FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
Ikumbukwe wiki kadhaa zimepita paliibuka uvumi wa uwepo wa mchele wa plastic hapa nchini unaosadikiwa kutoka nchini china. Lakini baada ya muda TFDA waliibuka na kusema hakuna kitu kama hicho hapa nchini.
Leo hii katika kipindi cha cha "leo tena" watangazaji wamesema huo mchele waliletewa jana na walifinyanga tonge na kuurusha chini na ulikua unadunda kabisa. Na mpaka naandika uzi huu wamesema huo mchele wanao hapo studio.
Chanzo: Clouds Fm
My Take;
TFDA badala ya kukaa ofisini mnapulizwa kiyoyozi kwa nini msikimbie hapo mikocheni kwenye studio za clouds fm mkachukue sample yao mkaipime pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza unaodunda kama mpira si mchele ni wali.
Hao mapunguani wangechukuwa wali wa mchele mpya uliotoka kukobolewa mashine waone unavyodunda.
Hawajuwi mchele hao, usikute chakula mama kwao ni matoke.