MC afariki akifanya mapenzi na mke wa mtu

MC afariki akifanya mapenzi na mke wa mtu

post_old.gif
Today, 06:29 PM Chrispin This message has been deleted by Chrispin.

he......🙄
........😀😀
DAH!enewei ''twende kazi''
 
Nasikia wamekua pamoja tangu mwaka 2001. Dunia imejaa dhambi, miaka 8 yote unakula tu mke wa mtu. Halafu MC ni mchaga oroginal, krismasi kwa krismasi wanakutana Moshi. Wachaga chungeni sana, ooh, unajua twende Moshi tupeleke watoto, tudumishe mila, kumbe kuna njemba fulani.

Mamii, nakuunga mkono kabisa katika hili. Nimekumbuka ile thread ya wanawake wa kichagga kukosa mapenzi. Miaka 8 njemba ilikuwa inakula mke wa mtu! Huyo Baba inabidi akafanye DNA kuhakikisha kwamba watoto kama wanao ndani ya ndoa yao ni wake. Ogopa ukisikia mkeo au mumeo anataka kwenda kula Xmas midizini. Hizi ndoa za siku hizi! WIZI MTUPU!
 
Teh teh teh, Umerudi FL1 maana naona watu walikuwa wameku miss sana kila mtu humu anakujibu ukitoa maoni yako duuuuuuh na kweli uko kikazi zaidii au nawe umejiandaa kwa Chaguzi zijazo ???

Pili naona hii topic watu wameipenda pale lisemwapo swala la ngono sie wabongo twlishadadia saaaanaa, kesho mtu mwingine aje na topic nyingine kama yakina J.Muro ya wagonjwa wa Cancer kule moshi au mama wajawazito wanao lala sakafuni mahosipitalini.

jethro una hatari wewe kila kitu na mahala pake unajua hii Topic inashangaza ndo maana kila mtu yuko vere interest hapa
 
Naskia huyu jamaa kanisa linaweza kumtosa mazishi yake!!! kweli nzi kafia kwenye kidonda!!!
 
Naskia huyu jamaa kanisa linaweza kumtosa mazishi yake!!! kweli nzi kafia kwenye kidonda!!!

MTM hebu sema kama wewe ni padri ,mchungaji au shekhe ungefanyaje hapo????
 
HEHEHE!sasa mchango wangu lini?
tulia tuli kama maji mtungini ...yanapohitajika mnywaji mwenyewe anaenda kimya kujipimia
for me shaka ondoa kabisa nimesema 2010 nipo kikazi zaidi no maskhara
 
MTM hebu sema kama wewe ni padri ,mchungaji au shekhe ungefanyaje hapo????

Mh, hapo dada ni ngumu, ila nilidhani Mungu anawapenda wote waovu na wasio waovu... anyway najaribu kujiridhisha tu, jamaa kimemuwakia!!
 
aisee huyo kazi anayo
huko aliko unakufa unamega mke wa mtu;baya inawezekana alikuwa mc wa jamaa wakati wa sherehe yao ya ndoa;hawana adabu kabisa ma mc baada ya kuanza kutuibia pesa zetu kwa kutudanganya sasa wameamua kuwafwata wake zetu
NO hili atukubali,
 
Naskia huyu jamaa kanisa linaweza kumtosa mazishi yake!!! kweli nzi kafia kwenye kidonda!!!

Haitakiwi iwe hivyo, kwa kufanya hivyo utakua umekiuka maneno ya mungu

bible inasema yesu alikuja kwa wenye dhambi, hakuja kwa walio safi

alafu kingine ni kwamba yeye dhambi yake imejulikana kwa sababu ya kufia

eneo la tukio wengine sio kwamba ni wasafi ila hawaja bambwa tukioni.
 
Si ajabu hilo kutokea. Kama vile baadhi ya madhehebu wafanyavyo kwa wanaotaka kuoana ikiwa bi harusi ni mjamzito hulazimishwa kurudishwa kundini kwanza!
 
hahahahahah!
mchango utatoa lakini?

enewei nitaendelea bwana mkubwa.

unapoamua kuoa nilazima uwe umesha kalkuleti risks zote na uone kama unaweza kuzibeba.adhawaisi UTAKUJA KULIA BURE!

WANAWAKE NI WAHANGA WA KUBWA WA MATESO NDANI YA NDOA
.wanaonewa kwelikweli

wanawake:
WANALETEWA UKIMWI NDANI
WANAACHIWA WATOTO WAATHIRIKA
WANA BAHATI MBAYA YA KUISHI MUDA MREFU NA VIRUSI
WANAPIGWA SANA

Mungu wangu, ni wewe G, semina ya ndoa imesaidia.

Anaweza kumsamehe. Nakumbuka kisa kilichotokea katika hotel moja maarufu jijini - coincidently mwanaume alikuwa mchaga na mke alitokea Mwanza. Mwanaume alikufa, mwanamke akapelekwa polisi, lakini mmewe alipopata habari alifunga safari toka mwanza akaja na kufanya juhudi zote akamtoa na kumrudisha nyumbani. Ila sijui kama waliendelea kuishi pamoja.

Kwa mawazo yangu -kama si kwa hiyo staili nyingine, mke namsamehe maana najua hawezi kurudia tena, ila kama alishazoea hiyo staili nyingine, hawezi kuacha maana anakuwa anawashwa mara kwa mara!

mweh, humu kuna viroja....
 
Naskia huyu jamaa kanisa linaweza kumtosa mazishi yake!!! kweli nzi kafia kwenye kidonda!!!

Wapwa mimi hapa ndipo panaponishinda kuelewa. KWani mchungaji au mtumishi wa MUNGU amepewa mamlaka ya kuhukumu? KWa nini asimzike tu kwa utaratibu unaostahili na kumwachia MUNGU yaliyobaki?
 
Haitakiwi iwe hivyo, kwa kufanya hivyo utakua umekiuka maneno ya mungu

bible inasema yesu alikuja kwa wenye dhambi, hakuja kwa walio safi

alafu kingine ni kwamba yeye dhambi yake imejulikana kwa sababu ya kufia

eneo la tukio wengine sio kwamba ni wasafi ila hawaja bambwa tukioni.

umenena vyema ZionTZ
 
We mdanganye mwenzio tu! Unafikiri kuzaa a.k.a kujifungua kuzuri? Namshukuru Mungu kuniumba mwanaume!

nani kakudanganya ni kubaya......ni raha iliyoje pale unapomaliza hiyo safari salama ackuambie mtu.
 
Back
Top Bottom