Mchaga kamwe haisomi namba ya Msukuma

Mchaga kamwe haisomi namba ya Msukuma

WE ACHA TU. Wachaga ati ndani mwanamke ndio top mzee hana sauti na afu hata wengi wao wanauana ili mama aridhi mali. Na hata kuna wengne wanapeleana mioto dada na kaka in terms of uzungu. Saitan kabisa lakin msukuma ana uwezo wa kulala chumba kimoja na watoto wakubwa bt wanaheshimiana.
Kuna kitu haukijui kutuhusu sisi wachaga bwashee
 
Wasukuma walicho nacho ni ushamba tu lakin hata biasha ukifanya nao hata kama ni ya nafaka na usimdhulumu for sure kwako nafaka haitakosa coz ana uwezo wa kuhamisha kijiji kizima kuja kukuuzia nafaka, hata kama ni biashara ya mifugo ni wewe tu uchoke. Kikubwa tu usimlaghai utatajirika tu lakin machango kukutapeli ni fasta.
 
Wachaga wapi wametapeli?
 
Back
Top Bottom