Khaaa yosefa ana nini? Huko chadema kwenye walikua hawamtak kwasabu hafanyi kazi ije kuwa kwa wananchi?Wataisha sasa. Laana ya Yosefa
Amia Muhenza..Oooh jamani mwana FA, nampenda san huyu brother[emoji21]
Kwan hakai Upanga?Amia Muhenza..
Utani.
😅😅😅Alishinda ubunge kialali ??? Kama sio kialali basi hilo ni onyo ajiuzuru ?
Ajali na wana ccm, Msando, FA, wote ajali Morogoro. halafu wanakaa Upanga. Hamza mwana ccm, ana kaa Upanga.Hawa wezi wa kura wakifa ni jambo la kheri sana.
😆😆😆Ajali na wana ccm, Msando, FA, wote ajali Morogoro. halafu wanakaa Upanga. Hamza mwana ccm, ana kaa Upanga.
mmh