Mchawi wa CHADEMA huyu hapa

Mchawi wa CHADEMA huyu hapa

nampenda ZZK kasoro hana protocal mdomo wake hauchagui aongee nini bila kukonsida anayeongea naye ni mzee au kijana
 
Hivi kuna siku CDM ilishaendesha mkutano wowote na mahali popote bila kuitaja CCM..... ndivyo ilivyo na kwako kwani umekaririshwa. Sikulaumu kwani uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo......

Hivi kuna siku CCM ilishaendesha mkutano wowote na mahali popote bila kuitaja CDM..... ndivyo ilivyo na kwako kwani umekaririshwa. Sikulaumu kwani Umerithi kutoka kwa wazazi wako waliokulea kwa msaada wa cash ya CCM na mbaya zaidi akiri yako cyo INDEPENDANT......
 
ccm mnakiua chama chenu kwa ujinga wenu wenyewe, badala ya kushughulikia kero zinazo wasibu wanchi nyie mna kesha mkiiwazia mabaya cdm kama vile hiyo nayo ilikuwa sera yenu wakati mkiomba kura kwa wananzengo?????????.

hiyo ndiyo dalili za anayekaribia kufa. Haangalii alikojikwaa bali alipoangukia. Cdm ni kiboko yao.
 
Foolish people never know what treasures they have, until when they've lost it!.
Chadema will never be the same again!, na humu jukwaani baadhi wanaoitetea na kuutetea ukosefu wa busara wa CC yake, ni mijitu mijinga ya ajabu kabisa yanayo tetea ujinga!, mengi ni madebe matupu na vichwa maji kabisa!.

Ndani ya CC ya Chadema, kuna wenye busara watatu, Prof. Mwesiga Beregu, Prof. Safari na Victor Kimesera, I wish kuusikia msimamo wa hawa ili kujua kama bado kuna hata chembe ya busara vinginevyo, kwenye kigezo cha busara I'm very sorry to say Chadema ni bure kabisa !
Pasco.

Chezea Mzimu wa chacha wangwe wewe..
 
Hiyo migogoro chanzo chake ni nini?

Chanzo cha Migogoro Chadema hawataki Mtu ambaye si Mchaga ahoji Matumizi ya Ruzuku pesa za misaada ukabila Uteuzi wa Wabunge viti maalum mbowe kujilipa pesa ya Chana kwa kisingizio Kuwa alikikopesha chama na Vioja vinginevyo vingi mfano M/ kiti kuwageuza wabunge viti maalim Kuwa Vimada na kukutana Nao Dubai nk Ukiataka uishi kawa Amani CDM usithubutu kuhoji hayo hata siku moja ili upete CDM yakupasa ufumbie macho Udhaifu wa M/kiti na Timu yake kinyume na hapo Siri anayo Mungu Pia Deus Malya .
 
Mchawi wa CHADEMA ni UOngozi wa CHADEMA
Methali ya "mfa maji haachi kutapa" ndo yanatimia.....
sasa mara CCM mara CUF hivi hata kwa akili ya kawaida hatuwezi kuyaona haya matatizo yaliyopo kwenye uongozi wa juu au tunafumba macho na kushabikia ujinga.....
hakuna mchawi nje ya CHADEMA, mchawi yumo ndani ya kamati kuu na baraza la ushauri wa CHADEMA... mi nashauri wakae chini na kujitathimini ndani ya chama na ikiwezekana matatizo yao wayamalize kwa kushirikisha watu wenye busara nje na ndani ya chama na wenye uwezo wakuona mbali na ikiwezekana Viongozi wapate msasa wa elimu ya Sayansi ya siasa (Political Science.....)
Ninachokiona ndani ya CHADEMA ni Poor management of the Organization... Mtaalamu mmoja wa mambo ya Utawala Maxwell katika kitabu chake cha "The 21indispensable laws of a Leader" anashauri kuwa kama Kiongozi (Leader) unatakiwa kujifunza namna ya kuongoza kupitia migongo wa watu wenye ushawishi katika Taasisi yeyote suala hili kwa CHADEMA naona kama halipo....
Chezea Mzimu wa Chacha Wangwe wewe....
 
Mwanasheria nguli Tanzania mabere marando sijamsikia kabisa kwa yote yanayoendelea chadema yupo wapi huyu jamaa
 
Chanzo cha Migogoro Chadema hawataki Mtu ambaye si Mchaga ahoji Matumizi ya Ruzuku pesa za misaada ukabila Uteuzi wa Wabunge viti maalum mbowe kujilipa pesa ya Chana kwa kisingizio Kuwa alikikopesha chama na Vioja vinginevyo vingi mfano M/ kiti kuwageuza wabunge viti maalim Kuwa Vimada na kukutana Nao Dubai nk Ukiataka uishi kawa Amani CDM usithubutu kuhoji hayo hata siku moja ili upete CDM yakupasa ufumbie macho Udhaifu wa M/kiti na Timu yake kinyume na hapo Siri anayo Mungu Pia Deus Malya .

Hoja hii ipo pia kwenye waraka ule wa mabadiliko.......
 
Mchawi wa CHADEMA ni UOngozi wa CHADEMA
Methali ya "mfa maji haachi kutapa" ndo yanatimia.....
sasa mara CCM mara CUF hivi hata kwa akili ya kawaida hatuwezi kuyaona haya matatizo yaliyopo kwenye uongozi wa juu au tunafumba macho na kushabikia ujinga.....
hakuna mchawi nje ya CHADEMA, mchawi yumo ndani ya kamati kuu na baraza la ushauri wa CHADEMA... mi nashauri wakae chini na kujitathimini ndani ya chama na ikiwezekana matatizo yao wayamalize kwa kushirikisha watu wenye busara nje na ndani ya chama na wenye uwezo wakuona mbali na ikiwezekana Viongozi wapate msasa wa elimu ya Sayansi ya siasa (Political Science.....)
Ninachokiona ndani ya CHADEMA ni Poor management of the Organization... Mtaalamu mmoja wa mambo ya Utawala Maxwell katika kitabu chake cha "The 21indispensable laws of a Leader" anashauri kuwa kama Kiongozi (Leader) unatakiwa kujifunza namna ya kuongoza kupitia migongo wa watu wenye ushawishi katika Taasisi yeyote suala hili kwa CHADEMA naona kama halipo....

Unaona au unafikiria kama umeona umeona wapi hebu tupe takwimu au taratibu na Kanuni za CHADEMA. Pengine kwa kutokuelewa kwako ndiyo maana unaona au kwa fikira zako umeona CHADEMA halipo, hebu jaribu kutufafanulia zaidi ili tukuelewe na tujadili
 
Tafadhali Nzilo hebu niambie, ZZK yuko chama gani? Na hicho chama alichopo lengo lake ni nn? Na je anaamini katika hicho chama chake? Tuwe wakweli na tuache unafiki. Najaribu kumwangalia ZZK kwa jicho la tatu, naona kama hayo ayafanyayo ndio malengo yake.ya kuhakikisha Upinzani hauingii madarakani, maana wananchi watateseka hivyo kuwaaminisha watu kuwa chama pekee CCM.
 
Hivi kuna siku CCM ilishaendesha mkutano wowote na mahali popote bila kuitaja CDM..... ndivyo ilivyo na kwako kwani umekaririshwa. Sikulaumu kwani Umerithi kutoka kwa wazazi wako waliokulea kwa msaada wa cash ya CCM na mbaya zaidi akiri yako cyo INDEPENDANT......

Nashukulu kwa kudhihirisha kuwa huna hoja na baadala yake una paraphrase nilichokiandika...... Ishukulu CCM iliyomsomesha baba yako na mimi tukapata uelewa na ndiyo maana ninaweza kusoma na kuandika na kujitambua na kupata uelewa wa masuala mbalimbali na ndo maana nina wigo mpana.... sasa wewe mwana CDM unajivunia nini kama hujui hata CDM inapata ruzuku ya TShs ngapi kutoka serikalini na pia inapata msaada wa dola ngapi kutoka kwa wafadhili wake wa marekani na kwingineko duniani na zinatumiwaje na viongozi. Maswali yangu ni haya, kama tunashindwa kuwa transparency ndani ya chama tutawezaje kuwa transparency kwa rasilimali za nchi? hilo ni moja lakini la pili, kuna faida gani kuihubiri demokrasia na uhuru wa mawazo ilihali ndani ya chama hili suala halipo? kama haya yote yanaweza kupatiwa ufumbuzi nina imani CHADEMA itafika mbali.... we unasemaje?
 
Tafadhali Nzilo hebu niambie, ZZK yuko chama gani? Na hicho chama alichopo lengo lake ni nn? Na je anaamini katika hicho chama chake? Tuwe wakweli na tuache unafiki. Najaribu kumwangalia ZZK kwa jicho la tatu, naona kama hayo ayafanyayo ndio malengo yake.ya kuhakikisha Upinzani hauingii madarakani, maana wananchi watateseka hivyo kuwaaminisha watu kuwa chama pekee CCM.

"NITAKUWA WA MWISHO KUONDOKA CHADEMA...." haya ni maneno yangu au ya Mh. ZZK? hop nimejibu swali lako.... malengo ya Zito ni kuleta siasa ya kweli isiyo na kiini macho, uwazi, udhalimu, uonezi na haki sawa kwa kila mwanachama... kama huwezi kuliona hilo basi kuna watu wanafikiri baadala yako na nina wasiwasi na wigo wako wa kuelewa mambo...... hili limedhihirishwa na mahakama jana kuwa ilichotaka kukifanya CDM dhidi ya ZZK si matakwa ya kikatiba bali ni ya kidhalimu na ya watu binafsi ndani ya CC......
 
Unaona au unafikiria kama umeona umeona wapi hebu tupe takwimu au taratibu na Kanuni za CHADEMA. Pengine kwa kutokuelewa kwako ndiyo maana unaona au kwa fikira zako umeona CHADEMA halipo, hebu jaribu kutufafanulia zaidi ili tukuelewe na tujadili

Mjadala siyo kanuni na utaratibu mjadala ni "Mchawi wa CHADEMA....!! Ukifika muda wa kujadili kanuni na taratibu ntafanya hivyo.....
 
nampenda ZZK kasoro hana protocal mdomo wake hauchagui aongee nini bila kukonsida anayeongea naye ni mzee au kijana

umeongea vema sista!! Kiongozi anayeona aibu kuongea kile anachoamini kuwa kina ukweli kwa maslahi ya umma huyo hatufai......!! ukweli ni kwamba ZZK anajiamini na anaongea kile alichokifanyia uchunguzi wa kina ndo maana haoni tatizo kumchana mtu live....
 
Ni uwezo wa kujenga hoja......!!! Nani aliyekuroga wewe Pro-Mbowe....?

Unaona unajenga hoja sn? Pole sn! Najua unachotimiza hapa ni kupata riziki Hakuna kitu kingine!

Hapa mlengwa ni Mbowe ndio anaewasumbua na Lissu na Lema!
 
Tatizo la hizi taasisi ni kwamba,ukishakuwa ni mtu wa kupiga kelele na kujishughulisha na taasisi basi hiyo ni nafasi ya kuingia na kuitumikia taasisi husika,pasipo hata kuangalia wapi umetoka,nini unafanya ili uweze kuishi na wapi umetokea na nini malengo yako.
hadi 2015 tutaona mengi
 
Chanzo cha Migogoro Chadema hawataki Mtu ambaye si Mchaga ahoji Matumizi ya Ruzuku pesa za misaada ukabila Uteuzi wa Wabunge viti maalum mbowe kujilipa pesa ya Chana kwa kisingizio Kuwa alikikopesha chama na Vioja vinginevyo vingi mfano M/ kiti kuwageuza wabunge viti maalim Kuwa Vimada na kukutana Nao Dubai nk Ukiataka uishi kawa Amani CDM usithubutu kuhoji hayo hata siku moja ili upete CDM yakupasa ufumbie macho Udhaifu wa M/kiti na Timu yake kinyume na hapo Siri anayo Mungu Pia Deus Malya .

Hizo ni nyimbo zenu za kila siku mlichobakiza ni kwenda studio mkarekodi album!

Ni mwaccm gani asie kua na vimada?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom