Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,292
Tunangoja kwa hamu kuona ufisadi atakaofanya na wapambe wake wa bima na polisi wanaopaswa kuangalia chanzo halisi cha ajali!
....utavalishwa kanga na shanga !!
Tunangoja kwa hamu kuona ufisadi atakaofanya na wapambe wake wa bima na polisi wanaopaswa kuangalia chanzo halisi cha ajali!
Pole sana Sugu lakini punguza konyagi + bangi
Pole Sugu ila mh punguza bhangi na viroba.
Gari looote hilo linabinduka? kuna mkono wa mtu hapo.
Ungemshauri aache bangi kwanza.
Hivi mbona mmekazana na viroba mnatumiaga naye au?
Viroba vinaopa sapoti sana chadema hata kwenye mikutano yao wanakunywa kwanza ndiyo wanahutubia.
Huduma yake bado inahitajika Mbeya, swala la kifo bado sana.
Kuna Kipindi walikuja Arusha yeye na Kundi lake la Antivirus, sasa wakati wanatafuta wadhamini wa show yao wakaja ofisini kwetu, tukawakubalia kudhamini ile show. Jioni yake nikamtafuta SUGU kwa simu akasema yuko STEREO HOTEL, nikaenda, nilipofika sikuamini macho yangu, SUGU anakunywa KONYAGI anchanganya na REDBULL huku anavuta KAYA!
nilichoka!!
....utavalishwa kanga na shanga !!
Mkuu nimeeleza huko nyuma!Mkuu breki haziwezi kufeli? Mbona hilo ni jambo la kawaida pipe inaweza kukatika au hata rubber za master cylinder au za kwenye pads zinaweza kupasuka.
We mjinga sana !Dah! We jamaa unapenda ubishi utadhani ndio mmiliki wa gari lililopata ajali. Gari lolote linaweza kukataa breki. Hayo mambo yako ya ubishi hata kwenye ajali usiniletee hapa.
Ova