Mange hana impact?Kumjibu Mange ni ujinga tu, sioni umuhimu wake yule ni mpiga kelele mitandaoni aliyejipatia umaarufu kwasababu ya kueneza habari za umbea.
Hana impact yoyote field, kama TISS wanamtumia kweli au unajituma mwenyewe hawezi kubadilisha chochote kwenye platform ya taasisi.
Ila kuhusu usemaji wa CDM hapo nakubaliana nawe, Brenda yupo kimya sana, angetakiwa yeye ndie ajitokeze kuwasafisha viongozi wa chama chake wanapotuhumiwa na Mange.
Badala yake anamlazimisha Lema ajitokeze hadharani kujisafisha, kitu ambacho sio sawa kwa mtu wa level yake kuhangaika na Mange ambaye alishamzushia mpaka dada wa Lissu kukutana na JK hotelini akapingwa na hakusema chochote.
Hii ni mbinu mbovu kabisa wanayoitumia hawa wanaojifanya kuwa watetezi wa maslahi ya Tanzania wakati wakiwa ni wakala wa hao hao wanaotuvuruga kama taifa.Kuna mambo yanachanyanya kwenye hoja yako
Wanaharakati wengi wako upande wa chadema because wanataka mabadiliko
But sio kila wanachosema au wanachotahadhalisha kiwe directly kama kimesemwa na chadema
Lazima kuweka tofauti ya taarifa za chadema kama chama na taarifa, za wanaharakati
Chadema haijawahi kusema lema ni dalali
But wanaharakati ndio wanasema lema ni dalali
Mbona huyaongelei ya October 2025Maandamano aliyoitisha juzi Okt.29 uliyaonea wapi?
Impact anayo mitandaoni kupewa likes na wapenda umbea, sio field.
Hivi kwa nini unaogopa kupigana ngumi na mimi? Huna nguvu?Furaha yangu ni Kuona Ma CHADEMA yakifarakana
Misingi yako ni ipi? Last time kwenye issue ya Heche wewe na baadhi ya watu humu ndio mlikuwa wa kwanza kusema Heche ajitokeze ajisafishe, leo hii issue ya Lema unasema Brenda/Chama kimsafishe, Double standards sio?Badala yake anamlazimisha Lema ajitokeze hadharani kujisafisha, kitu ambacho sio sawa kwa mtu wa level yake kuhangaika na Mange ambaye alishamzushia mpaka dada wa Lissu kukutana na JK hotelini akapingwa na hakusema chochote.
Mkuu Kalamu Nadhani umenielewa tofauti kidogo. Sijasema CHADEMA imefanya maamuzi fulani ya kimakosa kwa maagizo ya Mange au wanaharakati wengine.Mimi sijui unachozungumzia wewe kuhusu "chama na wanachama wanamove kwa kauli na moves za wanaharakati zaidi...", labda ungetoa mfano mahususi ungeeleweka zaidi kuhusu hii hoja yako.
CHADEMA kama chama wamefanya jambo gani lililotokana na yaliyoletwa na wanaharakati 'specifically'?
CHADEMA wamefanya maamuzi gani ya kimakosa yaliyotokana na habari za akina Mange na wengineo?
Unapolaumu "wanachama" binafsi na kuelekeza awama kwa chama msingi wake ni nini?
CHADEMA kama chama kinafanya siasa zake katika mazingira magumu sana, lakini bado watu kama wewe mnatafuta nafasi ya kutoa lawama kwa hoja za kijumlajumla tu kama hizi ulizoweka hapa!
Unataka CHADEMA wafanye nini, wakubali maagizo ya CCM kupitia serikali yake haramu? Kwa mfano, wakubali tu "Maridhiano" yasiyokuwa na mwelekeo wowote wa kutibu majeraha yaliyosababishwa na hao wanaotafuta maridhiano hayo kujisafisha?
Unawalaumu CHADEMA kwa kosa gani walilofanya?
Wamsikilize Lema, mjumbe wa kamati Kuu kwa maagizo aliyopewa kuyaleta ndani ya chama?
Lini kina lema wamesemwa na Chama zaidi ya porojo tu za mitandaoni!Sasa Brenda atakuwa nasafisha viongozi kila siku?
Hao wakina lema kila siku wanasemwa kila sehemu
Sasa unataka akiona post jf aite press ajibu?
Lini kina lema wamesemwa na Chama zaidi ya porojo tu za mitandaoni!
Na bado chama kinakaa kimya kuona kiongozi wao anabagazwa sio? Huoni kwa kuendelea kukaa kimya kunafanya hata baadhi kutokuwa na imani na viongozi wao?Kuna mambo yanachanyanya kwenye hoja yako
Wanaharakati wengi wako upande wa chadema because wanataka mabadiliko
But sio kila wanachosema au wanachotahadhalisha kiwe directly kama kimesemwa na chadema
Lazima kuweka tofauti ya taarifa za chadema kama chama na taarifa, za wanaharakati
Chadema haijawahi kusema lema ni dalali
But wanaharakati ndio wanasema lema ni dalali
Hapo sawa.Ndio maana nasema haiwezekani Brenda akawa anajibu kila hoja za mitandaoni
Sahii sahii kabisa.Ndio kazi ya Brenda hiyo, hata kama sio kila siku, lakini asiache uongo wa Mange ukarudiwa kila mara bila kujibiwa.
Una tabia mbaya mkuu🙌🏾Furaha yangu ni Kuona Ma CHADEMA yakifarakana
Hata Ccm viongozi husemwa ila sio kila tuhuma za kujibu, la sivyo kila siku itakuwa ni matamko tuNa bado chama kinakaa kimya kuona kiongozi wao anabagazwa sio? Huoni kwa kuendelea kukaa kimya kunafanya hata baadhi kutokuwa na imani na viongozi wao?
Hakukuwa na maandamano ya Amani na chama cha upinzani hakitakiwi kuwa chama cha vurugu na uasiLema amesema hawezi kufanya harakati za uasi, na ni dhahiri chama hakiruhusiwi kufanya hivyo.
Bali maandamano ya amani yanayoruhusiwa kikatiba.
Na Kwa kusema hivyo, cdm inaunga mkono walibeba mabango kuandamana ambao hawakuhusika kuharibu mali ya yeyote.
Wanaharakati ni vigeugeu mno, na itoshe kusema wengi wanaendeshwa na hisia.Hawa walimuita Dr Slaa msaliti na Gwaji boy akawa kamanda na baadaye Dr Slaa anakuja tena kuwa kamanda - hawana tofauti na mashabiki wa Simba na Yanga.
ndani ya viunga vya hodeidah port - Yemeni.
Uasi wa mifumo kandamizi unaruhusiwa,Hakukuwa na maandamano ya Amani na chama cha upinzani hakitakiwi kuwa chama cha vurugu na uasi
Uasi is not democracy
Ngoja nikujibu hili lililowazi kabisa na jepesi sana kulielewa.Hoja yangu ni kuhusu mwelekeo wa mijadala na ushawishi ndani ya chama. Kwa mfano, tunapoona mijadala ya tuhuma dhidi ya viongozi, madai ya usaliti na misimamo kuhusu maridhiano ikitawala mijadala ya wanachama, wakati mwingine hoja za wanaharakati zinaonekana kuwa na ushawishi mkubwa katika kuamua nani ni msaliti na nani ni mfia chama, je chama kinasemaje? Mfano hai ni hii case ya Mange vs Lema, uhisi kwa ushawishi mkubwa wa Mange na madai anayotoa dhidi ya Kiongozi kama Lema ilibidi uongozi uje front, kwa kukaa kimya huoni kuna damage inapatikana kwenye chama?