Mchele wa plastic; Clouds Fm yaiumbua TFDA

Mchele wa plastic; Clouds Fm yaiumbua TFDA

Wakiitwa central waende na mkojo kabisa. Hii ni uchochezi
 
Maelezo sahihi huu mchele ni wa kutengenezwa (industrial made), inaaminika moja ya ingridients ni chemical inayotumika kutengeneza plastic, ndilo chimbuko la term mchele wa plastic. Ni vema badala ya serikali kukanusha ikafanya uchunguzi wa kina kupata ukweli.
We unayo sample !? ...wapelekee wapime hiyo indust chemical
 
nilipowasikia TFDA wakikanusha nilistaajabu sana maana huu mchele upo sana hapa nchini. nafikiri anayekanusha anamaanisha yeye kama yeye hajauona lakini huku mitaani Dar na mikoani upo sana tu
 
Kinachoumiza ni jinsi ambavyo afya ya Mtanzania haipewi thamani . Hivi hizi bidhaa feki zinapita wapi? TFDA kwanini wasiweke kituo Bandarini? Funga maisha na anayecheza na uhai wa wa Tanzania.
 
Kinachoumiza ni jinsi ambavyo afya ya Mtanzania haipewi thamani . Hivi hizi bidhaa feki zinapita wapi? TFDA kwanini wasiweke kituo Bandarini? Funga maisha na anayecheza na uhai wa wa Tanzania.
Acha uchizi kila siku mnaambiwa mwenye huo mchele apeleke lakini hamfanyi hivyo.
Ni Malofa na wapumbavu tuu ndio wanweza kuamini kuna mchele wa plastic
 
Mimi naona kama kuna upungufu wa seriousness kwenye swala hili,na wanaostahili lawama ni TFDA. Tatizo ni kubwa lakini siku zote wanakuja na majibu rahisi, ni heri wangesema bado wanachunguza kuliko kukimbilia kusema hakuna tatizo hilo,majibu yao yamekaa kisiasa zaidi au tuseme kiurembo (cosmetical) kuliko kitaalam. Na kama ni uchunguzi mbona unachukua muda mrefu? afya za wananchi ziendelee kuwa hatarini? Kama kuna watu wameshatoka hadharani kusema wanao mchele huo haitakiwi kupoteza muda tena ni kutenda na kutupa majibu ili kama ni kweli mchele bandia tujue mwananchi yupo hatarini tujue tunajilindaje na kama ni wazushi basi wazushi wachukuliwe hatua kwa kusababisha hofu kwa wananchi kwani haina tofauti na terrorrism,kama clouds wanasema wanao hiyo ni OPPORTUNITY ya kujua mbivu na mbichi....Mwisho kama Executive Director TFDA huwa unapita humu tambua kwamba Taifa na wananchi kwa ujumla tunakutegemea,usipowajibika kwa vyovyote vile mungu anakuona.
 
Tonge la wali haliwezi kudunda kamwe...ukilitupa chini linasambaa ama linaseleleka na si kudunda kama mpira,
huo ndo uelewa wangu mie na nina uzoefu na aina mbalimbali za matonge

hahahahhaa, Mkuu inaonekana hata yale matonge yenye tela utakuwa unayafahamu. Maana matonge tela pia ni aina mojawapo ya matonge.
 
Hao watangazaji wote ni wajinga malofa na wapumbavu..... labda kama hawajui maana ya plastic yani mchele wa plastic uupike upoe na ule na bado digestion ifanye kazi hahaha labda kama hawajui tabia za plastic....
Plastic ikipoa tuu ina ganda.... na plastic kuyeyuka ina hitaji joto kubwa sana...
Huu ujinga wao unaweza sababisha wakafungiwa halafu wakaanza kulia lia...
Hivi kweli Unahitaji kuwa mwana sayansi kujua kuwa hakuna uwezekano wa kuwa na mchele wa plastic?
Umesema kweli mkuu, kama Clouds wamefikia hapo ni vyema serikali wakakifunga hicho kituo wasije kuambukiza ujinga wao vijana wetu..

Umesema kweli hao watangazaji ni wajinga, wapumbavu, malofa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kipimo kimekuwa too cheap yaani kuudundisha chini ukadunda kama kitenesi ndo kusema ni plastic, kwanini wasijaribu kuuchoma moto km utayeyuka na kuwa ujiuji hapo sawa. Hiyo ya kudundisha chini ni local sana
Cku zote maji hupimwa kwa macho kabala hujatia mguu kujua kina chake..so ht km ni cheap ways or local lkn izingatiwe
 
Huo mchele unasambazwa Africa NA genge la kihalifu la china, wanahonga vizuri sana, tena wanatumia miradi ya kichina inayopewa Fursa kuingiza vifao vya ujenzi wa miradi ya serekali bila ya kodi. Makontena yanajazwa bidha za kila aina. Wanajua namna ya kuhujumu uchumi wa Africa.
 
Tatizo kipimo kimekuwa too cheap yaani kuudundisha chini ukadunda kama kitenesi ndo kusema ni plastic, kwanini wasijaribu kuuchoma moto km utayeyuka na kuwa ujiuji hapo sawa. Hiyo ya kudundisha chini ni local sana
Kwa hiyo mchele utokanao na mpunga unaweza kudunda?

Today
 
Acha kuupotosha umma wa Tanzania Video unayoisema wewe nimeweka hapa huo wanaotengeneza siyo mchele bali ni vipunje vidogo vinavyofanana na mchele kwa ajili ya kufungashia bidhaa rahisi kuvunjika kama glass na vyombo/sahani za udongo.

Naona hii video uliyotuma pia inasoma "chinese making plastic rice"...anyways,kulingana na hali ya kusemwa semwa saana,basi TFDA wajitokeze,wapewe hizo sample zinazosadikika then watoe tamko kwa umma kwamba majibu waliyoyapata yanasemaje ili tujue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom