Mchawi wa CHADEMA huyu hapa

Mchawi wa CHADEMA huyu hapa

Unaona unajenga hoja sn? Pole sn! Najua unachotimiza hapa ni kupata riziki Hakuna kitu kingine!

Hapa mlengwa ni Mbowe ndio anaewasumbua na Lissu na Lema!

Huwezi kumjua mshirikina kama wewe si mshirikina...... naanza kuwa na wasiwasi na wewe, pengine uliwahi kuwa mpokeaji mzuri wa hizo pesa unazozisema ndo maana unahisi kila mtu ana tabia kama yako..... kwa taarifa yako sijikombi kwa mtu mimi..... ndo maana nimeenda strait to the point... uongozi nilioulenga kwenye mada ni pamoja na ZZK....... Poleeeeeeeee!!!!
 
Hizo ni nyimbo zenu za kila siku mlichobakiza ni kwenda studio mkarekodi album!

Ni mwaccm gani asie kua na vimada?

Ntuzu mwalimu aliyekufundisha alikuwa na kazi...........
 
Tatizo la hizi taasisi ni kwamba,ukishakuwa ni mtu wa kupiga kelele na kujishughulisha na taasisi basi hiyo ni nafasi ya kuingia na kuitumikia taasisi husika,pasipo hata kuangalia wapi umetoka,nini unafanya ili uweze kuishi na wapi umetokea na nini malengo yako.
hadi 2015 tutaona mengi

Umeongea jambo la msingi sana.......
 
Watu tulikua tu apiga kelele kila siku kwamba hakuna palipokamilika tukawa tunatukanwa humu JF, ohh buku saba ohh sijui nini utasema sisi ndio ccm damu kumbe wapi, wapo wabaya na wazuri kila kona sasa kibaya zaidi leo cdm kimewatokea pua i uongozi wao mzima kila mtu anafichua maovu ya mwenzake, come on hivi hamuoni cdm imekua separated vby mno? kama walikosa uchaguzi uliopita huu ndio watashuka zaidi.. Wanahitaji kukaa kupanga upya, mwakani sio mbali wasiporudisha trust ya watu hachomoki mtu... Either waitishe press conference wapatane na kila moja atubu makosa yake na waanze kasi kweli watu tuone kua wanakomaa kuichomoa nchi na sio kupiga kelele... au chama kingine kiibuke muda huu watanzania wamepoteza matumaini waje na system safi na sera kali kuliko hawa jamaa... Tatizo mtu akisema mengi afu akadanganya sehemu moja tu, yote aliyosema mwazo yanaonekana uongo..
 
Huwezi kumjua mshirikina kama wewe si mshirikina...... naanza kuwa na wasiwasi na wewe, pengine uliwahi kuwa mpokeaji mzuri wa hizo pesa unazozisema ndo maana unahisi kila mtu ana tabia kama yako..... kwa taarifa yako sijikombi kwa mtu mimi..... ndo maana nimeenda strait to the point... uongozi nilioulenga kwenye mada ni pamoja na ZZK....... Poleeeeeeeee!!!!

Huwezi kuja hapa na kuandika yaleyale ambayo mnayaimba kila siku!
 
Ntuzu mwalimu aliyekufundisha alikuwa na kazi...........

Ndio alikua na kazi kwasababu sibuluzwi Wala sidangayiki!

Km wewe unaona uko hapa kufundisha Mimi ntakua mwanafunzi Wa kwanza kukupinga! Usinidangaye!

Unashindwa kuzungumzia matatizo ya wakulima! Tangu mkoloni! Mtz analima kwa jembe la mkono mpk Leo! Unategemea utafukuza njaa nchini au kuleta maendeleo?

Bei za mazao kila siku zinamuangusha Mkulima huku pembejeo bei zikiwa juu?

Alafu mnakuja na dhana kilimo kwanza! Kilimo kwanza bila Elimu?
Huo ni upande Wa kilimo tu, lkn kila kona ni kilio tu!

Alafu kutwa mko kupro-ZZK tuuuuu!
 
Mchawi wa CHADEMA ni UOngozi wa CHADEMA
Methali ya "mfa maji haachi kutapa" ndo yanatimia.....
sasa mara CCM mara CUF hivi hata kwa akili ya kawaida hatuwezi kuyaona haya matatizo yaliyopo kwenye uongozi wa juu au tunafumba macho na kushabikia ujinga.....
hakuna mchawi nje ya CHADEMA, mchawi yumo ndani ya kamati kuu na baraza la ushauri wa CHADEMA... mi nashauri wakae chini na kujitathimini ndani ya chama na ikiwezekana matatizo yao wayamalize kwa kushirikisha watu wenye busara nje na ndani ya chama na wenye uwezo wakuona mbali na ikiwezekana Viongozi wapate msasa wa elimu ya Sayansi ya siasa (Political Science.....)
Ninachokiona ndani ya CHADEMA ni Poor management of the Organization... Mtaalamu mmoja wa mambo ya Utawala Maxwell katika kitabu chake cha "The 21indispensable laws of a Leader" anashauri kuwa kama Kiongozi (Leader) unatakiwa kujifunza namna ya kuongoza kupitia migongo wa watu wenye ushawishi katika Taasisi yeyote suala hili kwa CHADEMA naona kama halipo....

Mijitu mizima mnaongea umbea na kuwapotezea watu muda, badala ya kuongea mawaziri mizigo ambao bado hawajaondolewa na mgao wa umeme unaoendelea kuwatia watanzania umaskini hasa wajasiriamali ambao wamejiajiri na kusababisha uchumi mbovu. Mko humu mnatumika kupiga zogo eti kuwafanya watu wasahahu matatizo halisi. CCM wajinga sana ni sawa na mgonjwa ambae anasubiriwa kufa ila mashine ndio inayompa uhai alafu anajipa matumaini kwa kumcheka mtu ambae hayuko kwenye hali mbaya kama yake.
 
Ingekuwa busara kama ungelianzisha thread ya mawaziri mizigo.... Ni wazo zuri..!!!
 
Zzk kashinda nn mjinga unaefuata upepo unahongwa elfu tano hzo na huku mwandiga hatumtaki nasikia anaenda kugombea mjini aone kama atapata mnafiki ww na yy
 
Ndio alikua na kazi kwasababu sibuluzwi Wala sidangayiki!

Km wewe unaona uko hapa kufundisha Mimi ntakua mwanafunzi Wa kwanza kukupinga! Usinidangaye!

Unashindwa kuzungumzia matatizo ya wakulima! Tangu mkoloni! Mtz analima kwa jembe la mkono mpk Leo! Unategemea utafukuza njaa nchini au kuleta maendeleo?

Bei za mazao kila siku zinamuangusha Mkulima huku pembejeo bei zikiwa juu?

Alafu mnakuja na dhana kilimo kwanza! Kilimo kwanza bila Elimu?
Huo ni upande Wa kilimo tu, lkn kila kona ni kilio tu!

Alafu kutwa mko kupro-ZZK tuuuuu!

Wazo lako ni zuri ila si mahali pake..... kinachoongelewa ni uongozi wa CDM na chanzo cha migogoro ndani ya CDM na si uchumi na biashara.... usipotoshe mada!!
 
Ingekuwa busara kama ungelianzisha thread ya mawaziri mizigo.... Ni wazo zuri..!!!

Umeona wanavyokushambulia? Yani unaoneka uko kuwajibaka ili upate riziki!

Ni bora Mimi nakujibu kidogo kidogo uku nakupotezea wengine wanakupa makavu kweli kweli!
 
Unakilimbitwa wewe na wenzio wa Lumumba. unafikiri kuwa mbunge na mwanachama kwa hisani ya mahakama na Lumumba kutabadilisha msimamo wa viongozi, wananchama na wapenzi wa CDM?... cowards...

Mbona unapayuka sana mwenzako amejenga hoja wala hajakashifu sasa wewe unatakiwa kusema kivipi tatizo sio uongozi.
 
kwani umesahau Lamwai na Mrema waliyovurunda. usifanye CHADEMA kuwa ya Mtei. Tena huyo babu msaliti mkubwa ndiyo maana alitofautiana na mwalimu na kukmbilia Ulaya. Anamdanganya Nasari kuwa atarudisha ardhi Arumeru wakati mashamba engi ya kahawa Usa River ni mali ya BABU Mtei Mkwe wa Mbowe.Mbonahajarudisha hata robo eka? Tundu na Mbowe hureeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!! Zitto oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!! mtajaza
Unajiona mjanja kubeba begi la mzungu lililojaa Almasi, $ kibao zilizotokana na mauzo ya dhahabu zetu, Tembo wetu, umeme wa bei mbay! Kizazi cha watumwa kitaishi utumwani maisha yao yote... Kukonda kwako kwa njaa hadi wenzio wakuite hilo jina ni kosa la CCM, Wewe Mwenyewe kwa kushindwa kujitambua kuwa kupanda kwa gharama za maisha, kupanda kwa gharama za umeme ni matokeo ya UFISADI wa CCM na serikali yake... Unaubongo ama kunakitu wamekuwekea kichwani?....
 
upuuzi wa Zitto tunaujuwa sisi CHADEMA. wewe ambaye hujawahi hata kuipigia kura CHADEMA huwezi kujuwa lolote. tuacheni tumalizane naye.

kwa sasa tunatekeleza agizo la Katibu Mkuu: 'msishirikiane naye'

Nashauri ianzishwe Chadema Mbowe na Chedema Zito hapana nimesahau chadema Mtei na Chadema Zito maana Mbowe hana anaelekezwa na mkwe
 
Wazo lako ni zuri ila si mahali pake..... kinachoongelewa ni uongozi wa CDM na chanzo cha migogoro ndani ya CDM na si uchumi na biashara.... usipotoshe mada!!

Aya sema weye uongozi Wa Cdm unashida gani? Chanzo cha migogoro ni nini?

Maana mpk umeanzisha Uzi Huenda ukawa na hoja kwa wana JF! Aya niambie!
 
Ndio alikua na kazi kwasababu sibuluzwi Wala sidangayiki!

Km wewe unaona uko hapa kufundisha Mimi ntakua mwanafunzi Wa kwanza kukupinga! Usinidangaye!

Unashindwa kuzungumzia matatizo ya wakulima! Tangu mkoloni! Mtz analima kwa jembe la mkono mpk Leo! Unategemea utafukuza njaa nchini au kuleta maendeleo?

Bei za mazao kila siku zinamuangusha Mkulima huku pembejeo bei zikiwa juu?

Alafu mnakuja na dhana kilimo kwanza! Kilimo kwanza bila Elimu?
Huo ni upande Wa kilimo tu, lkn kila kona ni kilio tu!

Alafu kutwa mko kupro-ZZK tuuuuu!

umeeleza vyema ila chin umevuluga,umesahau kuwa ili tuwe na hayo yote mazr tunahtaji uongoz bora! nao unapatikana kwa haki umakin na uaminifu mr ntuzu!(au umesahau kwenu usukuman?)
 
Rockspider una maana kuwa mbowe ndio alimfundisha kuchukua na kupokea vitu kutoka kwa mkono na kutoka ccm? Maana umesema kuwa mbowe na master wa zitto
 
John Utamwa is not a Justice but a judge of a high court.Whatever you have written is possible.Read the signs of time.
Screen-Shot-2014-01-07-at-5.40.34-PM.png
 
Unajiona mjanja kubeba begi la mzungu! Kizazi cha watumwa kitaishi utumwani maisha yao yote... Kukonda kwako kwa njaa hadi wenzio wakuite hilo jina ni kosa la CCM, Wewe Mwenyewe kwa kushindwa kujitambua kuwa kupanda kwa gharama za maisha, kupanda kwa gharama za umeme ni matokeo ya UFISADI wa CCM na serikali yake... Unaubongo ama kunakitu wamekuwekea kichwani?....

Huyo Mbowe siyo fisadi njaa mbaya anaiba wake za watu anapeleka Dubai kwa pesa za serikali anajilipa pesa za ruzuku akiulizwa kesi na kuwafukuza uanachama mwisho wenu umefika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom