Mbunge Joseph Mbilinyi apata ajali milima ya Kitonga

Mbunge Joseph Mbilinyi apata ajali milima ya Kitonga

Breki kukataa kwa gari la aina hiyo, hilo haliwezekani, ni uzembe wa dereva tu.
Hiyo gari si spana mkononi kufa breki.

Dah! We jamaa unapenda ubishi utadhani ndio mmiliki wa gari lililopata ajali. Gari lolote linaweza kukataa breki. Hayo mambo yako ya ubishi hata kwenye ajali usiniletee hapa.
Ova
 
Nampapole kwakua nimwanadam kama mimi kupata ajari simchezo, Nampa pole sikwakua ni cdm upuz huo
 
Nampa pole Sugu pamoja na mbunge mtarajiwa prof J ajali ya tatu hii mungu anakuepusha hakika kuna kitu ambacho hujakimalizia hapa duniani
 
Ujinga ni kudhani hiyo ajali imesababishwa na ccm. Mwenyezi Mungu pamoja nae
 
Pole sana kamanda, ila tunashukru Mungu umepona!! Ajali hii watu msiifanye kuwa ina mkono wa siasa, tusubiri report ya traffic japokuwa nao reports zao wakati mwingine huwa ni utata mtupu
 
Back
Top Bottom