labda ungetoa mfano mahususi ungeeleweka zaidi kuhusu hii hoja yako.
CHADEMA kama chama wamefanya jambo gani lililotokana na yaliyoletwa na wanaharakati 'specifically'?

CHADEMA wamefanya maamuzi gani ya kimakosa yaliyotokana na habari za akina Mange na wengineo?
Unapolaumu "wanachama" binafsi na kuelekeza awama kwa chama msingi wake ni nini?

CHADEMA kama chama kinafanya siasa zake katika mazingira magumu sana, lakini bado watu kama wewe mnatafuta nafasi ya kutoa lawama kwa hoja za kijumlajumla tu kama hizi ulizoweka hapa!

Unataka CHADEMA wafanye nini, wakubali maagizo ya CCM kupitia serikali yake haramu? Kwa mfano, wakubali tu "Maridhiano" yasiyokuwa na mwelekeo wowote wa kutibu majeraha yaliyosababishwa na hao wanaotafuta maridhiano hayo kujisafisha?

Unawalaumu CHADEMA kwa kosa gani walilofanya?
Wamsikilize Lema, mjumbe wa kamati Kuu kwa maagizo aliyopewa kuyaleta ndani ya chama?
 
Siku ya leo imekuwa njema sana kwa upande wa chadema kwani watajivua gamba na kusimama pamoja na kuwa imara zaidi,usikute mtu wa kati akawa mnyika wote mkabaki midomo wazi😆😆
Chadema ijifunze kuwa na msemaji mmoja pekee wa chama ambaye atakuwa anatoa nakala maalumu ya taarifa husika,na si kila mtu kujirushia habari kwa jinsi anavyojisikia,kutokuwa na mfumo wa kihabari kina kuwa siyo chama tena bali ni ----KUSANYIKO LA WAHUNI ----afisa habari awepo 24/7 kupitia habari za makunguru ya chadema yanayotoa ripoti kwa jinsi yanavuojisikia,chadema ielewe,""This is political party and not hooligans party""

CDM PRESS NI LAZIMA ITOE ONYO KALI KWA WALE WANAOTOA HABARI AMBAZO CHAMA HAKINA TAARIFA ZA HABARI HIYO.
Sio kwa CDM mkuu, hizo taratibu na wao ni vitu mbalimbali, wewe unaruhusu vipi kiongozi wenu wa chama anabagazwa hadharani na mpo kimya?
 
Kumjibu Mange ni ujinga tu, sioni umuhimu wake yule ni mpiga kelele mitandaoni aliyejipatia umaarufu kwasababu ya kueneza habari za umbea.

Hana impact yoyote field, kama TISS wanamtumia kweli au unajituma mwenyewe hawezi kubadilisha chochote kwenye platform ya taasisi.

Ila kuhusu usemaji wa CDM hapo nakubaliana nawe, Brenda yupo kimya sana, angetakiwa yeye ndie ajitokeze kuwasafisha viongozi wa chama chake wanapotuhumiwa na Mange.

Badala yake anamlazimisha Lema ajitokeze hadharani kujisafisha, kitu ambacho sio sawa kwa mtu wa level yake kuhangaika na Mange ambaye alishamzushia mpaka dada wa Lissu kukutana na JK hotelini akapingwa na hakusema chochote.
Sasa Rupia msemaji wa. chama aanze kuhangaika na kujibu majibizano ya kwenye mitandao, mnataka kumpa mzigo wa bure dada wa watu. Yeye anamiongozo yake, kama issue itakuja officially Rupia ataijibu kutokana na msimamo wa chama. Mnataka anze kuhangaika na malumbano ya Lema na akina Mange!? Hicho hakitakuwa chama kitakuwa kijiwe.
 
Ni vyema mtu unapotoa madai kama hayo kuwataja hao watu ili tuweze kuona kama ni kweli au la.

Maana hata mimi ni mwanaharakati lakini si mwanachama wa chama cha siasa ila kwa hali ya sasa nakubaliana na CHADEMA.
WAnaharakati na chadema wamejikuta wanapigania jambo moja
Sio kweli wanaharakati na chadema ni kitu kimoja ni malengo tu yamekutana
 
Siku ya leo imekuwa njema sana kwa upande wa chadema kwani watajivua gamba na kusimama pamoja na kuwa imara zaidi,usikute mtu wa kati akawa mnyika wote mkabaki midomo wazi😆😆
Chadema ijifunze kuwa na msemaji mmoja pekee wa chama ambaye atakuwa anatoa nakala maalumu ya taarifa husika,na si kila mtu kujirushia habari kwa jinsi anavyojisikia,kutokuwa na mfumo wa kihabari kina kuwa siyo chama tena bali ni ----KUSANYIKO LA WAHUNI ----afisa habari awepo 24/7 kupitia habari za makunguru ya chadema yanayotoa ripoti kwa jinsi yanavuojisikia,chadema ielewe,""This is political party and not hooligans party""

CDM PRESS NI LAZIMA ITOE ONYO KALI KWA WALE WANAOTOA HABARI AMBAZO CHAMA HAKINA TAARIFA ZA HABARI HIYO.

Hawa walimuita Dr Slaa msaliti na Gwaji boy akawa kamanda na baadaye Dr Slaa anakuja tena kuwa kamanda - hawana tofauti na mashabiki wa Simba na Yanga.

ndani ya viunga vya hodeidah port - Yemeni.
 
Ntaeleweka vibaya Ila Nataka kuwaeleza pamoja na kwamba mi na mangi ni maji na Mafuta

Ila TISS wamefanikiwa kuwagawa CHADEMA kwa kuwatumia baadhi ya wanaharakati kuwafarakanisha bila kujua

Kwa sasa harakati zimekuwa ni nani karipot wa kwanza , nani anatumia maneno makali nani anaonesha misimamo hata Kama ni ya kipuuzi

Suala la Mangi wamemsingizia hahusiki kabisa na kumpeleka Mkuu wa xxxx kwa Mgwai, alompelekea ni mtu wa nyumba ya xxxx ambaye mwaka ***** alifanikisha jambo!

Chadema muwe makini sana, si kila taarifa mnayopokea mrushe mtandaoni

Alafu Taasisi ijifunze ku address issues za chama kupitia formalities Siyo kila mwana harakati ni msemaji wa Chama

Soma pia

Punguza na mapombe.


Hivi kuna tuzo ya kujifanya kila mtu anajua YA NDAAAANI??
 
Back
Top Bottom