Mchawi wa CHADEMA ni UOngozi wa CHADEMA
Methali ya "mfa maji haachi kutapa" ndo yanatimia.....
sasa mara CCM mara CUF hivi hata kwa akili ya kawaida hatuwezi kuyaona haya matatizo yaliyopo kwenye uongozi wa juu au tunafumba macho na kushabikia ujinga.....hakuna mchawi nje ya CHADEMA, mchawi yumo ndani ya kamati kuu na baraza la ushauri wa CHADEMA... mi nashauri wakae chini na kujitathimini ndani ya chama na ikiwezekana matatizo yao wayamalize kwa kushirikisha watu wenye busara nje na ndani ya chama na wenye uwezo wakuona mbali na ikiwezekana Viongozi wapate msasa wa elimu ya Sayansi ya siasa (Political Science.....)
Ninachokiona ndani ya CHADEMA ni Poor management of the Organization... Mtaalamu mmoja wa mambo ya Utawala Maxwell katika kitabu chake cha "The 21indispensable laws of a Leader" anashauri kuwa kama Kiongozi (Leader) unatakiwa kujifunza namna ya kuongoza kupitia migongo wa watu wenye ushawishi katika Taasisi yeyote suala hili kwa CHADEMA naona kama halipo....
Chezea Mzimu wa chacha wangwe wewe
Buku 7 unapewa ww mfuasi wa Mbowe kipofu na kiziwi usiyetaka kukubali Udhaifu wa Mbowe na kukalia Kutoa Mifano isiyoendani na Mapungufu ya Mbowe Kama ni mpambe kweli wewe unaweza hata kunywa mkojo wa mbowe kwa kua umeamua kukataa kumkosoa Baba yako mbowe kisa wewe upo makao Makuu shida za kwenye Mashina hazikuhusu wala Pesa zinaliwa hapo haujali Nadhani wewe unanufaika na Ufisadi wa ndani ya Chama haufai kwa jamii au wewe ni Deus Malya nini? Nalazimika kamini kumbe hata kwenye Mchwa wafujaji kuna wale ambao wanapata chochote Kama wewe kisha kuzibua masikio na Kuwa shabiki asiyetaka kusikia mtu akimkosa mbowe
kama haka kanyepesi kangekuwa kademu kangeitwa "dada Huruma".Si kanyimi.Kupokea vya watu kanakubali na kutoa si kagumu.Haaaa!
Hapo Mliberali wewe unaona umejenga hooja! Jibu hoja acha kukurupuka, Zitto, Walid Kaborou, Kakobe, Kafulila, Serukamba wote mnafanana, wote mnapenda kusifiwa na tama ya fedha zimewajaa...Watanzania wanaliza ninyi ni warundi, wanyarwanda au wakongoman? Chacha wangwe kwako umeona ndo propaganda ya kumzushia mbowe wakati Sitta anajua kila kitu kuhusiana na C.W? Hata kaka wa marehemu C.W anajua kuwa CCM ilihusika 100%? Hoja binafsi kuhusiana na Mgodi ya Nyamongo kutoka kwa CW kwanini ilizimwa? Unafikiri kwanini Sitta alilia sana bbada ya kifo cha C.W?...unafikiri kwanini Nkono yuko bitter sana na Mgodi wa Nyamongo?.... Kibaraka Zitto kamwe hawezi kuzuia hamasa ya mabadiliko, wewe kama una nyege waweza kumuomba mhe Mbowe akusaidie kuzitoa! analo kundi kubwa la marijali hakika litakutosheleza tu... BTW ...sasa hivi issuesza msingi ni kupanda kwa gharama za maisha na umeme, ujangili, kutowajibika kwa PINDA na Cabinet.... haya yanagusa maslahi ya watanzania wote...
Yani we jamaa unachekesha sn! Unapost ujinga tu!

Huyo jamaa ata Km hutaki kusema anakuchokoza mpk uongee au uchafue hali ya hewa! Achana nae!
Hapo Mliberali wewe unaona umejenga hooja! Jibu hoja acha kukurupuka, Zitto, Walid Kaborou, Kakobe, Kafulila, Serukamba wote mnafanana, wote mnapenda kusifiwa na tama ya fedha zimewajaa...Watanzania wanaliza ninyi ni warundi, wanyarwanda au wakongoman? Chacha wangwe kwako umeona ndo propaganda ya kumzushia mbowe wakati Sitta anajua kila kitu kuhusiana na C.W? Hata kaka wa marehemu C.W anajua kuwa CCM ilihusika 100%? Hoja binafsi kuhusiana na Mgodi ya Nyamongo kutoka kwa CW kwanini ilizimwa? Unafikiri kwanini Sitta alilia sana bbada ya kifo cha C.W?...unafikiri kwanini Nkono yuko bitter sana na Mgodi wa Nyamongo?.... Kibaraka Zitto kamwe hawezi kuzuia hamasa ya mabadiliko, wewe kama una nyege waweza kumuomba mhe Mbowe akusaidie kuzitoa! analo kundi kubwa la marijali hakika litakutosheleza tu... BTW ...sasa hivi issuesza msingi ni kupanda kwa gharama za maisha na umeme, ujangili, kutowajibika kwa PINDA na Cabinet.... haya yanagusa maslahi ya watanzania wote...[/QUOT
kwanza kuwa makini unapokuwa unajibu hoja, pili huna cha maana ulichokiandika, tatu hujui katiba ya chadema inasema nn umejibu kikabila, kakobe hapo anaingia vipi, na pia kuitwa warundi na wanyarwandwa inahusika vip na heading uliyokuja kujibu, kama wewe ni mwanachama kweli wa chadema soma katiba ya chama vizuri, then learn how to argue never react against a person but react against the argument...makosa ya mtu mmoja usi generalize kwa watu wote, na kwa hoja yako umewahadaa watu wa kigoma kwa lugha yako chafu...
Ni Kweli Kwani Wafuasi na waumini wa Mbowe wao wanaamini Mbowe na maraika Hana Doa kila analolitaka liwe ni sahihi Wamejidai Viziwi na Vipofu hawataki kuona Udhaifu wa Mbowe unaanikwa hadhalani kila anayejaribu kumkosoa Mbowe anabatizwa jina la Msariti na Wafuasi kulishwa maneno na kumwamini Mbowe pasipo kujua Kuwa wanakibomoa Chama : chezea Mzimu wa Chacha wangwe wewe.hapo sioni swala la lumumba jamani washabiki wa chadema tubadilike tuwe tofauti na wale wa maccm tusikimbilie kumshambulia mtu bali tushambulie hoja, kwa kuja argument nzito, lakini kwa nini tunashwindwa kufanya hivyo, lazima ifike hatua tujitofautishe na akina nchemba, pamoja na nape, na wasira pia.
R.I.P chacha wangwe
Chezea Mzimu wa chacha wangwe wewe
Wewe na waliokuzaa na wele wanaokulea Ndio wajinga iweje uweje upinge MSG ya kumkumbuka Chacha wangwe?au wewe ndiye Deus Malya nini ?usijione Mjanja Mzimu wa Chacha Wangwe unakutizama kwa jicho la Tatu
Chezea Mzimu wa chacha wangwe wewe..
Safisha kwanza kwako ndipo uwakosowe akina pinda Nyege unazo wewe Ndio Maana umekuwa Muumini wa Mbowe kisa anakutoa nyenge zako Akina Mbowe hawakwepi Mzimu wa Chacha Wangwe japo unajaribu kupindisha kwenda kwa Sita na Migodi Siri anayo Mungu na Deus Malya yaani wewe na mpambe hatari unaweza kula hata Mavi ya Mbowe huna lolote yaani unamtetea Mbowe kwa mambo ambayo hata kipofu anayaona ! Poa lakini endelea kumtetea ipo Siku utajitambua na kuyakumbuka Haya
Wewe Nadhani ni Deus malya kwani umeonyesha Kuwa na Chuki na Marehemu Chacha wangwe sasa Mzimu wake upo karibu yako unakutizama kwa jicho la tatu
Hapo Mliberali wewe unaona umejenga hooja! Jibu hoja acha kukurupuka, Zitto, Walid Kaborou, Kakobe, Kafulila, Serukamba wote mnafanana, wote mnapenda kusifiwa na tama ya fedha zimewajaa...Watanzania wanaliza ninyi ni warundi, wanyarwanda au wakongoman? Chacha wangwe kwako umeona ndo propaganda ya kumzushia mbowe wakati Sitta anajua kila kitu kuhusiana na C.W? Hata kaka wa marehemu C.W anajua kuwa CCM ilihusika 100%? Hoja binafsi kuhusiana na Mgodi ya Nyamongo kutoka kwa CW kwanini ilizimwa? Unafikiri kwanini Sitta alilia sana bbada ya kifo cha C.W?...unafikiri kwanini Nkono yuko bitter sana na Mgodi wa Nyamongo?.... Kibaraka Zitto kamwe hawezi kuzuia hamasa ya mabadiliko, wewe kama una nyege waweza kumuomba mhe Mbowe akusaidie kuzitoa! analo kundi kubwa la marijali hakika litakutosheleza tu... BTW ...sasa hivi issuesza msingi ni kupanda kwa gharama za maisha na umeme, ujangili, kutowajibika kwa PINDA na Cabinet.... haya yanagusa maslahi ya watanzania wote...[/QUOT
kwanza kuwa makini unapokuwa unajibu hoja, pili huna cha maana ulichokiandika, tatu hujui katiba ya chadema inasema nn umejibu kikabila, kakobe hapo anaingia vipi, na pia kuitwa warundi na wanyarwandwa inahusika vip na heading uliyokuja kujibu, kama wewe ni mwanachama kweli wa chadema soma katiba ya chama vizuri, then learn how to argue never react against a person but react against the argument...makosa ya mtu mmoja usi generalize kwa watu wote, na kwa hoja yako umewahadaa watu wa kigoma kwa lugha yako chafu...
Vigezo vyako vya kujibu hoja havina Maana yeyote kwani kila Mtanzania akifuatiliwa Vizuri hata wewe pengine ni Mzambia au Mnyasa kiasili Hilo la Ubaguzi ndilo Donda ndugu la Ukabila mlilolikumbatia hapo Makao makuu Mkidhani ni njia sahihi ya kudhibiti wale wanaomkosoa Udhaifu Wa Mbowe Naomba ujitambue Kuwa huu Utetezi wako kwa Mbowe unawafurahisha wale tu wanaonufaika na Ufisadi wake wa ndani ya Chama ukiwemo wewe Lakina kule mashinani chini kuna njaa sana hawatakuelewa ukienda na Haya

Funza hastahili kujibiwa na bin'adam.