klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
hahahahahah!
mchango utatoa lakini?
enewei nitaendelea bwana mkubwa.
unapoamua kuoa nilazima uwe umesha kalkuleti risks zote na uone kama unaweza kuzibeba.adhawaisi UTAKUJA KULIA BURE!
WANAWAKE NI WAHANGA WA KUBWA WA MATESO NDANI YA NDOA.wanaonewa kwelikweli
wanawake:
WANALETEWA UKIMWI NDANI
WANAACHIWA WATOTO WAATHIRIKA
WANA BAHATI MBAYA YA KUISHI MUDA MREFU NA VIRUSI
WANAPIGWA SANA
Hili lijamaa linafaa liwe mshauri wa raisi mambo ya ndoa. linaongea mapointi kuliko denzeli woshington!