Mchele wa plastic; Clouds Fm yaiumbua TFDA

Mchele wa plastic; Clouds Fm yaiumbua TFDA

watu wenyewe wale sijui kama wanajua kupika maana dahhhh
 
Inaweza ikawa sio plastic kama watu wanavyodai , mi nafikiri concern muhimu ni kwanini mchele udunde kama kitenesi? mchele unaotokana na mpunga hudunda?!
You steal my point dear. Kwanini udunde dunde kama kitenesi???
Unaweza usiwe wa plastic kama mafuriko ya mwendo kasi just a name tu. But why this dundaling??
 
Tonge la wali haliwezi kudunda kamwe...ukilitupa chini linasambaa ama linaseleleka na si kudunda kama mpira,
huo ndo uelewa wangu mie na nina uzoefu na aina mbalimbali za matonge
hata wa ugali wa mihogo name matembele. Mimi nakufaham sana
 
Binafsi juzi tumeagiza wali hapa fresh coach..kwa watu wa moshi watakuwa wanapajua,ulikuwa ni waplastic...sikuwahi kunote hilo,rafiki yangu aliyetoka tanga ndio akanistua..pia ananiambia tanga ni janga kubwa zaidi...vyombo husika vijaribu kulifuatilia hili kwa ukaribu zaidi,sio kutishana,hamna mtu atae benefit kwa kupotosha ukweli...mbona kuna hata video clips zinasambaa mitandaoni kuonesha jinsi plastics zinavogeuzwa mchele?..fanyeni kazi yenu!

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Mwenye video klipu yake aweke hapa.

hata bibi alikuwa binti.
 
Wataalamu wanaojua plastiki waje watuambie hapa jamvini,mini maana ya plastiki nakama kuna aina mbalimbali za plastiki tuambiwe,kisha tuambiwe namna yakujua kama material haya ni plastiki au laa,kuliko sasa hivi kuendelea kua na wasiwasi.

Rai yangu ni wananchi wenzangu kutotegemea mamlaka ya chakula na dawa kwa usalama was afya zao kwa asilimia miamoja kwani uwezekano wakuwepo watu ambao siyo mahiri ni mkubwa,hasa ukiangalia mfumo wetu wa uajiri unaangalia cheti tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi juzi tumeagiza wali hapa fresh coach..kwa watu wa moshi watakuwa wanapajua,ulikuwa ni waplastic...sikuwahi kunote hilo,rafiki yangu aliyetoka tanga ndio akanistua..pia ananiambia tanga ni janga kubwa zaidi...vyombo husika vijaribu kulifuatilia hili kwa ukaribu zaidi,sio kutishana,hamna mtu atae benefit kwa kupotosha ukweli...mbona kuna hata video clips zinasambaa mitandaoni kuonesha jinsi plastics zinavogeuzwa mchele?..fanyeni kazi yenu!

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Acha kuupotosha umma wa Tanzania Video unayoisema wewe nimeweka hapa huo wanaotengeneza siyo mchele bali ni vipunje vidogo vinavyofanana na mchele kwa ajili ya kufungashia bidhaa rahisi kuvunjika kama glass na vyombo/sahani za udongo.
 
Kulitakiwa kuwe na njia nyingine ya kupima mchele wa plastic zaidi ya kuudundisha.
The iodine test is used to test for the presence of starch. When treated with iodine solution—iodine dissolved in an aqueous solution of potassium iodide—the triiodide anion (I3−) complexes with starch, producing an intense blue/black colour. ... Otherwise, it will remain brown in color.
 
wabanwe hao Clouds FM waeleze wameletewa na nani. Tunajua wanazo mbinu nyingi za kuingiza vitu mbalimbali nchini ambavyo inasemekana vinawanufaisha wao.
hv tbc wakitangaza uvamizi wa majambaz wao ndo wanapewa kaz ya kuwatafuta au????
clouds wao kazi yao kutoa hbr kuna vyombo vinavohisika na uchunguz uzr tena wameonesha mpaka na duka walilouziana nahisi yule kamishna alieekua anatoa vitisho amesaidiwa kazi yake mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kipimo kimekuwa too cheap yaani kuudundisha chini ukadunda kama kitenesi ndo kusema ni plastic, kwanini wasijaribu kuuchoma moto km utayeyuka na kuwa ujiuji hapo sawa. Hiyo ya kudundisha chini ni local sana
Kwahiyo ww unadhani una akili sn kuliko wengine?

Una jua umepita mikononi mwa watu wangapi?

JMP KAMATA WEZI
 
hv tbc wakitangaza uvamizi wa majambaz wao ndo wanapewa kaz ya kuwatafuta au????
clouds wao kazi yao kutoa hbr kuna vyombo vinavohisika na uchunguz uzr tena wameonesha mpaka na duka walilouziana nahisi yule kamishna alieekua anatoa vitisho amesaidiwa kazi yake mno
Hicho ndicho niikuwa nataka wafanye. Hapo nadhani wamefanya sawa...!
 
Back
Top Bottom