Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,930
Kiongozi, kabla ya kutaka kuleta shule kuuubwa hapa, jua LISEMWALO LIPO. Usiumize kichwa kwa kujaribu kujitutumua kuwa unauelewa mpana wa masuala COMPLEX ilihali hili jambo ni sawa na 3+3 tu.
Zile package za unga, let say NGANO ya Azam, ni plastic au udongo? Je, umewahi ona ile clip inayoonesha jamaa wanatumia 'nyuzi' za kusukia sandarusi hizo kutengeneza mchele??? Mchele huo utaitwaje?
Sasa suala la kujitutumua linaingiaje hapa. kwanza nini maana ya kujitutumua? Kwamba mtu asiyekuwa na uwezo wa jambo fulani na kutaka kulifanya wakati capacity yake ni ndogo. mfano, kubeba kilo mia wakati uzito wake kilo arobaini.
Sasa unaonyesha kama mimi nilikuwa najitutumua.
Kwa kifupi ninikuwa naongezea maswali kwa mchangiaji aliyetangulia na kuuliza maswali ya namna hiyo, na wewe ulitakiwa usome kwanza ile quote ndipo uelewe nilichokuwa nina maanisha.