THAT'S THAT pal!
there is this friend of mine ambae alikuwa anapenda sana totooz(huko iringa).jamaa alikuwa na kijifremu chake anabiashara kubwa tu.kama kawaida wanawake wanalewa sana na cash.jamaa alianza kumchukua dem fulani asijue ni ''nyumba ndogo ya mtu bwana''!imeenda saana jamaa anakula mzigo.baadae mwenye nyumba ndogo yake alimwambia jamaa aache jamaa KIBURI na matuc baa.
mtu mzima akamtumia jamaa watu wakamkalakasha kweupeeeeeee na mapanga kwa wingi wakazikata nyeti wakamuwekea mdomoni.wakaandika na ujumbe,wakambeba wakampeleka mlangoni kwa mke wake kama saa mbili usiku hiivi....(waifu wa jamaa ni classmate wangu)
NIAMBIE YULE MKE WA MAREHEMU ALIJIFEEL VIPI?
TUELEZANE UKWELI WANDUGU....wanaume ndivyo walivyo