min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,834
- 165,703
Mchagayeye ni mchaga au msukuma
Mchagayeye ni mchaga au msukuma
wachaga wanaorogana wao kwa wao ili mwingne asifanikishe. Mnafanya biashara pamoja akiona unainuka anakuchukia bure bt kwa msukuma labda umtapeli ndio akuroge. Wachaga nyie bado saana kwa wasukuma. Mchaga namfananisha na mhandzabe. Madem wao weng ni shapeless na asilimia kubwa wanazeekea nyumbani sanasana wamachame na huko kibosho kila mtoto na babake. Shindwee!Mchaga
Hii kitu umeokota wapi? Umewajulia wachaga wapi?wachaga wanaorogana wao kwa wao ili mwingne asifanikishe. Mnafanya biashara pamoja akiona unainuka anakuchukia bure bt kwa msukuma labda umtapeli ndio akuroge. Wachaga nyie bado saana kwa wasukuma. Mchaga namfananisha na mhandzabe. Madem wao weng ni shapeless na asilimia kubwa wanazeekea nyumbani sanasana wamachame na huko kibosho kila mtoto na babake. Shindwee!
wanashangaza mno aseeh, utasikia mchaga hajui kupika hv hajui kupikaHahaha aje moshi tumwonyeshe sio masifa tu ni kweli tunamaanisha
Shapeless ni nn mkuu 🤔 de mopakwachaga wanaorogana wao kwa wao ili mwingne asifanikishe. Mnafanya biashara pamoja akiona unainuka anakuchukia bure bt kwa msukuma labda umtapeli ndio akuroge. Wachaga nyie bado saana kwa wasukuma. Mchaga namfananisha na mhandzabe. Madem wao weng ni shapeless na asilimia kubwa wanazeekea nyumbani sanasana wamachame na huko kibosho kila mtoto na babake. Shindwee!
Mmetoka kwenye siasa now ni kampeni ya kukuza ukabila sioUrembo tumo,serikalini tumo,maendeleo yapo juu kuliko uchaggani.wachagga msijisheue hamuisomi namba kwa msukuma.
Chuki binafsi mwendazake ndo aliwarithishaHahaha aje moshi tumwonyeshe sio masifa tu ni kweli tunamaanisha
Wasukuma hawapo hivyo huyo ni mnyantuzuChuki binafsi mwendazake ndo aliwarithisha
Aseeh kazi ipo hajui wao ndo wameajiriw kuchunga maboma ya wenyeji na kukatia majani aende machame wapo wengiWasukuma hawapo hivyo huyo ni mnyantuzu
Wasukuma na sisi hatuna shida kbisa kuna washamba wanaitwa wanyantuzu ndio kisangaAseeh kazi ipo hajui wao ndo wameajiriw kuchunga maboma ya wenyeji na kukatia majani aende machame wapo wengi
Aaaah atakuwa huyu mnyatunzu ndo kina nani haoWasukuma na sisi hatuna shida kbisa kuna washamba wanaitwa wanyantuzu ndio kisanga
WE ACHA TU. Wachaga ati ndani mwanamke ndio top mzee hana sauti na afu hata wengi wao wanauana ili mama aridhi mali. Na hata kuna wengne wanapeleana mioto dada na kaka in terms of uzungu. Saitan kabisa lakin msukuma ana uwezo wa kulala chumba kimoja na watoto wakubwa bt wanaheshimiana.Hii kitu umeokota wapi? Umewajulia wachaga wapi?
Mopak hapa unaongopa sasaWE ACHA TU. Wachaga ati ndani mwanamke ndio top mzee hana sauti na afu hata wengi wao wanauana ili mama aridhi mali. Na hata kuna wengne wanapeleana mioto dada na kaka in terms of uzungu. Saitan kabisa lakin msukuma ana uwezo wa kulala chumba kimoja na watoto wakubwa bt wanaheshimiana.
Kuna mashindano ya UKABILA kumbe🤣🤣🤣🤣Urembo tumo,serikalini tumo,maendeleo yapo juu kuliko uchaggani.wachagga msijisheue hamuisomi namba kwa msukuma.
Aunty mpe jingine leo umejibu politely unakuja na comment heavy heavyUmeamua kujitia aibu na wasukuma wenzako? 😹
Kwahiyi sahivi talk of the town ni wasukuma,Urembo tumo,serikalini tumo,maendeleo yapo juu kuliko uchaggani.wachagga msijisheue hamuisomi namba kwa msukuma.
sorry, mada kama hizi, tulikuwa tunajadili tukiwa darasa la nne...Urembo tumo,serikalini tumo,maendeleo yapo juu kuliko uchaggani.wachagga msijisheue hamuisomi namba kwa msukuma.