Mchawi wa CHADEMA huyu hapa

Mchawi wa CHADEMA huyu hapa

Safisha kwanza kwako ndipo uwakosowe akina pinda Nyege unazo wewe Ndio Maana umekuwa Muumini wa Mbowe kisa anakutoa nyenge zako Akina Mbowe hawakwepi Mzimu wa Chacha Wangwe japo unajaribu kupindisha kwenda kwa Sita na Migodi Siri anayo Mungu na Deus Malya yaani wewe na mpambe hatari unaweza kula hata Mavi ya Mbowe huna lolote yaani unamtetea Mbowe kwa mambo ambayo hata kipofu anayaona ! Poa lakini endelea kumtetea ipo Siku utajitambua na kuyakumbuka Haya
Think critically ...acha kupayuka, Makamba Sr alipata wapi Laptop ya C.W dakika 30 baada ya ajali? kwanini walipoanza kumhoji akafyata mkia? Kwanini Zitto ali amplify ile tukio kwa kujifanya msuluhishi kweye mazishi ya C.W? Kwanini CCM watoa fungu la kuwashughulikia Viongozi wa CDM ndani wakati wa msiba? Kwanini TISS waliandaa usanii wa kuwaokoa Viongozi wa CDM wakati wanajulikana kuwa wao ndo wanaratibu kuanguka kwa CDM? Toka nje wewe funza, fumbua macho ona maisha ktk mwanga bora labda utabadilika kuwa kiroboto! Umemtaja Mbowe na mapovu yanakutoka as if Mbowe amehusika kuingia mikataba ya kuchukua Dhahabu za wananchi watanzania tena kwa kuwaua raia kule Kahama, Nyamongo, Geita, Tanga, singida ili kupisha uwekezaji, Mbowe amehusika vipi kuua na kupora Tanzanite za Watanzania kule mererani? Mbowe amehusika vipi kuua viwanda na kuwakosesha watanzania maelfu ajira? Mbowe amehusika vipi na kuangamia kwa Tembo, Twiga na wanyama wengine? Mbowe amehusika vipi kuwamilikisha wazungu Gesi kuanzia Tanga hadi Mtwara? Mbowe amehusika vipi kwenye mikataba ya Agreco, IPTL, SONGAS na SYmbion inayotupandishia gharama za umeme na maisha? Mbowe amehusika vipi nchi yetu kuwa eneo la kusafirishia mihadarati?...Kweli wewe Funza msomi hujui kuwa nchi yetu ni tajiri na maisha haya magumu yanayoratibiwa na CCM plus mamluki wake akina Zitto ndo chanzo cha kukosekana huduma za Afya, Maji, Umeme, Barabara, Reli, Ndege, Elimu, ajira ?.... wameku-brainwash ama?...
 
Hapo Mliberali wewe unaona umejenga hooja! Jibu hoja acha kukurupuka, Zitto, Walid Kaborou, Kakobe, Kafulila, Serukamba wote mnafanana, wote mnapenda kusifiwa na tama ya fedha zimewajaa...Watanzania wanaliza ninyi ni warundi, wanyarwanda au wakongoman? Chacha wangwe kwako umeona ndo propaganda ya kumzushia mbowe wakati Sitta anajua kila kitu kuhusiana na C.W? Hata kaka wa marehemu C.W anajua kuwa CCM ilihusika 100%? Hoja binafsi kuhusiana na Mgodi ya Nyamongo kutoka kwa CW kwanini ilizimwa? Unafikiri kwanini Sitta alilia sana bbada ya kifo cha C.W?...unafikiri kwanini Nkono yuko bitter sana na Mgodi wa Nyamongo?.... Kibaraka Zitto kamwe hawezi kuzuia hamasa ya mabadiliko, wewe kama una nyege waweza kumuomba mhe Mbowe akusaidie kuzitoa! analo kundi kubwa la marijali hakika litakutosheleza tu... BTW ...sasa hivi issuesza msingi ni kupanda kwa gharama za maisha na umeme, ujangili, kutowajibika kwa PINDA na Cabinet.... haya yanagusa maslahi ya watanzania wote...[/QUOT

kwanza kuwa makini unapokuwa unajibu hoja, pili huna cha maana ulichokiandika, tatu hujui katiba ya chadema inasema nn umejibu kikabila, kakobe hapo anaingia vipi, na pia kuitwa warundi na wanyarwandwa inahusika vip na heading uliyokuja kujibu, kama wewe ni mwanachama kweli wa chadema soma katiba ya chama vizuri, then learn how to argue never react against a person but react against the argument...makosa ya mtu mmoja usi generalize kwa watu wote, na kwa hoja yako umewahadaa watu wa kigoma kwa lugha yako chafu...

Kumbukumbu zinaonesha kuwa marehemu Chacha Wangwe alifariki kwa ajari......!! Swali kwako Sita anahusikaje na ajari? Swali la pili mwajiri wa dereva wa Chacha Wangwe mwajiri wake ni CCM au ni CDM?
 
Ipo wazi mchawi wa CDM ni CCM na mchawi wa CCM ni CDM.Ila sasa Mchawi aliyewaroga waTZ sijui ni nani??

Kuchukulia mambo juujuu na kutokufikiri na kutafakari na kujiuliza kwanini kitu/jambo fulani kipo hivi, sababu yake kuwa hivi ni nini na ikiwa hivi itakuwaje...... na kwanini nafanya hivi, nafanya kwa faida ya nani na matokeo yake ni nini..... ukijiuliza maswali haya yote huwezi kufanya ujinga unaofanywa na baadhi ya watu..... mf. hivi leo ukimuuliza yule mtu aliyepigwa picha anamrushia mtu tofali kichwani kwanini alifanya hivyo?? na matokeo ya tukio hilo na maisha baada ya kumuua mwenzake ni nini?? sidhani kama atakuwa na cha kujibu zaidi ya kuilaumu serikali ya Kikwete kuwa imemuonea na kashfa nyingi sana....... hii ndo type ya watz tulionao sasa....
 
Kumekuwa na shutuma za mara kwa mara kuwa una ukaribu uliokithiri na Chama kuu pinzani kwa CHADEMA yaani CCM. Unasemaje kuhusiana na tuhuma hizo?

Ukitaka kummaliza mwanasiasa yeyote wa upinzani hapa Tanzania mhusishe na ama usalama wa Taifa au CCM. Ndivyo ilivyokuwa kwa Mabere Marando miaka ya Tisini. Marando ameishi kuweka sawa historia ingawa propaganda dhidi yake zilikuwa kali sana kiasi cha kuogopwa kweli kweli. Napita njia hiyo hiyo ya Marando na wanaonipaka matope haya wataona aibu sana ukweli utakapodhihiri.
Siku za mwisho za uhai wake ndugu Chacha Wangwe naye aliambiwa ni CCM na kwa kweli alikufa akiwa na chuki sana kuhusu tuhuma hii.

Faida kubwa niliyonayo mimi ni kwamba, mtaji wangu wa kisiasa ulikuwa ni mkubwa mno na ndio maana tuhuma hizi hazijaniathiri. Ninaamini tuhuma kama hizi zingekuwa kwa watu wengine wangekuwa wameshafutika kwenye historia ya siasa. Sijawahi kuwa mwanaCCM, familia yangu yote kabisa ni waanzilishi wa CHADEMA. Sina historia na CCM. Inawezekana wanaosema mimi ni CCM wengi wao wamewahi kuwa CCM, wana familia zao ndani ya CCM na wamewahi kula matunda ya CCM. Mimi sijawahi na wala sitawahi.

Inasemekana kua ukaribu huo unaweza kuonekana kupitia ukaribu wako na Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Unasemaje hapa?

Kuhusu Rais Kikwete, kwanza ifahamike Jakaya Kikwete na Zitto Kabwe wana mahusiano yao nje ya siasa na hata siku moja hatujadili vyama vyetu. Rais Kikwete anaamini katika uzalendo wangu.

Mimi ninamheshimu Rais Kikwete kama Mzee wangu. Kuita sisi ni marafiki is understatement, yeye ni mzee wangu. Tunaheshimiana, lakini ninaiheshimu zaidi Tanzania na ninaipenda zaidi Tanzania. Kama inavyoonekana, kazi zangu zinajihidhirisha Bungeni kwamba ni mmoja wa wabunge ninayeisumbua sana Serikali yake. Kutokana na hoja zangu nimemlazimisha kufanya mambo kinyume na mipango yao. Leo tuna sheria mpya ya Madini kwa sababu ya hoja ya Buzwagi. Ninafurahi sasa mgodi wa TanzaniteOne hisa asilimia 50 zinachukuliwa na Watanzania kutokana na mapendekezo yangu mahususi kwamba vito vya thamani, mgeni asiwe na zaidi ya asilimia 50.

Mwaka huu nimemlazimisha kupangua baraza la mawaziri kufuatia hoja yangu ya kutokuwa na imani na waziri mkuu iliyoungwa mkono na wabunge wengi bila kujali vyama. Hebu niambie kama ningeweza kupata mafanikio kama haya dhidi ya Serikali ya mtu mnayesema rafiki yangu. Wengine watasema, aah JK huwa anamtuma kufanya haya. Iwe jua au mvua ni lawama tu. Lakini maisha ya kisiasa haya. Yana mwisho, Rashidi wa KULI alisema.

Mkuu, vipi kuhusu kuonekana kwako in public pamoja na rais sehemu tofauti hadi safari za nje ya nchi.

Suala la kusafiri na Rais ni suala la kawaida sana. Nashangaa sana namna linavyokuzwa wakati ni wazi kabisa kua Rais lazima asafiri na wabunge, na anae wateua wabunge ni Spika wa Bunge. Kila Rais, Makamu wa Rais au Waziri mkuu wanapo safiri huambatana na wabunge wa kambi zote mbili.

Kwa kuweka rekodi sawa Rais amesha safiri na wabunge wafuatao wa Chadema: Christina Lissu (Australia), Chiku Abwao (Burundi), Grace Kiweli (Scandinavia), Lucie Owenya (US), nk. Makamu wa Rais kesha safiri na Ezekiah Wenje (Uturuki) na Esther Matiko (Uturuki) Waziri Mkuu pia kesha safiri na wabunge wa Chadema.

Toka nimekuwa mbunge nimesafiri na Rais mara mbili tu: Mara ya kwanza ilikua sherehe za uhuru za Sudan Kusini. Nilikwenda kwa taratibu hizo za Bunge. Mara ya pili ni Ethiopia, Kumzika Meles Zenawi. Hii niliomba mwenyewe kwani nilipenda kwenda kumzika mwanasiasa huyu niliekuwa namheshimu sana barani Afrika.

Inasemekana kuwa ni Kwa sababu yako ndio maana rais JK hakumnadi mgombea wa ubunge wa CCM wa jimbo lako katika uchaguzi mkuu uliopita na kwamba ndio maana hukushiriki katika kuungana na wanachama wako katika kumsusia JK siku ile anafungia bunge.

Rais Kikwete hakufika jimboni kwangu kumnadi mgombea wa chama chake. Napenda niwakumbushe, sio mwaka 2010 tu, toka nimekuwa mbunge Rais Kikwete hajawahi kuja kwenye kampeni jimboni kwangu. Hakuna makubaliano yeyote, bali anaheshimu mchango wangu kwenye nchi yangu. Mwaka 2005 hakuja Kigoma Kaskazini. Mwaka 2010 hakuja Kigoma Kaskazini. Lipumba pia hakuja Kigoma Kaskazini kunadi mgombea wake wa CUF.

Mwaka 2005 katika Jimbo la Musoma Mjini, aliyekuwa mgombea Urais CHADEMA ndugu Mbowe, hakumnadi mgombea wa CHADEMA bali alimnadi mgombea wa CUF. Mwaka 2010 Slaa alipofika Kyela alimnadi mgombea wa CCM dkt Mwakyembe. Kama ilivyo kwa wengine wenye maamuzi ya kuthamini kazi za wagombea wa vyama vingine, Rais Kikwete naye anayo haki ya kuheshimu na kuthamini kazi zangu katika nchi yetu. Mwakyembe yupo kwenye majukwaa ya CCM licha ya kwamba alinadiwa na Mgombea Urais wa CHADEMA.

Vipi madai kuwa unatumwa na CCM ili kupunguza nguvu ya CHADEMA? Kama si kweli unadhani kwanini watu wanakuona kama pandikizi ndani ya CHADEMA?

Baadhi ya watu wanapandikiza chuki hizi kwa sababu zao wenyewe. Hawanisumbui maana najua ni kikundi kidogo cha watu wachache wenye malengo yao ovu. Wajue tu kwamba hawawezi kuwadanganya Watanzania ambao wanafanya maamuzi yao sio tokana na propaganda ila kutokana na matendo ya kila mmoja.

Onyo: Watu hao hawawezi kummaliza Zitto kisiasa bila kuiathiri CHADEMA maana the imaage of Zitto is so intimately intertwined with CHADEMA that you couldn't attack Zitto without jeopardizing the image of Chadema, and vice versa.

