NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,898
atakuwa mbunge anayewakilisha jimbo la kisutu kwa tiketi ya jaji.Umesahau CCM na JK wameshinda kesi!!
atakuwa mbunge anayewakilisha jimbo la kisutu kwa tiketi ya jaji.Umesahau CCM na JK wameshinda kesi!!
Zzk kashinda nn mjinga unaefuata upepo unahongwa elfu tano hzo na huku mwandiga hatumtaki nasikia anaenda kugombea mjini aone kama atapata mnafiki ww na yy
ZITTO, TISS,CCM na CUF lakini hawawezi kushinda kimbunga chake watakiona wananchi wameshawajua ndio maana unashangaa stamico inachomwa mot ,mahakama kwisha wale wote wanaodumaza demokrasia ya wananchi kwa kutumia mamluki na wazandiki wanatumbukiza nchi kwenye lindi la damu hakuna atakaye kubali CCM iendelee na ghiriba za kusambaratisha vyama
zana za kudumisha usaliti wa kigoma
Unakilimbitwa wewe na wenzio wa Lumumba. unafikiri kuwa mbunge na mwanachama kwa hisani ya mahakama na Lumumba kutabadilisha msimamo wa viongozi, wananchama na wapenzi wa CDM?... cowards...
umeeleza vyema ila chin umevuluga,umesahau kuwa ili tuwe na hayo yote mazr tunahtaji uongoz bora! nao unapatikana kwa haki umakin na uaminifu mr ntuzu!(au umesahau kwenu usukuman?)
Aya sema weye uongozi Wa Cdm unashida gani? Chanzo cha migogoro ni nini?
Maana mpk umeanzisha Uzi Huenda ukawa na hoja kwa wana JF! Aya niambie!
Chezea.....!!
Then what? atafanyakazi na katibu yupi? M/Kiti yupi?...wajumbe wepi? kwanini msiwe wakweli wa nafsi zenu kuwa amefanikiwa kutetea posho zake za ubunge na uenyekiti wa PAC? Mlarushwa mkubwa kama Zitto kuwa M/Kiti wa kamati ya Bunge i.e watch dog committee inayochunguza mashirika ya umma huoni kuwa kuna walakini?...kweli wajinga ndio waliwao...Mahakama ilikuwa haina namna zaidi ya kuitikia wito wa Rais na Mwenyekiti wa CCM... Ukweli huu utasimama mpaka siku ya mwisho wa dunia kuwa Zitto si Msafi na CCM wako nyuma yake kujaribu kudhoofisha upinzani... After all in saltation Zitto atasubutu kumwangalia Mbowe na Viongozi wake kweli...Kijana aliechukuliwa kibohehe secondary alikokuwa anashindwa hata kwenda likizo kwa kukosa nauli leo anauwezo wa kuingia kwenye propaganda chafu ya kumchafua master wake ? Anazuia harakati za kuokoa Tembo, Madini na Gesi mali halali ya Watanzania? ama kweli kizazi cha nyoka itaendelea kuwa kizazi cha nyoka hadi mwisho wa dunia...
Sasa nani si muaminifu?
Alafu hapo kwenye usukumani nakutlia Mashaka kwa kile utakachoendelea kusema hapo baadae! Km nimesahau usukumani Kwahiyo nimetekwa na uchaga au?
Ukweli ulikuwa wazi toka awali kwamba: Mchawi wa CDM ni Uongoze wa CDM. Chama kikifikia katika hatua hii kiongozi wa juu anapaswa kuwajibika. Mimi binafsi nitamheshimu sana Mbowe kama atatambua kuwa ameshindwa (yeye na waliomshauri vibaya) na kuwaachia wengine waongoze (Mwingine yeyote na kamwe isiwe ZZK); Ni wakati wa Mbowe kupumzika ajenge chama kupitia wadhifa mwingine.
Baada ya kuyasema hayo niko tayari kurushiwa madongo kama kawaida wachingiaji walio wengi.
VIVA CDM
Haina lolote hiyo Zaidi misifa tu na ubinafsi na kutumika na kulindwa na ccm!
Kuna kadhia nyingi sn zilizowakumba wapinzani hapa Tz!
Mtikila,
Lipumba,
Wana Cdm
Kwanini Huyu Hajawahi kumbana na kadhia yeyeto? Au yeye si mpinzani!? Na kila matukio yakitokea yeye hayupo! Na ata kesi hana Zaidi ya Hii aliyoifungua yeye!
Kuna nini hapa?
inawezekana kiingereza ni kigumu kwako...... katafute tafasili ya maneno yote yaliyoandikwa kwa kiingereza alafu uunganishe then utapata maana sahihi..... usipotosheka ingia facebook mtafute mwanasheria wa kesi ya Zitto "Alberto" utaelewa...... ifanye kama home work then njoo na majibu kesho.....
"Rahisi sana...." ukiwa na dereva asiyeifahamu barabara vema ni rahisi kupata ajari kwani anakuwa hajui aendako na hata sehemu zenye matatizo, km. vile kona, korongo na mitelemko mikali anakuwa hazijui........
Jibu rahisi sana...!!!! Haikuwahi kufunguliwa kesi ya mwanachama wa CDM kuishitaki CDM..... ndo maana udhaifu wa Viongozi ulikuwa haujulikani....