Mmiliki wa clouds FM, redio yako ni kijiwe cha kusema watu?

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,252
Kati ya vituo vya redio ambavyo vinaudhi hapa nchini in pamoja na kituo cha clouds fm.

Watangazaji wa kituo wawapo studio kazi yao ni kusema watu na maisha yao. Hivi hawana vipindi kama vituo vingine? Ukweli kituo hiki kinaudhi sana tunawataka mjirekebishe acheni majungu.
 
Bila shaka majungu yanalipa, vinginevyo wangefunga kituo
 
Naskia hadi Diamond nae wanamsema vibaya kuhusu kufanya matangazo mengi ya biashara....hawa jamaa sijui wanaakili gani
 
Kati ya vituo vya redio ambavyo vinaudhi hapa nchini in pamoja na kituo cha clouds fm.

Watangazaji wa kituo wawapo studio kazi yao ni kusema watu na maisha yao. Hivi hawana vipindi kama vituo vingine? Ukweli kituo hiki kinaudhi sana tunawataka mjirekebishe acheni majungu.

Yaani radio inayosikilizwa na watu wengi ndio unasema inaudhi??..kijana acha majungu
 
Wenzako wapo kibiashara zaidi sio kihabari, isitoshe wewe uyaonayo ni kusemwa yupo mwenzio anafurahiiiii, matangazo ya biashara ndyo kiburi cha Clouds Fm, matangazo kibao ni stori za kitaa
 
Kati ya vituo vya redio ambavyo vinaudhi hapa nchini in pamoja na kituo cha clouds fm.

Watangazaji wa kituo wawapo studio kazi yao ni kusema watu na maisha yao. Hivi hawana vipindi kama vituo vingine? Ukweli kituo hiki kinaudhi sana tunawataka mjirekebishe acheni majungu.

WATU NDIO WANATENGENEZA STORY.
 
Kati ya vituo vya redio ambavyo vinaudhi hapa nchini in pamoja na kituo cha clouds fm.

Watangazaji wa kituo wawapo studio kazi yao ni kusema watu na maisha yao. Hivi hawana vipindi kama vituo vingine? Ukweli kituo hiki kinaudhi sana tunawataka mjirekebishe acheni majungu.

Mkuu Vipi huko clouds leo walikua wanakusema ww nini?
Naona umetoa povu kweli.
 
Yaani humu kila siku ukiamka haipiti wiki unakuta Uzi unaohusu Clound Media
Hivi kuna watu hamna kazi ya kufanya,kwani mmelazimishwa kuangalia na kusikiliza Clouds?

Ukisikiliza na kuangalia Clouds ni kwamba unawakubali,na tofauti ya hapo utakuwa ni mamluki wa kuangalia na kusikiliza huku ukiwa na Kalam na Pen ili kuandika kila ushuzi ili uje upost
Inakera kweli,yaani kila kukicha kuna kundi linaibuka na upuuzi huu

Clouds ni brand nyingine kabisa,wala haipotea kwa utoto huu,kwa sie tunaoijua tangu inaanza tunafaham kwamba Clouds ni nini na ilifanya mapinduzi gani kwa Vijana mpaka hapo ilipofika.
Unajua kuna watu wana Akili za Uzee huku wakiwa vijana,sasa kwa Clouds huwezi ku match nao hata siku moja.Na itakuwa Dunia ya habari inakupita kwa kasi sana mkuu,kama upo Dar basi rudi shamba huko,waachie jiji wenyewe
 
Clouds ni media ya umbeya umbeya kujikomba kwa wanasiasa,watu maarufu ndiyo maana hata watangazaji wake Hamna shule
 
Yaani humu kila siku ukiamka haipiti wiki unakuta Uzi unaohusu Clound Media
Hivi kuna watu hamna kazi ya kufanya,kwani mmelazimishwa kuangalia na kusikiliza Clouds?

Ukisikiliza na kuangalia Clouds ni kwamba unawakubali,na tofauti ya hapo utakuwa ni mamluki wa kuangalia na kusikiliza huku ukiwa na Kalam na Pen ili kuandika kila ushuzi ili uje upost
Inakera kweli,yaani kila kukicha kuna kundi linaibuka na upuuzi huu

Clouds ni brand nyingine kabisa,wala haipotea kwa utoto huu,kwa sie tunaoijua tangu inaanza tunafaham kwamba Clouds ni nini na ilifanya mapinduzi gani kwa Vijana mpaka hapo ilipofika.
Unajua kuna watu wana Akili za Uzee huku wakiwa vijana,sasa kwa Clouds huwezi ku match nao hata siku moja.Na itakuwa Dunia ya habari inakupita kwa kasi sana mkuu,kama upo Dar basi rudi shamba huko,waachie jiji wenyewe

Mimi walipoondoka akina PJ na Gerald Hando niliumia sana na sa hvi kibonde na millard ayo ndo watangazaji pekee wanaoshikilia moyo wangu pale clouds....kwa kweli kuna baadhi ya presenter huwa wanakera na wasipoangalia hilo ndo litakuwa anguko lao
 
Clouds ni chuo cha mafunzo,watu wanaingia na kutoka na bado ubora wao uko palepale,Ayo alikuwa radio Agape na Kibonde alikuwa CTN TV hawakuwa na umaarufu,walivyoingia Clouds mambo yakawanyookea...P.J. kahangaika sana I.T.V,RFA,STAR nk, lkn alipokuja Clouds ndo nyota yake ikang'ara....na wengine wengi tu,Mwalekwa,Kipanya,dj Ommy,Kasiga,Mussa Husein nk!...co Clouds ni level nyingine kwa burudani ya utangazaji,utake usitake utaisikiliza tu hata kama roho hataki.....!
 
Kati ya vituo vya redio ambavyo vinaudhi hapa nchini in pamoja na kituo cha clouds fm.

Watangazaji wa kituo wawapo studio kazi yao ni kusema watu na maisha yao. Hivi hawana vipindi kama vituo vingine? Ukweli kituo hiki kinaudhi sana tunawataka mjirekebishe acheni majungu.

Kwa haya malalamiko yako tu kwa ninavyowajua Clouds walivyo " wabunifu " tayari umeshawapa idea ya Kipindi na nakusihi tu endelea kutega sikio utakisikia muda si mrefu. Malalamiko yako au lawama zako kwao ni " dili ".
 
Back
Top Bottom