Mbunge wa TARIME apigwa na wananchi

Mbunge wa TARIME apigwa na wananchi

agalizo kwa nape:ukija kilimaniaro mfano ndo huo,tutakugombania

he he he he... Nyura Mtorii. naona umejipanga sawa sawa. Hatokezi huyu dogo, kashindwa hata kuandika barua sembuse kukutana na 'trupa' za Kili?
 
bila shaka JF ni zaidi ya kila kitu huwezi amini hawa rd1 source waliipata kwanza hapa JF ndio wakaanza kufuatilia nao. believ me or not
Amani iwe nanyi:

kweli watakuwa wameipata hapa maana ujumbe wa msg umeingia later baada ya thread kukaa kama 1hr
 
That is too bad!!! Siungi mkono kwa vyovyote vile mtu au watu kuuliwa au kuumizw iwe na polisi au watu kujichukulia sheria mkononi. Zote hizo ni maumivu ama vifo na zina athari kwa familia ya aliyeumia au alieuawa!
Sipendi watu kuuwa au kuuliwa! Sipendi!!!!!
 
Hapa JF tungepata hajapo video ya tukio kama ilivyokuwa kwa yule MWIJAGE wa Bukoba ingekuwa swafi sana
 
That is too bad!!! Siungi mkono kwa vyovyote vile mtu au watu kuuliwa au kuumizw iwe na polisi au watu kujichukulia sheria mkononi. Zote hizo ni maumivu ama vifo na zina athari kwa familia ya aliyeumia au alieuawa!
Sipendi watu kuuwa au kuuliwa! Sipendi!!!!!

napenda sana watu wanaopenda kulipiza..
 
katika filamu ya sarafina kuna maneno yanayosema Freedom is coming tommorrow............................................................
 
Ama kweli Amaghana ga sarikire Mura nshe nkugeche mura!!!!! hii inaashiria nini? Tanzania tumekalia utambi wa baruti... na bado kidogo kuna mtu atawasha uo utambi na kitakacho tokea ni madhara makubwa. Nafikiri ni wakati muafaka kwa watawala wetu wakasoma nyakati hizi. Tusichukulie kirahisi rahisi tu kwamba ahaa hao ni WAKURYA. Serikari inabidi ku review hii mikataba tata na kuacha kuwakumbatia hawa WAWEKWEZAJI uchwara. Kuna kitu tunakosa nacho ni MORAL IMAGINATION.... nikimaanisha kwamba its the wearer of the shoe who can tell u where it pinches most. Jamani hawa wananchi wana madai na sio kama inavyo elezwa kwamba ni majambazi. Hivi kweli majambazi wanaweza wakaenda mchana kweupe na fimbo na marungu kuiba?? Hapana kuna madai tena madai ya kina kabisa nachelea kusema. Tatizo ni kwamba tunawaona hawa watu hawajui na sie ndo tunajua hence tunaweza amua chochote. Lakini kwa vile wao ndo wanajua uchungu na historia ya eneo husika ndo maana waliamua kujitokeza na kuchukua hatua hiyo hatarishi. Wana JF tuwashauri watawala wetu wajirekebishe na tumuombe mola aepushie balaa ili mbali. Watu watano wasinge kufa kama mambo haya yangerekebishwa mapema. I can write and write lakini..........bye kwa sasa. Vita ni vita Mura!
 
Huyu Mbunge wao anatumiwa na CCM walilitaka lile Jimbo kwa nguvu maana Mwekezaji alisema hawataki Chadema na CCM wakawa wana hangaika mno . Now Mbunge huyu si mkweli kwao na kama wamemvaa poa mwache apte adbu kwanza
 
Ama kweli Amaghana ga sarikire Mura nshe nkugeche mura!!!!! hii inaashiria nini? Tanzania tumekalia utambi wa baruti... na bado kidogo kuna mtu atawasha uo utambi na kitakacho tokea ni madhara makubwa. Nafikiri ni wakati muafaka kwa watawala wetu wakasoma nyakati hizi. Tusichukulie kirahisi rahisi tu kwamba ahaa hao ni WAKURYA. Serikari inabidi ku review hii mikataba tata na kuacha kuwakumbatia hawa WAWEKWEZAJI uchwara. Kuna kitu tunakosa nacho ni MORAL IMAGINATION.... nikimaanisha kwamba its the wearer of the shoe who can tell u where it pinches most. Jamani hawa wananchi wana madai na sio kama inavyo elezwa kwamba ni majambazi. Hivi kweli majambazi wanaweza wakaenda mchana kweupe na fimbo na marungu kuiba?? Hapana kuna madai tena madai ya kina kabisa nachelea kusema. Tatizo ni kwamba tunawaona hawa watu hawajui na sie ndo tunajua hence tunaweza amua chochote. Lakini kwa vile wao ndo wanajua uchungu na historia ya eneo husika ndo maana waliamua kujitokeza na kuchukua hatua hiyo hatarishi. Wana JF tuwashauri watawala wetu wajirekebishe na tumuombe mola aepushie balaa ili mbali. Watu watano wasinge kufa kama mambo haya yangerekebishwa mapema. I can write and write lakini..........bye kwa sasa. Vita ni vita Mura!
Unachosema ni kweli. Lakini watawala wetu hawashauriki na hawawezi kujirekebisha. Njia pekee ni kuwaondoa mamlakani. Hawa wamelala kitanda kimoja na waporaji wa maliasili zetu.
 
Sipendi watu kuumizwa au kuuliwa iwe na polisi au kujichukulia sheria mkononi. I hate bloodshedding. I hate it, I hate it. Sipendi watu kuuliwa, kuuwa au kuuwana!!!! Sipendi na siungi mkono!!!!
 
Msijichukulie sheria mononi, fateni sheria za nchi yenu.
 
Walikuwa wanamvua magamba tu...kitoto kidogo unafanya siasa za magamba!
 
Msijichukulie sheria mononi, fateni sheria za nchi yenu.

Hapa TZ kuna sheria? zingekuwepo sheria mvua zinge wanyeshea akina Mramba na Chenge kuhusu Rushwa. Changa la macho ni kawaida kwenye nchi inayoongozwa na ******
 
Back
Top Bottom