MC afariki akifanya mapenzi na mke wa mtu

MC afariki akifanya mapenzi na mke wa mtu

Jamani natamani kujua hiyo staili aliyotumika ili wengine nao waepuke na kifo kama chaq huyu jamaa
 
Kilichomuua sio style bali ni ''overdoing it''.

Kumbuka kukojoa bao moja mwanaume anapoteza protein contents zilizo sawa za zile zilizomo kwenye kilo moja ya nyama!

Duh! Kilo moja ya nyama? Kazi kwelikweli.

Kuhusu "staili nyingine", hayo yalikuwa maelezo ya yule mama mhusika.

Halafu hebu hiyo staili ifuatiliwe (ili iupukwe) ili kuokoa maisha ya watu.

RIP Mr MC.
Kwa huyo mama ni soo tupu.
 
Ni kusema huyu Mchaga amefia alipotokea!.
Hakujifunza kuwa utamu wa pipi ni mate yake tu na raha ya mapenzi ni hisia zake na sio stahili?. Hapo mahala huwa hapakomolewi, kula viagra & whatever matakata ni kujiumiza na mbaya zaidi kufia eneo kama hilo nyeti ukiwa unavunja amri ya 6 hakuna muda wa kutubu tena!.
 
RIP Mc Willy Lema.
Natoa pole za dhati kwa familia ya Bwana na Bibi Lema kwa kuondokewa na nguzo muhimu katika familia.
Binafsi namfahamu sana Bwana Lema kwani niliwahi kufanya nae kazi General Tyre (ea) Ltd kwa muda mrefu,Bwana Lema alikuwa assuarance Manager mpaka General Tyre ilipochimbiwa kaburi na kuzikwa mwishoni mwa mwaka jana.
Msiba ni msiba hata kama unaaambatana na aibu kiasi gani naitakia heri na baraka familia ya Bwana Lema ambae pia alikuwa mwenyekiti wa MC mkoa wa Arusha.
Bwana Lema ametuachia funzo kubwa sisi tuliobaki,tujaribu kuwa makini sana hasa katika mahusianao nje ya ndoa.

unamainisha nini unaposema tuwe makini sana hasa katika Mahusiano nje ya ndowa ?hapo hakuna cha kuwa makini ni vyema kuwambia watu kutofanya mambo hayo kabisa ,unapomwambia mtu awe makini inakuwa kama vile unampa nasaha awe na tahadhari anapofanya hicho kitendo,ni sawa na kumwambia mtu kuwa makini ukiwa na usukani au kuwa makini unapotembea usiku peke yako ,alichoikifanyaBwana Lema ni ushenzi na kujiabisha yeye na familia yake na sasa anamwachia majonzi huyo mke na mawazo ya kuwaza na kujihisi hakuweza kumfurahisha mumewe wakati wanapoingiliana pole sana mama yaliyokukuta hayo. (BINADAMU HASHINDANI NA ALIPOTOKA)
 
.........Hii kali mtu kufia kitandani tena huku unazini, huyu kuna uwezekano alikunywa viagra kabla ya game. Kwa wale wapenzi wa kuzini hili liwe fundisho.
 
RIP lema, si busara kumcheka mwenzio anapopata matatizo coz hujui ya kwako ni lini na yatakuja kivipi?

Hakuna anaemcheka, Nadhani itakua fundisho kwa wakware wote w
anaobanjua wake za watu.

Duu Jamaa yaani amejipatia direct ticket ya kwenda motoni.

Pole kwake!!

Amakweli ....dhambi ikikomaa huzaa mauti.!!!


Hata tukimwambia RIP haisaidii maana ameshajichagulia hatima yake yeye mwenyewe
 
.......alichoikifanya[FONT=Lucida Console said:
Bwana Lema[/FONT] ni ushenzi na kujiabisha yeye na familia yake na sasa anamwachia majonzi huyo mke na mawazo ya kuwaza na kujihisi hakuweza kumfurahisha mumewe wakati wanapoingiliana pole sana mama yaliyokukuta hayo. (BINADAMU HASHINDANI NA ALIPOTOKA)

Yanapotokea mambo kama haya kwa wanandoa matatizo huwa mengi>


  1. Mjane wa Mc Lema atajiuliza kwa nini hakuwahi kutoa nje hata siku moja kama mumewe hakuwa mwaminifu na kama aliwahi kumegwa nje nae atasema moyoni "ngoma droo" na hivyo hivyo kwa mume wa huyo mwanamke aliyesababisha mauti ya Mc mashuhuri kwa aibu ya tendo la mkewe.
  2. Mjane wa Mc Lema kama hakuwahi ku cheat amekosa raha sio tu kwa msiba wa mumewe bali pia kwa aibu juu ya ndoa yake na pia kwa kuishi labda anaweza kuwa ameambukizwa. Hivyo hivyo kwa mume wa huyo mwanamke aliyesababisha mauti.
  3. Mjane wa Mc Lema na Mume wanamke wa Tabora wamepoteza imani kwenye ndoa kama hawakuwahi ku cheat na upo uwezekano wa kuanza kucheat kwenye ndoa zao za baadae.
  4. Mwanamke aliyesababisha mauti kama alikuwa najiheshimu ataathirika kisaikolojia kwa kutoonekana hafai kabisa mbele ya jamiii kwa kugawa uroda nje ya ndoa. Na mbali na uwezeknao wa kuachika, ataingia gharama zaidi kusabisha taswira yake ikiwemo kuhama kabisa kwenye eneo aambalo habari hii tata imetapakaa.
Hizi ndizo athari za dhambi.
 
...ajali kazini tu hiyo.

BTW, kuna mdau aliulizia kwani hakuna wanandoa waliokumbwa na masahibu kama hayo? Jibu ni inconclusive!, ...kwasababu wengi huona haya kusema mumewe/mkewe 'alifia kileleni!'...na kusingizia BP, au ugonjwa wa moyo 'eti' wakiwa wamelala!
 
.........Hii kali mtu kufia kitandani tena huku unazini, huyu kuna uwezekano alikunywa viagra kabla ya game. Kwa wale wapenzi wa kuzini hili liwe fundisho.

Pretty bana, wenzake weshasema alikunywa Beer kwa wingi kisha akamalizia na Konyagi. Si unajua yule 'mzaramu' asivyo na adabu?, kila mshipa unakufa ganzi, ...kila ukitaka kumshusha mikono yeye kaikunja tu,... sasa kama BP nayo mgogoro matokeo yake ndio kama hayo.

Wale waliozoea kuwanywea konyagi wanawake zao naona sasa watakumbuka msemo wa kale;
Kunywa Ongeza Nguvu Yako Angalia Gongo Inaua!

Konyagi nyingi 'hugeuka' Gongo Mwilini.
 
Unafiki mtupu.Hao wanaomkashifu MC na huyo mwanamama utakuta nao ni nambari wani kusarandia wake/waume za watu.Hili ni fundisho tosha.
Siyo siri kwamba uzinifu kwa miaka ya sasa umekuwa kama fasheni.Tumrudie Mungu, tupunguze mitafaruku kwenye ndoa zetu ili tufurahie ndoa zetu na pia tuondoe visababu vya kutafuta faraja nje.
 
Iribini twende nyumbani bana!!!!!!!!


post_old.gif
Today, 06:29 PM Chrispin This message has been deleted by Chrispin.



sio we ndo unipitie sasa nikija huko itabidi tuelekee mbagala badala ya ally hassan mwinyi


he......🙄
 
Sasa wachagga kila neno mtasemwa: Ukabila CHADEMA, Ufisadi EPA na sasa kufia kwenye style. Wai!! sijui bwana..........
 
hapa cha msingi polisi wakomae na huyo mwanamke aeleze ni staili gani waliyofanya mpaka jamaa mtukufu LEMA akatrip,unajua staili zingine za siku hizi zikionekana live ni mada/jinai iwapo zingeonekana live wengi wangefungwa tena miaka mingi tu,hapa hata mukulu chrispine nadhani ataniunga mkono
 
RIP MC LEMA! umeonyesha wewe ni kidume kwanza umekata network baada ya goli la pili ni ushindi mzuri tu kama ule wa Tusker cup,hizi staili tuzichunge nadhani jamaa alitengeneza parabola sasa baada ya kutema mzigo akataka kurudi at normal position ghafla ilitakiwa a-resert slowly mpaka blood circulation irudi normal.....hii ni kwa mujibu wa doctor mmoja wa moshi
 
Ogopa mke wa mtu wa kibongo....


.........Mwaka 1989 hapo Manzese Argentina kuna jamaa alijamiaana na mke wa mtu halafu baada ya faragha yao wakashindwa kutengana (sijui kama nieeleweka vizuri.) Ilipidi uongozi wagesti walikuwa wamefikia uwapeleke ofisi ya CCM ambako mwenye mke alitafutwa kuja kusaidia soo la kuwatenganisha.
 
Mtajadili mengi, hayo yote ni tisa; kumi someni hapa:
Wagalatia 6:7-8 " ...., apandacho mtu ndicho mtu ndicho atakachovuna".

Iwapo wewe umefanya sana kama Lema na unaendelea kupeta soma hapa:
Matendo 17:30 "Basi zamani hizo za ujinga Mungu alijifanya kama haoni, lakini sasa anawaagiza watu wote wa dunia yote watubu".

Mc Lema na mwenzake walikuwa na miaka saba ya kutubu hawakufanya hivyo, wewe unaweza kupata miaka mingi zaidi au pungufu-hakuna anayejua!
 
Back
Top Bottom