Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,380
SASA nitamuua nani wakati waifu mwenyewe KWA RIDHAA YAKE AMEAMUA KUVUA!
mbaya zaidi amekutwa kwenye nyumba ya kulala wageni,meaning kwamba angespend hapo hata siku mbili WHICH IMPLIES THE possibilities za kutotumia kondom,WHICH JUSTFIES KWAMBA kuna uwezekano watoto mlionao sio wako,WHICH WILL MEAN TO ME kwamba ni lazima nikachek DNA...
yaani SCIENTIFICALLY kuna so many implications.....!tuwe wakweli tuache siasa
haya mambo kweli ni complicated sana, baba ana familia nzuri, watoto/mama wazuri...happy family! huyo mwngne katoka tabora kuja kula ckukuu, ckukuu ikazaa ckukuu, cjui baba yangu Lema alipitiwa na shetani gani jamani....ishu kwa huyo mama aliebakia nadhani akifika tabora atakuta talaka yake kwa mjumbe wa nyumba 10....very sad.