Tatizo book 7 muna sema vitu kama kasuku hamna tofauti unakuwa kama marrobot kati wanacham wa chadema amekufa chacha wangwe peke yake hivi kichwani zinakutosha kweli wewe CCM walisimama lini kwa dakika moja hata kukumbuka muasisi wa Tanu na baadaye CMM, waziri mkuu Kawawa,Sokoine lini walisimama wewe mbumbumbu na mzungu wa reli,Chacha Wangwe anawazidi akina Mary Kabigi,George Wasira Brown Gwilulupi,Mzee Bob Makani, Mashujaa wa Arusha wewe vipi kama huna sera za kumwaga JF tulia endelea kula miguu na vichwa vya kuku, unasema matawi sijui wilayani hawapeleki fedha kazi ya siasa ni ya kujitolea na hata CCM yenye mabilioni na fedha za BOT na Makampuni ya maharamia bado matawi,kata,wilaya mkoa hawapewi posho zaidi ya elfu 10 acha ujinga ukidhani hatujui data habari ya mapenzi unaona wivu watu wanasaidiana viungo vyao vichangamke we unalia lia tuu mbona JK anao wengi kama msululu wa foleni ya clinic na bado yupo Ikulu ,ukiambiwa lete ushahidi au muhuri uliopiga kwa hao wanawake Kama umewahi Kuiwashikia miguu utaweza wananchi wapo na chadema nguvu zenu za shetani zimamalizwa akina selemani mumenyolewa nywele munataka suluhu nguvu zenu zimepukutika ,Chacha Wangwe apumzike kwa amani ndipo utakapo jua hiki chama ni chaguo la Mungu kwani waliodhani kwa kumuua chacha wangwe na kuachiwa na Raisi baada ya wiki mbili ndani wameshindwa wamelegea chama ndio kinadunda