Zaccheaus Mollel
Senior Member
- Aug 13, 2015
- 176
- 153
Ndio maana wanatakiwa waupimeKujua kitu ni plastic au sio plastic ni kudundisha?
Wasiwasi ndio akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana wanatakiwa waupimeKujua kitu ni plastic au sio plastic ni kudundisha?
Wewe kwenye maisha yako ushakula wali unao dunda? Tuseme sio plastic basi ni nini?Kujua kitu ni plastic au sio plastic ni kudundisha?
My Take;
TFDA badala ya kukaa ofisini mnapulizwa kiyoyozi kwa nini msikimbie hapo mikocheni kwenye studio za clouds fm mkachukue sample yao mkaipime pia.
Ukidunda una conclude ni plastic??Kwani ukichukua wali wako uliopika Kwa Mchele safi Wa shambani kwako ukiudundisha utadunda au utasambaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kipimo kimekuwa too cheap yaani kuudundisha chini ukadunda kama kitenesi ndo kusema ni plastic, kwanini wasijaribu kuuchoma moto km utayeyuka na kuwa ujiuji hapo sawa. Hiyo ya kudundisha chini ni local sana
Kwaiyo unataka kupinga auTatizo kipimo kimekuwa too cheap yaani kuudundisha chini ukadunda kama kitenesi ndo kusema ni plastic, kwanini wasijaribu kuuchoma moto km utayeyuka na kuwa ujiuji hapo sawa. Hiyo ya kudundisha chini ni local sana
Kwani ukichukua wali wako uliopika Kwa Mchele safi Wa shambani kwako ukiudundisha utadunda au utasambaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ww mchele unaopika kwako ukiusundisha unadunda.. Atakama siplastik ila mchele fake upo waaikanusheKujua kitu ni plastic au sio plastic ni kudundisha?
is plastic material only which bounces
HUO MCHELE UPO, TUUITE BANDIA ILA SIO PLASTIKI
Kulitakiwa kuwe na njia nyingine ya kupima mchele wa plastic zaidi ya kuudundisha.
Kujua kitu ni plastic au sio plastic ni kudundisha?
Unaeza uchoma kwenye moto utatoa harufu ya plastic na kuwaka mda mrefu but wa kawaida hauwaki na ukichoma una harufu ya waliKulitakiwa kuwe na njia nyingine ya kupima mchele wa plastic zaidi ya kuudundisha.
Kiongozi, kabla ya kutaka kuleta shule kuuubwa hapa, jua LISEMWALO LIPO. Usiumize kichwa kwa kujaribu kujitutumua kuwa unauelewa mpana wa masuala COMPLEX ilihali hili jambo ni sawa na 3+3 tu.Kwanza lazima tujue maana ya plastiki? Na je, kuna aina ngapi za plastiki? Halafu tujue mechanism gani inafanya kitu kidunde.