Wanaoeneza sumu hii hawana nia njema wala mapenzi na CHADEMA. Hawaelewi siasa. Wanafurahisha maadui wa CHADEMA. Maadui wanawachochea kwa kuwapa habari za uwongo na wao wanadhani watammaliza Zitto. Huwezi kummaliza Zitto bila kuiathiri CHADEMA. Hawatafanikiwa.

Ni kweli kuwa una mkakati wa kuhamia CCM kabla ya 2015?

Sijawahi wala kufikiria kuhamia CCM. Kama nilivyosema hapo awali, sijawahi kuwa mwanachama wa chama kingine chochote tofauti na CHADEMA. Namwomba mungu kuwa niondoke duniani nikiwa chama hiki hiki. Siamini katika kuhama vyama. Ninaamini katika mfumo imara wa vyama vingi nchini. Ninaamini katika demokrasia pana.

Vipi tetesi kuwa wewe na Kafulila mmeanzisha chama na una mkakati wa kutimkia huko?

Swali hili na lililotangulia yanaonyesha kuwa hizi kweli ni tetesi tu. Sasa kama unasema nina mkakati wa kuhamia CCM. Tena kuna tetesi nimeanzisha chama na nataka kuhamia huko, sasa mimi nina vyama vingapi nitakavyohamia. Sijawahi hata kufikiria kuanzisha chama cha siasa. Chama changu ni CHADEMA na sitaondoka CHADEMA. Kinachonisikitisha ni kwamba kuna viongozi wa CHADEMA wamekula sumu hii na bila woga wanaisema kana kwamba ni kweli.

It is very unfortunate Kiongozi wa chama makini kama CHADEMA kuamini ujinga na kuingia kwenye mitego kama hii. Nataka ijulikane wazi kabisa kwamba, CCM haitachoka kutugawa. Haitachoka kupandikiza chuki miongoni mwetu. Wameshajua udhaifu upo wapi na wahenga walisema kamba hukatikia?
 
Mshitakiwa si huwa anawekwa rumande kwanza ndio kesi inaanza kusikilizwa? Anyway mimi sio mwana sheria!

Screen-Shot-2014-01-07-at-5.40.34-PM.png
 
Funza hastahili kujibiwa na bin'adam.

Funza anamng'ata binadamu apande asipende hivyo Kama wewe ni binadamu ya nini umejibu hapo ? Ukweli unauma sana nyie Waumini wa Mbowe mnajidai Viziwi na Vipofu eti hamuyaoni mapungufu ya Mbowe mnamwabudu Kama Mungu na Maraika Najua ipo siku Mzimu wa Chacha wangwe utakupitia utazinduka na kujilaumu kwa kumsujudia mbowe pasipo kujali Udhaifu wake
 
Kumbukumbu zinaonesha kuwa marehemu Chacha Wangwe alifariki kwa ajari......!! Swali kwako Sita anahusikaje na ajari? Swali la pili mwajiri wa dereva wa Chacha Wangwe mwajiri wake ni CCM au ni CDM?

Dereva alikuwa Deus Malya ni mshirika wa mbowe na Tokea chacha afariki mbowe hajawahi kunikumbuka hata kwa bango tu TBC kumbuka Mbowe alifukuzwa kwenye Msiba kwa kupigwa Mtama na mwanakijiji kisa Wanakijiji wanadai Mbowe alikuwa na chuki kubwa na chacha wangwe Waulize akina Lipumba Mrema mbatia na akina Mkono na wasira Walishuhudia Mkono akitoa Gari Nisan patrol imtoroshe Mbowe kwenda mwanza ikisindikizwa na polisi Hakuna mwana Chadema asiyejua Kuwa Mbowe alikuwa na chuki kubwa juu ya chacha baada ya Kuhoji matumizi ya Ruzuku ukabila uteuzi wa viti maalum na Vioja vinginevyo vingi hapo CDM
 
Funza hastahili kujibiwa na bin'adam.

Ni heri huyu Funza Ana utu anamkumbuka Chacha wangwe kuliko wewe Binadamu iliye na Roho mbaya unawasujudia akina Deus Malya Mbowe na wenzake huku ulibaki ufisadi ndani ya CDM yaani umekuwa Muumini wa Mabaya yote ndani ya CDM Kama ni Upambe basi wewe ni mpambe hatari sana
 
Then what? atafanyakazi na katibu yupi? M/Kiti yupi?...wajumbe wepi? kwanini msiwe wakweli wa nafsi zenu kuwa amefanikiwa kutetea posho zake za ubunge na uenyekiti wa PAC? Mlarushwa mkubwa kama Zitto kuwa M/Kiti wa kamati ya Bunge i.e watch dog committee inayochunguza mashirika ya umma huoni kuwa kuna walakini?...kweli wajinga ndio waliwao...Mahakama ilikuwa haina namna zaidi ya kuitikia wito wa Rais na Mwenyekiti wa CCM... Ukweli huu utasimama mpaka siku ya mwisho wa dunia kuwa Zitto si Msafi na CCM wako nyuma yake kujaribu kudhoofisha upinzani... After all in saltation Zitto atasubutu kumwangalia Mbowe na Viongozi wake kweli...Kijana aliechukuliwa kibohehe secondary alikokuwa anashindwa hata kwenda likizo kwa kukosa nauli leo anauwezo wa kuingia kwenye propaganda chafu ya kumchafua master wake ? Anazuia harakati za kuokoa Tembo, Madini na Gesi mali halali ya Watanzania? ama kweli kizazi cha nyoka itaendelea kuwa kizazi cha nyoka hadi mwisho wa dunia...

Ni hoja dhaifu sana hii Rockspider. Ulitaka mtu aliyesoma shule ya namna gani aweze kumkosoa Mbowe ama uongozi wa juu Cdm? Kukosa nauli ya kurudi likizo nyumbani vinaingiliana vipi na uchafu wa Mbowe? Kama huna hoja ya msingi kuchangia mada ni bora kukaa kimya. Hiyo Kibohehe Sekondari wamesoma watu wengi tu ambao wako vizuri katika nyanja zote uzijuazo.
 
Swali hili na lililotangulia yanaonyesha kuwa hizi kweli ni tetesi tu. Sasa kama unasema nina mkakati wa kuhamia CCM. Tena kuna tetesi nimeanzisha chama na nataka kuhamia huko, sasa mimi nina vyama vingapi nitakavyohamia. Sijawahi hata kufikiria kuanzisha chama cha siasa. Chama changu ni CHADEMA na sitaondoka CHADEMA. Kinachonisikitisha ni kwamba kuna viongozi wa CHADEMA wamekula sumu hii na bila woga wanaisema kana kwamba ni kweli.

It is very unfortunate Kiongozi wa chama makini kama CHADEMA kuamini ujinga na kuingia kwenye mitego kama hii. Nataka ijulikane wazi kabisa kwamba, CCM haitachoka kutugawa. Haitachoka kupandikiza chuki miongoni mwetu. Wameshajua udhaifu upo wapi na wahenga walisema kamba hukatikia?

Well said.............
 
Kumekuwa na shutuma za mara kwa mara kuwa una ukaribu uliokithiri na Chama kuu pinzani kwa CHADEMA yaani CCM. Unasemaje kuhusiana na tuhuma hizo?

Ukitaka kummaliza mwanasiasa yeyote wa upinzani hapa Tanzania mhusishe na ama usalama wa Taifa au CCM. Ndivyo ilivyokuwa kwa Mabere Marando miaka ya Tisini. Marando ameishi kuweka sawa historia ingawa propaganda dhidi yake zilikuwa kali sana kiasi cha kuogopwa kweli kweli. Napita njia hiyo hiyo ya Marando na wanaonipaka matope haya wataona aibu sana ukweli utakapodhihiri.
Siku za mwisho za uhai wake ndugu Chacha Wangwe naye aliambiwa ni CCM na kwa kweli alikufa akiwa na chuki sana kuhusu tuhuma hii.

Faida kubwa niliyonayo mimi ni kwamba, mtaji wangu wa kisiasa ulikuwa ni mkubwa mno na ndio maana tuhuma hizi hazijaniathiri. Ninaamini tuhuma kama hizi zingekuwa kwa watu wengine wangekuwa wameshafutika kwenye historia ya siasa. Sijawahi kuwa mwanaCCM, familia yangu yote kabisa ni waanzilishi wa CHADEMA. Sina historia na CCM. Inawezekana wanaosema mimi ni CCM wengi wao wamewahi kuwa CCM, wana familia zao ndani ya CCM na wamewahi kula matunda ya CCM. Mimi sijawahi na wala sitawahi.

