Mchawi wa CHADEMA huyu hapa

Mchawi wa CHADEMA huyu hapa

Wewe na Zitto huwa mnapenda kuutumia ule msemo wa shida mwanamandanda kulala na njaa kupenda! Takwimu za facebook unatuletea kwenye siasa? Hata Mr Bean anawashabiki kibao! I wonder Jamii ya watanzania ambao 85% hawana maji, hawana, umeme, hawawezi kumudu mlo mmoja kwa siku wanawezaje kupata access ya internet... Hivi kweli wewe ni mwandishi ama kanjanja kama wale wa uhuru?...How come unajishushia heshima hivi? Ilborians hakunaga wajinga wa aina yako ... "tulijifunza kujitegemea kwa kila kitu ndiyo maana tunasifika mpaka leo"! sifa ya kujikomba ni wewe na Nchemba tu! Hivi kweli Pasco unawezaje kuipigia debe CCM yenye kufanya ujangili kwa Raia na Wanyama? CCM yenye Kuuza na kuingia mikataba ya kudhulumu mali za Watanzania? CCM iliyoshindwa kuwapatia wananchi maji, elimu, huduma za afya, barabara, reli, ndege, ajira, amani, utulivu na mshikamano?...Mnaendekeza siasa za kuwabagua watu wa kaskazini wakati mmesomea huko, mmefundwa huko, mmeoa huko, mmefundishwa maisha huko? Sasa hivi Kaskazini mnayoibagua kwa misingi ya ukabila na dini tayari Allah S.W.T kawaongezea Uranium, Mafuta na Gesi! mbali na mbuga za Wanyama, Milima mirefu, bandari, maziwa na zaidi ya yote WATU WENYE AKILI...Pasco et kumbukeni kuwa "mchimba kisima siku zote huingia mwenyewe" Dhambi hii ya ubaguzi lazima itawarudi mkiwa hai...mark my word...Nguvu za vyombo vya dola wala Mahakama haitafua dafu mbele ya nguvu ya umma!... Badala ya kutumia nguvu kubwa kupigania maslahi ya waalimu, wafanyakazi, wakulima, wafugaji, wavuvi, wafanyabiashara, kukataa kupandishwa kwa bei ya umeme, kukataa rasilimali zetu zisimilikiwe na wageni 100% . Mnatumia mabilioni kuidhoofisha CDM ambayo inapaa kwa uwezo wa Rabuka... Lazima mtambue kuwa kamwe hamtaweza kugeuza mchana kuwa usiku ... kun faya kun...


Wewe ni mbumbu mkubwa mwenye siasa za unafiki, ubaguzi na uchochezi. huwez kutumia akili yako na kupambanua mambo zaid ya kupokea na kuziishi propaganda za watu wenye maslah binafsi ambao furaha na ushindi wao ni kuona Taifa linaingia kwenye dhiki na machafuko...
 
Then what? atafanyakazi na katibu yupi? M/Kiti yupi?...wajumbe wepi? kwanini msiwe wakweli wa nafsi zenu kuwa amefanikiwa kutetea posho zake za ubunge na uenyekiti wa PAC? Mlarushwa mkubwa kama Zitto kuwa M/Kiti wa kamati ya Bunge i.e watch dog committee inayochunguza mashirika ya umma huoni kuwa kuna walakini?...kweli wajinga ndio waliwao...Mahakama ilikuwa haina namna zaidi ya kuitikia wito wa Rais na Mwenyekiti wa CCM... Ukweli huu utasimama mpaka siku ya mwisho wa dunia kuwa Zitto si Msafi na CCM wako nyuma yake kujaribu kudhoofisha upinzani... After all in saltation Zitto atasubutu kumwangalia Mbowe na Viongozi wake kweli...Kijana aliechukuliwa kibohehe secondary alikokuwa anashindwa hata kwenda likizo kwa kukosa nauli leo anauwezo wa kuingia kwenye propaganda chafu ya kumchafua master wake ? Anazuia harakati za kuokoa Tembo, Madini na Gesi mali halali ya Watanzania? ama kweli kizazi cha nyoka itaendelea kuwa kizazi cha nyoka hadi mwisho wa dunia...

Kweli Masikio hayazidi kichwa.kwani alichaguliwa na Mahakama?MPENI hukumu ya kumvua vyeo vyake kisha itisheni kikao cha baraza kuu kiamue.anaogopa nn SLAA
 
Wewe ni mmoja wa wajinga wanao liwa na wahafithina walio tawaliwa na Udini na Ukabila pamoja na Ukanda!


Haya ndio majibu yenu ya kila siku! Mkiambiwa ukweli mnarukia propaganda chafu!
 
Chanzo cha Migogoro Chadema hawataki Mtu ambaye si Mchaga ahoji Matumizi ya Ruzuku pesa za misaada ukabila Uteuzi wa Wabunge viti maalum mbowe kujilipa pesa ya Chana kwa kisingizio Kuwa alikikopesha chama na Vioja vinginevyo vingi mfano M/ kiti kuwageuza wabunge viti maalim Kuwa Vimada na kukutana Nao Dubai nk Ukiataka uishi kawa Amani CDM usithubutu kuhoji hayo hata siku moja ili upete CDM yakupasa ufumbie macho Udhaifu wa M/kiti na Timu yake kinyume na hapo Siri anayo Mungu Pia Deus Malya .

We kweli funza
 
kufukuzana uanachama ni tatizo, kama dunia ingeendeshwa hivyo ni kosa. Lkn uongozi zito siyo, hafai hata ukatibu kata. Mpeni wenyewe kigoma vijijini, ndy tabia yenu. Walid yaleyale kafulila hayohayo, zzk mr mabomu yasiyo ripuka ufisadi ufisadi kumbe kigoma type. Mchukueni wenyewe siyo mwajibikaji fb na jf kila siku kujieleza. Vijana wakibongo ndivyo mlivyo siasa za uongo wa kutafuta sifa tigiteni huko.kwenu kgm. Kashinda sawa kabisa sivema kukosa unatolewa uanachama lkn ni mnafiki, siyo mwajibikaji anatafuta kusifiwa pekee yake ajiondoe cdm

kama kuna chama ambacho kina mgogor kubwa wa uongoz ni ccm? Wanaficha maradhi makubwa ambayo wasiopo badilika na kuyaibu chama kitasambaratika nahatimaye ufa kuanzia mwakani! Who desn't know about groups within ccm? Who doesn't know how weak and undecesive the chairman of the party is? Let 's wait and see! A strong party is the one whch take strong action against disoidiet members like what chadema is doing!
 
mbona kolimba huwa hamzungumzi nyie misukule ya ccm

Msukule ni wewe uliyemkatiza chacha wangwe maisha yake kwa maksudi Subiri Mzimu wake Leo Usiku utakuja kwako kukulaumu kwa Roho yako mbaya na kukulaani kwa yote uliyomtendea
 
ZITTO, TISS,CCM na CUF lakini hawawezi kushinda kimbunga chake watakiona wananchi wameshawajua ndio maana unashangaa stamico inachomwa mot ,mahakama kwisha wale wote wanaodumaza demokrasia ya wananchi kwa kutumia mamluki na wazandiki wanatumbukiza nchi kwenye lindi la damu hakuna atakaye kubali CCM iendelee na ghiriba za kusambaratisha vyama
Chezea Mzimu wa Chacha wangwe wewe ....Tokea afariki cc licha ya Kuwa na Padri na Mchungaji hawajawahi kumkumbuka hata kwa Sala ya Dakika moja tu yaani hata Bango pale TBC imekuwa issue !vile vioja alivyokuwa akivipinga wakati Akiwa Hai bado vipo Mfano Ukabila Ukanda Ruzuku na pesa za Misaada kuishia makao makuu huku Mashinani wakilia njaa Kali sana Uteuzi Viti Maalum ni Full Utata huku M/kiti akijilipa Madeni pesa za chama na kujiachia kimapenzi na wabunge wanawake huko Dubai Na Vioja vinginevyo vingi tu ! Lakini wapo watu hawajali Udhaifu huo wamekuwa Kama vipofu na viziwi na wanamshabikia mbowe pasipo kujali wala kumkemea kupokea misaada toka ccm na kuitafuna Chezea Mzimu wa Chacha wangwe wewe ...
 
Frankly speaking pamoja na sokomoko zote zinazotokea ndani ya chadema jambo ambalo ni lazima cdm walishughulikie kikamilifu tena bila woga kwa maslahi ya taifa. Vyama vingi vya upinzani vilivyowahi kuvuma tangu siasa za vyama vingi vishapoteza dira na mwelekeo chanya kwasababu ya kushindwa ku-identify mapandikizi.

CDM wameonyesha umahiri mkubwa kugundua mapandikizi ndani ya chama mapema. Sifa hii kubwa na ya kipekee ipo tu cdm. Nasema hivi coz hata cdm wana mapandikizi ndani ya ccm lakini ccm hawana ujanja wa kuwajua na kuwadhibiti. Swala la msingi ni cdm kuyang'oa mapandikizi haya kwa gharama zozote pale inapotokea. Nawapongeza kwa hatua ambazo zishachukuliwa hadi sasa. Nani asiyejua zzk na wenzake ni mapandikizi na watu wenye kupenda madaraka na umaarufu? Kama watu hawa wangekuwa wanaitakia mema cdm si wangejitoa taratibu, wanatafuta nini ndani ya chadema wakati hata sisi tulio nje tumewastukia tangu zamani na propaganda zao za kujidai wanatutea kumbe ni panya anaeghata huku akipuliza?

Jambo lingine ninalonikonga moyo ni kwamba cdm imeleta ukombozi wa kifikra, watu wengi nchini sasa hivi wamefunguka, uoga umepungua na wanaweza kudai haki zao, bila kusahau michango ya wabunge wa chadema bungeni, namna ambavyo wamekuwa wakipambana kutetea haki za wanyonge mahali ambapo ccm kwa makusudi wamekuwa wakimkandamiza mnyonge.

Nina mengi sana ya kusema ila kwa mtu yeyote mwenye uchungu na nchi hii (ondoa wale wa buku 7 Lumumba) hata acha kuiombea cdm iishi milele.


Mwenye wivu na ajinyonge au ameze kiwembe akajitose baharini
.

ASANTENI.
 
Nakubaliana na wewe, ila nadhani unakumbuka kwamba hakuna kitu kama zaidi ya 100%.
 
Usaliti ni nini? na amekisalitije chama kwa uelewa wako?

Eti ukihoji Udhaifu wa Viongozi CDM unabatizwa jina la Msariti na Haya ndiyo yalimkumkuta Chacha Wangwe Siri anayo Mungu Pia Deus Malya yaani Ukitaka uishi kwa Amani pasipo kuvuliwa Uanachama basi inabidi ujidai kipofu na kiziwi na usithubutu kuhoji chochote kinachofanyika kinyume pale Makao makuu.
 
Mie nahisi ili uwe shabiki wa chadema unachukua kwanza degree ya ujinga na matusi. Maana kwa matusi hamjambo. Na ndio maana katibu wenu kule kasulu aliomba wananchi wamuingize ikulu ahalarishe gongo

Kwani gongo na konyagi ina tofauti? kama hutumii acha wanaopenda watumie! huyo mtu wenu hatakiwi cdm,hata afanye nini! hawezi kuaminika na nyie magamba mnaojifanya mnampenda ndio mnampoteza kabisa! kama maccm yanampenda sana si ahamie huko kwenu? anatafuta nini huyo msaliti wakati hapendwi? mlisema yeye ni zaidi ya cdm mbona anakimbilia mahakamani kulinda posho zake za ubunge? anaogopa kurudi kwao kwani hata hayo mamilion aliyokuwa akipewa na TISS hawezi kupewa tena maana kashindwa kazi! KABAKI CDM KAMA BOYA TU NA HABARI YAKE KWISHINEI!
 
Ccm na serikali yake ndo wanahusika kwa asilimia 100
ndo maana usiku ba mchana wako busy na mikakati dhaifu ya kuhonga kina zito ili kuvuruga chama. Chadema wana plan b

Chama cha magaidi wanaoutumia mbinu za kigaidi za kunyamazisha watu kwa kuteka na kujeruhi kama m/kiti wa Temeke hakiwezi kuwa na plan B hata kidogo. Viongozi wake wamefikia ukomo wa kufikiri. Nchi ikiwa kwenye utulivu hawana agenda. Watu wanaoongoza kulingana na matukio eti ndio wanataka tuwape nchi ha ha ha ha watz watajuwa wehu wendawazimu.
 
Hoja nzuri sana.......!!! Tatizo ni Viongozi, hawako tayari kuzipokea changamoto na kuzifanyia kazi.... laiti hoja zilizoandikwa kwenye Waraka ule zingechukuliwa kama changamoto na kubadilisha misimamo na mitizamo yao haya yote yasingetokea... lazima unapoongoza Taasisi yeyote ujue kuwa watu wote hawawazi kama unavyowaza wewe na wanatofautiana kimtazamo na kifikira.... haya yote yote yasingetokea kama Viongozi wa CDM wangelitambua mawazo ya wanaowaongoza na Viongozi waandamizi.... A good Leader predicts and foresees what may happen in future........

Ruzuku na pesa za misaada zinaishia Makao makuu huko kwenye Mashina wanalia njaa huku Viti Maalum ni full Utata Pia kuna vioja CDM makao makuu wana mbinu za ajabu za kuwaaminisha wafuasi wao Kuwa Mtu anayewapinga kwa Vioja vyao ni Msariti na Mashabiki kusahau Udhaifu wao na kuanza kuwashambulia wasema Ukweli wakizani wanakisaidia Chama kumbe wanawapa Nguvu Wachache kuendelea kutafuna Pesa na kujiachia na Wabunge wanawake Dubai .
 
Ruzuku na pesa za misaada zinaishia Makao makuu huko kwenye Mashina wanalia njaa huku Viti Maalum ni full Utata Pia kuna vioja CDM makao makuu wana mbinu za ajabu za kuwaaminisha wafuasi wao Kuwa Mtu anayewapinga kwa Vioja vyao ni Msariti na Mashabiki kusahau Udhaifu wao na kuanza kuwashambulia wasema Ukweli wakizani wanakisaidia Chama kumbe wanawapa Nguvu Wachache kuendelea kutafuna Pesa na kujiachia na Wabunge wanawake Dubai .
R.I.P chacha wangwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom