Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,668
- 99,385
Wenyewe wanataniana wewe unaita ukabila!?Lini uliwakuta wanapigana kwa sababu ya ukabila?Watanzania wengi wanasumbuliwa na ukabila, hasa Mikoa ya Kaskazini na kanda ya ziwa
Wenyewe wanataniana wewe unaita ukabila!?Lini uliwakuta wanapigana kwa sababu ya ukabila?Watanzania wengi wanasumbuliwa na ukabila, hasa Mikoa ya Kaskazini na kanda ya ziwa
Acha ukabila we mshamba. Hii tu kushabikia ukabila karne ya 21 ni wazi wasukuma bado sana! Usukuma mì nakujua umaskini ni mkali sana, hebu anzia pale Ziba pitia Manonga-Mhunze-Lalago-Mwandoya-Sangamwalogesha, Sangaitinje, n.k sahv ni vumbi tupu, umaskini ni mkubwa sana! Sisemi uchagani kumeendelea, kwanza wachaga wana eneo dogo sana chini ya mlima Kilimanjaro wengi wao wamekimbilia mikoa mingine kwasababu ya umaskini, uchagani nako umaskini ni mkali. Shida kila msukuma ukimwuliza anatoka Mwanza, Mwanza wanaiona km mbingu yao wakati hiyo Mwanza yenyewe imejengwa na mchanganyiko wa makabila kutokea maeneo ya Kigoma, Kagera, Mara mpk wahindi wamo. Acheni ligi za makabila hali za watanzania zinalingana hakuna kabila tajiri wala maskini. Hayo uliyoyataja ndiyo yana umaskini kijijiniUrembo tumo,serikalini tumo,maendeleo yapo juu kuliko uchaggani.wachagga msijisheue hamuisomi namba kwa msukuma.
Asbh yote hii mrembo wetu ume amka na wachaga?Urembo tumo,serikalini tumo,maendeleo yapo juu kuliko uchaggani.wachagga msijisheue hamuisomi namba kwa msukuma.
Hata we usipousema ila ukabila utakuwepo tu hata kama tunaongea lugha moja kila mtu anajua ana kabila lake sio kanda ya ziwa wala kaskazini, na ukabila wetu ni ule tu wa utani nothing is serious hata tukitaja makabila lakini bado kuna ule upendo wa "watanzania ni wamoja na hatubaguaniWatanzania wengi wanasumbuliwa na ukabila, hasa Mikoa ya Kaskazini na kanda ya ziwa
msukuma anaweza kukupkia ubwabwa bila mafuta na ukajilamba vidole acha hao wa kupika ndizi wanaweka supu kama nin cjuiWasukuma wanajua kupika nn msee ??
Watanzania wengi wanasumbuliwa na ukabila, hasa Mikoa ya Kaskazini na kanda ya ziwa
Msukuma anipikie ubwabwa?? Kila mmoja ashinde mechi zakemsukuma anaweza kukupkia ubwabwa bila mafuta na ukajilamba vidole acha hao wa kupika ndizi wanaweka supu kama nin cjui
mkuu umeoa mchanga?Wachaga wanajua kupika sana siku hizi.
tafta msukuma ujalibu akupikie usibishe kama bado hajakupikiaMsukuma anipikie ubwabwa?? Kila mmoja ashinde mechi zake
Mzee nimesoma lake zone, na nimeish na wasukuma sio hawajui wanajua ila huwezi sema msukuma anajua kupika wali ndiyo kigezo cha kumsfia ni mpishi mzuri!! Shemej yangu msukuma pia kuna anavyojua vingine anajifunzatafta msukuma ujalibu akupikie usibishe kama bado hajakupikia
ukitaka usiboeke wakati wa safari panda gari lililobeba wasuma hata watatu tu afu mmoja akae siti ya mbele mwingne nyuma na mwingne katikati nakwambia hata tv ya kwenye bas mtazma na ukute ni wale wa utani wanaonge sukumaswahili mchapio nakwambia utasahau hata kituo. Lakn wachaga hata kusalimiana hawawezi coz wanaogopa kurogana hao ni wazee wa misifa tu mabiashara ya ma mil hewa tu. Mchaga anaweza kupanga watu wampgie cmu wakati wa safari na story ni moja tu ya biashara na huku hata hana mtaji wa laki mbili lakin story na wana kwenye simu ni makontaina ya mizigo kama imefika. Wachaga ni wazee wa misifa.Mzee nimesoma lake zone, na nimeish na wasukuma sio hawajui wanajua ila huwezi sema msukuma anajua kupika wali ndiyo kigezo cha kumsfia ni mpishi mzuri!! Shemej yangu msukuma pia kuna anavyojua vingine anajifunza
Ngoja min -me athibitisheukitaka usiboeke wakati wa safari panda gari lililobeba wasuma hata watatu tu afu mmoja akae siti ya mbele mwingne nyuma na mwingne katikati nakwambia hata tv ya kwenye bas mtazma na ukute ni wale wa utani wanaonge sukumaswahili mchapio nakwambia utasahau hata kituo. Lakn wachaga hata kusalimiana hawawezi coz wanaogopa kurogana hao ni wazee wa misifa tu mabiashara ya ma mil hewa tu. Mchaga anaweza kupanga watu wampgie cmu wakati wa safari na story ni moja tu ya biashara na huku hata hana mtaji wa laki mbili lakin story na wana kwenye simu ni makontaina ya mizigo kama imefika. Wachaga ni wazee wa misifa.
Huku kuna pisi hatariNdio akili yako imeishia hapa kuanzisha uzi kama huu?
Mnazidi kuwapa watu nafasi ya kuwasema wasukuma
This uzi was unnecessary, narudia tena unnecessary!
yeye ni mchaga au msukumaNgoja min -me athibitishe
Kiswahili siyo kipimo cha ustaarabu na maendeleoWasukuma bado washamba hata kiswahili hawajui
😄😄😄🤣🤣Msukuma anipikie ubwabwa?? Kila mmoja ashinde mechi zake