FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
Sure. Ngoja nami niwahi Zero pub nikapunguze mawazo!
haa binamu mie nikajua 2010 umeacha hizo vinywaji zako kumbe bado unakamua mmmh
Sure. Ngoja nami niwahi Zero pub nikapunguze mawazo!
Sure. Ngoja nami niwahi Zero pub nikapunguze mawazo!
shetani alimpitia!!! bora hata yeye aliyekifa, as you say pole kwa wife na yule hubby aliyesaidiwa mke na marehemu!!!! too bad
sijui style gani hii ilimfanya jamaa akadead.....tuijui ili angalau tuwe keaful tusije tukaua!!!!!!!1
heheheh!hivi nyie mkianzaga pombe saa hizi ikifika maucku c mnakuwa pwacha pwacha, mnajuaga hata nanilii za nanilii zenu zipo kwa wapi? mcjezitafutia mgongoni....ngoja nikampikie ma mkwe mie hii JF itanifanya nisahau majukumu bure.....
hivi nyie mkianzaga pombe saa hizi ikifika maucku c mnakuwa pwacha pwacha, mnajuaga hata nanilii za nanilii zenu zipo kwa wapi? mcjezitafutia mgongoni....ngoja nikampikie ma mkwe mie hii JF itanifanya nisahau majukumu bure.....
amin.rip mc willy lema.
natoa pole za dhati kwa familia ya bwana na bibi lema kwa kuondokewa na nguzo muhimu katika familia.
binafsi namfahamu sana bwana lema kwani niliwahi kufanya nae kazi general tyre (ea) ltd kwa muda mrefu,bwana lema alikuwa assuarance manager mpaka general tyre ilipochimbiwa kaburi na kuzikwa mwishoni mwa mwaka jana.
msiba ni msiba hata kama unaaambatana na aibu kiasi gani naitakia heri na baraka familia ya bwana lema ambae pia alikuwa mwenyekiti wa mc mkoa wa arusha.
bwana lema ametuachia funzo kubwa sisi tuliobaki,tujaribu kuwa makini sana hasa katika mahusianao nje ya ndoa.
Sure. Ngoja nami niwahi Zero pub nikapunguze mawazo!
aaaah MCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCC juu ya nini?atakuwa alipewa style za humu JF hasa ile dip stick mapigo ya moyo yakaenda mchomo hahaaaaaaaa.R.I.P MC
nyie sijui mmesoma seminari gani aaaaaaaaah!!!!
swali gani unauliza wewe? apate wapi muda wa kutubu na unaambiwa kazimikia kiuoni? ebo?Bujibuji mimi nina maswali yafuatayo: katika amri kumi za Jehova alizompa Musa pale mlima Sinai, amri ya sita inakataza kuzini na amri ya tisa inakataza kumtamani mke wa mtu mwingine. Sasa huyu Mc alitoa sababu auexcuse gani kwa Jehova kuhusu kukaidi kwake kutotii amri zake? Hivi tunaweza kusema Mc ame RIP kweli wakati tunajua Jehova ni Mungu mwenye wivu? Yaani hapendi mtu avunje amri zake. Je Mc wakati ananengeneka mpaka anabadili staili ya malavidavi alipata muda wa kutubu kwa Jehova?
Wana Theology naomba ufafanuzi!
.....âBaada ya marehemu kufanya tendo hilo kwa staili na kumaliza aliishiwa nguvu,â amedokeza mpashaji wa Mwananchi ambaye pia alieleza kuwa kabla ya kufika hotelini, mshereheshaji huyo alichanganya pombe kali ili kupata ânguvuâ ya kufanya tendo hilo.
Baadhi ya marafiki waliokuwa na marehemu kabla hajaelekea kwenye eneo la tukio na ambao wameomba majina yao yahifadhiwe, walidokeza kuwa marehemu alikuwa akinywa, bia lakini alipokaribia kuondoka alichanganya kwa wingi na pombe kali aina ya Konyagi.
........Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Lucas Ngâhoboko alisema polisi hawawezi kuingilia starehe za watu bali walichokuwa wakichunguza ni kama marehemu alinyongwa shingo au la lakini wamegundua hilo halikuwepo....
tupo,Waliosoma Seminarini ndio hawafai nakwambia, unashangaa hilo? Wanafanya zaidi ya MC huyo wakiponea kuwa mapadri
tupo,
tunakuangalia tu unapotutuci!.......
Zegere huyo anayeuliza swali amri za mungu..je kama marehemu kabla ya kifo chake alikumbuka kuomba Toba hasamehewi??swali gani unauliza wewe? apate wapi muda wa kutubu na unaambiwa kazimikia kiuoni? ebo?
hehehe!I hear you.......homu boi!
Kwa wadumisha mila: Mwenzio akinyolewa..........?