Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,380
Wapwa mimi hapa ndipo panaponishinda kuelewa. KWani mchungaji au mtumishi wa MUNGU amepewa mamlaka ya kuhukumu? KWa nini asimzike tu kwa utaratibu unaostahili na kumwachia MUNGU yaliyobaki?
kule huwaambii kitu kwa hilo, machame wana sheria kali sana za kikanisa...NGONGO popote ulipo plz nifahamishe bac mambo yanaendaje huko ndugu yangu....