Inasemekana kua ukaribu huo unaweza kuonekana kupitia ukaribu wako na Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Unasemaje hapa?

Kuhusu Rais Kikwete, kwanza ifahamike Jakaya Kikwete na Zitto Kabwe wana mahusiano yao nje ya siasa na hata siku moja hatujadili vyama vyetu. Rais Kikwete anaamini katika uzalendo wangu.

Mimi ninamheshimu Rais Kikwete kama Mzee wangu. Kuita sisi ni marafiki is understatement, yeye ni mzee wangu. Tunaheshimiana, lakini ninaiheshimu zaidi Tanzania na ninaipenda zaidi Tanzania. Kama inavyoonekana, kazi zangu zinajihidhirisha Bungeni kwamba ni mmoja wa wabunge ninayeisumbua sana Serikali yake. Kutokana na hoja zangu nimemlazimisha kufanya mambo kinyume na mipango yao. Leo tuna sheria mpya ya Madini kwa sababu ya hoja ya Buzwagi. Ninafurahi sasa mgodi wa TanzaniteOne hisa asilimia 50 zinachukuliwa na Watanzania kutokana na mapendekezo yangu mahususi kwamba vito vya thamani, mgeni asiwe na zaidi ya asilimia 50.

Mwaka huu nimemlazimisha kupangua baraza la mawaziri kufuatia hoja yangu ya kutokuwa na imani na waziri mkuu iliyoungwa mkono na wabunge wengi bila kujali vyama. Hebu niambie kama ningeweza kupata mafanikio kama haya dhidi ya Serikali ya mtu mnayesema rafiki yangu. Wengine watasema, aah JK huwa anamtuma kufanya haya. Iwe jua au mvua ni lawama tu. Lakini maisha ya kisiasa haya. Yana mwisho, Rashidi wa KULI alisema.

Mkuu, vipi kuhusu kuonekana kwako in public pamoja na rais sehemu tofauti hadi safari za nje ya nchi.

Suala la kusafiri na Rais ni suala la kawaida sana. Nashangaa sana namna linavyokuzwa wakati ni wazi kabisa kua Rais lazima asafiri na wabunge, na anae wateua wabunge ni Spika wa Bunge. Kila Rais, Makamu wa Rais au Waziri mkuu wanapo safiri huambatana na wabunge wa kambi zote mbili.

Kwa kuweka rekodi sawa Rais amesha safiri na wabunge wafuatao wa Chadema: Christina Lissu (Australia), Chiku Abwao (Burundi), Grace Kiweli (Scandinavia), Lucie Owenya (US), nk. Makamu wa Rais kesha safiri na Ezekiah Wenje (Uturuki) na Esther Matiko (Uturuki) Waziri Mkuu pia kesha safiri na wabunge wa Chadema.

Toka nimekuwa mbunge nimesafiri na Rais mara mbili tu: Mara ya kwanza ilikua sherehe za uhuru za Sudan Kusini. Nilikwenda kwa taratibu hizo za Bunge. Mara ya pili ni Ethiopia, Kumzika Meles Zenawi. Hii niliomba mwenyewe kwani nilipenda kwenda kumzika mwanasiasa huyu niliekuwa namheshimu sana barani Afrika.

Inasemekana kuwa ni Kwa sababu yako ndio maana rais JK hakumnadi mgombea wa ubunge wa CCM wa jimbo lako katika uchaguzi mkuu uliopita na kwamba ndio maana hukushiriki katika kuungana na wanachama wako katika kumsusia JK siku ile anafungia bunge.

Rais Kikwete hakufika jimboni kwangu kumnadi mgombea wa chama chake. Napenda niwakumbushe, sio mwaka 2010 tu, toka nimekuwa mbunge Rais Kikwete hajawahi kuja kwenye kampeni jimboni kwangu. Hakuna makubaliano yeyote, bali anaheshimu mchango wangu kwenye nchi yangu. Mwaka 2005 hakuja Kigoma Kaskazini. Mwaka 2010 hakuja Kigoma Kaskazini. Lipumba pia hakuja Kigoma Kaskazini kunadi mgombea wake wa CUF.

Mwaka 2005 katika Jimbo la Musoma Mjini, aliyekuwa mgombea Urais CHADEMA ndugu Mbowe, hakumnadi mgombea wa CHADEMA bali alimnadi mgombea wa CUF. Mwaka 2010 Slaa alipofika Kyela alimnadi mgombea wa CCM dkt Mwakyembe. Kama ilivyo kwa wengine wenye maamuzi ya kuthamini kazi za wagombea wa vyama vingine, Rais Kikwete naye anayo haki ya kuheshimu na kuthamini kazi zangu katika nchi yetu. Mwakyembe yupo kwenye majukwaa ya CCM licha ya kwamba alinadiwa na Mgombea Urais wa CHADEMA.

Vipi madai kuwa unatumwa na CCM ili kupunguza nguvu ya CHADEMA? Kama si kweli unadhani kwanini watu wanakuona kama pandikizi ndani ya CHADEMA?

Baadhi ya watu wanapandikiza chuki hizi kwa sababu zao wenyewe. Hawanisumbui maana najua ni kikundi kidogo cha watu wachache wenye malengo yao ovu. Wajue tu kwamba hawawezi kuwadanganya Watanzania ambao wanafanya maamuzi yao sio tokana na propaganda ila kutokana na matendo ya kila mmoja.

Onyo: Watu hao hawawezi kummaliza Zitto kisiasa bila kuiathiri CHADEMA maana the imaage of Zitto is so intimately intertwined with CHADEMA that you couldn't attack Zitto without jeopardizing the image of Chadema, and vice versa.

Wanaoeneza sumu hii hawana nia njema wala mapenzi na CHADEMA. Hawaelewi siasa. Wanafurahisha maadui wa CHADEMA. Maadui wanawachochea kwa kuwapa habari za uwongo na wao wanadhani watammaliza Zitto. Huwezi kummaliza Zitto bila kuiathiri CHADEMA. Hawatafanikiwa.

Ni kweli kuwa una mkakati wa kuhamia CCM kabla ya 2015?

Sijawahi wala kufikiria kuhamia CCM. Kama nilivyosema hapo awali, sijawahi kuwa mwanachama wa chama kingine chochote tofauti na CHADEMA. Namwomba mungu kuwa niondoke duniani nikiwa chama hiki hiki. Siamini katika kuhama vyama. Ninaamini katika mfumo imara wa vyama vingi nchini. Ninaamini katika demokrasia pana.

Vipi tetesi kuwa wewe na Kafulila mmeanzisha chama na una mkakati wa kutimkia huko?

Swali hili na lililotangulia yanaonyesha kuwa hizi kweli ni tetesi tu. Sasa kama unasema nina mkakati wa kuhamia CCM. Tena kuna tetesi nimeanzisha chama na nataka kuhamia huko, sasa mimi nina vyama vingapi nitakavyohamia. Sijawahi hata kufikiria kuanzisha chama cha siasa. Chama changu ni CHADEMA na sitaondoka CHADEMA. Kinachonisikitisha ni kwamba kuna viongozi wa CHADEMA wamekula sumu hii na bila woga wanaisema kana kwamba ni kweli.

It is very unfortunate Kiongozi wa chama makini kama CHADEMA kuamini ujinga na kuingia kwenye mitego kama hii. Nataka ijulikane wazi kabisa kwamba, CCM haitachoka kutugawa. Haitachoka kupandikiza chuki miongoni mwetu. Wameshajua udhaifu upo wapi na wahenga walisema kamba hukatikia?

Ahsante Mkuu kwa taarifa ya kujenga.........
 
Chanzo cha Migogoro Chadema hawataki Mtu ambaye si Mchaga ahoji Matumizi ya Ruzuku pesa za misaada ukabila Uteuzi wa Wabunge viti maalum mbowe kujilipa pesa ya Chana kwa kisingizio Kuwa alikikopesha chama na Vioja vinginevyo vingi mfano M/ kiti kuwageuza wabunge viti maalim Kuwa Vimada na kukutana Nao Dubai nk Ukiataka uishi kawa Amani CDM usithubutu kuhoji hayo hata siku moja ili upete CDM yakupasa ufumbie macho Udhaifu wa M/kiti na Timu yake kinyume na hapo Siri anayo Mungu Pia Deus Malya .

hayo ni maneno tu ambayo unaysikia na kuyaamin sku ukisikia babaako hakuwa mwanaume kamil nayo utayapost humu haya CCM hawamtaki lowasa agombee urais wanataka kanda ipi wagombee ipo siku ukwel utajulikana hujui zitto ana shida gani chadema mpaka anang'ang'ania mpk sasa alishalipwa pesa aharib chama ndo anatekeleza kazi yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom